Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kocha wa Timu ya Taifa ya Senegal Aliou Cisse amethibitisha kwamba Sadio Mane ataikosa mechi ya kwanza ya kundi C dhidi ya timu ya taifa ya Tanzania katika mashindano ya AFCON 2019. Mane ataikosa...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Mchezaji wa Mtibwa Sugar ya mkoani Morogoro Nickson Kibabage amesaini mkataba wa miaka minne kuichezea klabu ya Difaa El Jadida ya Morocco.Kibabage anaungana na Simon Msuva katika klabu hiyo.
3 Reactions
11 Replies
4K Views
Waziri wa michezo katangaza msimu ujao ni wachezaji watano tu wa kigeni ndo wataruhusiwa kwa mechi moja. Waziri ajiulize maswali haya -Je TZ tuna mfumo wa kutengeneza wachezaji wa ndani...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Watakaoiwakilisha Ligi Kuu Tanzania Bara kwenye michuano ya #AFCON2019 Nchini Misri. 🇧🇮 Jonathan Nahimana (GK)-KMC-Burundi 🇺🇬 Nicholas Wadada (DF) AZAM-Uganda 🇺🇬Juuko Murshid (DF) SIMBA-Uganda 🇺🇬...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Hongera Waziri Mwakyembe kwa kuliona hilo.Ushahidi wa hilo wote tumeliona ,wachezaji wa kigeni ndio wanang'ara kwenye Ligi yetu.Ligi ya Tanzania imekuwa ni chombo cha kufanyia mazoezi kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Baada ya hazard kuondoka Chelsea baadhi ya watu wanasema Chelsea inayumba me kidogo nitakuwa tofauti na wao kwangu me mchezaji muhimu Sana kwa Chelsea Ni ngolo kante na ni mara chache Sana kante...
2 Reactions
0 Replies
825 Views
Nimeangalia mechi ya jana usiku nikajuta kupoteza usingizi wangu Jana tulikuwa na mchezaji moja tu ambaye ni manula angalau na beki imejitahidi kwa kiwango kidogo unaweza sema manula aliperform...
16 Reactions
51 Replies
6K Views
Hakika sasa nimejua kwanini Yanga wanajiita eti Mabingwa wa Kihistoria.Sababu kubwa ni pale Yanga ikikosa Ubingwa inaona ijifariji kwa kujiita eti Mabingwa wa kihistoria. Nimefuatilia Vilabu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Julen Lopetegui(52) amepewa kandarasi ya miaka mitatu kuinoa Klabu ya Sevilla ya Uhispania inayoshiriki Ligi Kuu nchini humo Alifukuzwa kuinoa timu ya Taifa ya Uhispania siku mbili kabla ya...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Ukimuingiza nyoka ndani unategemea nini ? tafuteni fedha lakini angalieni na wanaowachangia basi , mkipokea kila kinacholetwa kutoka popote mtakuja kulaumiana . Sisi hatutaki watani mtoweke .
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mtendaji mkuu wa Simba(CEO) Crenstentius Magoli asema kitendo Cha Mzee kilomoni kung'ang'ania hati za majembo ya Simba hakuizuii Simba kufanya maendeleo maana ipo Simba wazee hao watakufa Kama...
3 Reactions
52 Replies
6K Views
Sheria mpya za Ligi kuu ya Uingereza 2019/2020. HANDBALL. Sheria ya zamani: Kushika mpira lazima iwe maksudi . Ili itafsiriwe maksudi vitu viwili lazima vizingatiwe, Movement ya mkono wa...
4 Reactions
1 Replies
2K Views
Nikisoma habari za huyu bwana mdogo naishia kucheka tu. Mfano ukichukulia mchezaji Samata, nawaza samata angekua na demand kubwa na kujiona yeye ni staa sidhani kama angekua hapo alipo, wakati...
6 Reactions
56 Replies
6K Views
Wadau tunachanganya sana, haya mashindano. Wajuvi wa mambo waelekeze tofauti ya hayo mashindano
0 Reactions
2 Replies
958 Views
1.Primeiro de Agosto (Angola)=8 2.Kaizer Chiefs (South Africa)=7 3.Simba Sport Club (Tanzania)=6 4.Mamelodi Sundowns (South Africa)=6 5.Experance Sportive de Tunis (Tunisia)=6 6.Zamalek (Egypt)=6...
2 Reactions
4 Replies
777 Views
Nisifiche aisee,hili zee huwa linanikera na lina wafuasi wake mazumbukuku hata hapa utayaona yanakuja na matusi ya kishoga baada ya kuzidiwa hoja,huyu mnafiki zahera spent most of the recently...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Kila mtanzania alikuwa na kipaji cha kucheza Mpira wazazi tu ndo walikuwa kikwazo..!! Nimekula sana fimbo aiseee kisa kuchelewa kurudi home[emoji24][emoji24][emoji24] mpaka nilinyosha mikono hili...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
The Premier League fixtures for the 2019/20 season have been announced. Kick-offs are 15:00 for Saturdays and Bank Holidays unless stated otherwise. Fixtures are subject to change. Go to the...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Leo kuna Kiongozi wa simba ameita waandishi wa habari lengo kuu ikiwa ni kumtia mkwara mzee kilomoni asalimu amri aungane na matapeli yaliyojivika jina la uwekazaji Mzee milimani tu...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom