Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nimefikiri mno cha kumwambia dogo Juma Kaseja katika maisha yake ya mpira na nimeona nimshauri astaafu kuichezea timu ya taifa hivi sasa. Ni muda muafaka kwake kufanya hivo.
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Kwa maoni yangu nazani hawa malegend na mashujaa wa taifa letu wanastahili hiyo heshima.
1 Reactions
3 Replies
685 Views
Lijue Gari ghali zaidi duniani, Cristiano Ronaldo atajwa kulinunua Hili gari, Bugatti La Voiture Noire ndilo gari ghali zaidi katika historia ya dunia, likiwa linagharimu US Dollar Milioni 18.7...
4 Reactions
78 Replies
14K Views
Mechi ambayo Juma K Juma aliokoa hadi akawa hoi
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Kipa JKJ anasema kuwa wana simba wamkumbuke kwa mabaya Yote aliowafanyia. Yale mazuri Yote aliyowafanyia wayaache.
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Kuelekea mchezo wa leo ambao tanzania itakipiga na kenya golikipa namba moja wa stars aishi manula karipotiwa kua majeruhi.. Kuna uzi wa mdau mmoja alileta kuwa kessy anampiga misumari kapombe...
3 Reactions
37 Replies
5K Views
Yanga ikiwa na kikosi kamili imetoka suluhu ya goli 1 na Wanakawekamo wana TP Lindanda Pamba SC hapa uwanja wa CCM Kirumba. Yanga imechomoa dakika 89 huku Pamba wakiwa pungufu baada ya Amisi...
7 Reactions
40 Replies
4K Views
Kocha wa timu ya Wartford bwana Javi Gracia amefukuzwa kazi baada ya kuiongozo timu hiyo kupata alama moja kwenye ligi kuu ya England ,maarufu EPL hata hivyo uongozi wa klabu hiyo imemtangaza...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Huyu mchezaji alipokuwa Arsenal alijishebedua sana akikataa kusaini mkataba mpya ili aongezewe mpunga , Mzee Wenger hatimaye akasalimu amri na kuamua kumsalimisha kwa Bwana matamaa aitwaye Morinho...
8 Reactions
38 Replies
3K Views
BINGWA mara mbili wa mbio za mita 800 kwenye michezo ya Olimpiki, Caster Semenya ameanza kujiandaa kwa maisha mapya nje ya riadha baada ya kujiunga na klabu moja ya soka ya wanawake. Mwanariadha...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Tujikumbushe majina ya mastaa hawa wote. Wahenga njooni...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
MKEKA TIPS Hii ni website na Android app niliyoitengeneza kwa dhumuni la kutoa betting tips for free, ni BURE na daima itakuwa hivyo. Nilii-publish juzi rasmi na kuanza kufanya kazi huku ikiwa...
0 Reactions
29 Replies
12K Views
Mchezaji Bora wa muda wote wa Africa Samuel Eto's ametangaza kutundika daluga huku akiwa na miaka 38 ,huyu jamaa pamoja na Rodaldinho walinifanya nimtoroke mchumba wangu usiku ,wakati mwingine...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Nembo ya Vodacom ina wekundu na weusi kitu kinachowapa kigugumizi wenzangu wa Yanga kuweza kuivaa kwenye jezi zao kama ilivyo eti kuepuka lile doa nyekundu kwenye nembo. Miaka iliyopita...
3 Reactions
88 Replies
12K Views
Kama Klabu haitaki Kuvalia Jezi yenye Nembo Nyekundu ya Mdhamini ifutwe kabisa Kama Klabu inatetea ‘ Ukipa Katoka / Upumbavu ‘ wa Kocha wake ifutwe mara moja Kama Klabu inahamasisha Fujo katika...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Wakati mwingine uswahili unatuharibu hata katika masuala ya kawaida sana.Suala la rangi mfano lipo wazi kabisa kila timu ina rangi zake ambazo ni sawa na utamaduni wake.Yanga ina rangi ya kijani...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Wadau leo Mabingwa wa kihistoria Wavaa Vipensi Yanga walikuwa na mechi ya kirafiki na Klabu ya daraja la kwanza Pamba ya Mwanza.Vipi matokeo ya mechi hiyo?
0 Reactions
0 Replies
946 Views
Bodi ya ligi ikiongozwa na Boniface Wambura imeweka kanuni inayotaka timu mwenyeji kwenye ligi kuu Bara ihakikishe kunakua na gari la wagonjwa (ambulance) likiwa na wataalamu na vifaa tiba Timu...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakati nilipinga usajili wa Simba kwenye baadhi ya maeneo kwenye Uzi wangu mashabiki wa Simba walinitungana Sana nakuniita me ni mshabiki wa yanga eti kisa nimeenda tofauti na mitazamo yao utazani...
7 Reactions
47 Replies
5K Views
Hbr za Asbh wakuu. Naomba nijue Utaratibu na wap tiketi za game hii ya tarehe 8.9.2019 zinapatikana Pia nijue Viingilio . Asanteni
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…