Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Leo timu ya mpira wa miguu ya Mkoa wa Kilimanjaro chini ya miaka 15 imepigwa goli za kutosha na Wapemba. Picha inajieleza zaidi. ===== Katika mashindano ya TFF U15 vijana wa Zanzibar (Mjini...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
Wanamichezo mnamtambua huyu? Taja sifa yake moja tu
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Posted by Ste Carson June 12, 2019 Mikel Arteta has enjoyed a successful season at Manchester City as the mega-rich club secured the domestic trio of the Premier League, FA Cup and League Cup...
0 Reactions
3 Replies
754 Views
Habar wanamichezo wenzangu Leo naomba nipate ufafanuzi juu ya Huyu mzee wa klabu ya simba ambaye inasadikika ana HATI ya klabu ya simba Najiuliza toka simba inaanza mchakato wa kuibadili simba...
3 Reactions
163 Replies
17K Views
Sikiliza mdau alafu nipe majibu
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Salamu wandugu. Mwezi tar 22 march, mwaka huu, niliandika makala fupi ni kwa jinsi gani CCM walivyochangia kudumaza soka letu kwa kiasi kikubwa ila kwa namna ambayo si ya moja kwa moja. Makala...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
wadau hii game inaonyeshwa channel gani!
0 Reactions
70 Replies
8K Views
Kutokana na match ya jana ya Egypt vs Tanzania jana, nini umejifunza? nini umekona? unahis kocha wetu ashauriwe kitu gani ili michuano ikianza rasmi tusitoe boko? Cus midfield ya jana mimi naona...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimeangalia gem ya Misti na Tanzania, kiukwel kiwango chetu bado sio kizuri hasa hasa kwa upande wa kiungo, namshauri kocha ikiwezekana Ajibu apande ndege haraka aende misri kidogo labda anaweza...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Jamani mi nasikia Mo Dewji kagoma kutoa pesa za usajili kisa Ni kukosa hati ya timu ya Simba ambayo inashikiliwa na Mzee Kilomoni. Na hiyo ndo iliyopelekea michakato ya kuwasajili baadhi ya...
4 Reactions
111 Replies
12K Views
ALIYOSEMA AFISA MTENDAJI MKUU CRESCENTOUS MAGORI KWENYE MKUTANO NA WANAHABARI. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Jana tarehe 12 June kilifanyika kikao cha Bodi ya Simba Sports Club Company Limited...
7 Reactions
44 Replies
5K Views
Nauliza tu maana kila mchezaji anaonekana anaongeza mkataba ofisini kwake na sio ofisini kwa club Je watendaji hawaaminiki ama ni janja kuwa wachezaji wanaingia mkataba na mo mwenyewe kama yeye...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Wengi tunaona hili Jambo haliwezekani kabisaaaa. Mimi Stars wakifuzu nitawapa nitawazawadia 20,000/= Kila mchezaji. Pia nitaanza mchakato wa kugombea Urais 2020 nitaamini hakuna kinachoshindikana...
4 Reactions
51 Replies
4K Views
Naomba msinipige mawe kabla sijaeleza. 1. Nimeangalia timu zote sijaona timu ambayo ina mastars wengi kama miaka ya nyuma au timu ambayo haifungiki. Timu nyingi zina wachezaji toka timu za...
2 Reactions
71 Replies
5K Views
kichuya abdi banda na kelvin John aka mbape out
5 Reactions
110 Replies
12K Views
BRIGHTON head a queue of Premier League clubs interested in signing Genk striker Mbwana Samatta. The Seagulls, newly-promoted Aston Villa, Leicester, Watford and Burnley are all eyeing up the...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
.. Nchi hii bhana.. Yani tunaishi ka madigidigi... Our life is not assured at all.. TV linakula kodi zetuuuu..... Busy kurusha mambo live yasiyo na tija. Fff.... Nauliza.
1 Reactions
42 Replies
6K Views
Nitashangilia Timu za... Uganda Kenya Ghana Ivory Coast Senegal Cameroon Egypt Wangapi wanaungana na Mimi katika hili? Tujadili.
1 Reactions
24 Replies
2K Views
-Aliyozungumza CEO wa klabu ya Simba kwenye mkutano na waandishi wa habari leo ni Mchakato wa mabadiliko, Ujenzi wa viwanja vya Simba Bunju, Jezi mpya za klabu ya Simba msimu ujao, Mambo ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hio ndio thamani ya club inasikitisha kwa kweli huku ni kuharibu vipaji vya wachezaji wetu hasa chilunda ndo unaenda kupotea kabisa kwenye ramani ya mpira Nadhani hata club zetu za hapa nyumbani...
0 Reactions
40 Replies
8K Views
Back
Top Bottom