Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ni Beno Kakolanya. Hakuna ubishi kuwa huyu ni moja ya makipa wenye uwezo mkubwa nchini na tunaamini akishirikiana na wenzake katika kikosi chetu watatuwezesha kuongeza ukubwa wa timu na kutupatia...
10 Reactions
93 Replies
11K Views
https://www.dailystar.co.uk/sport/football/786359/Man-Utd-Ed-Woodward-Ole-Gunnar-Solskjaer-transfer-news-latest?utm_source=feedburner&utm_medium=feed&utm_campaign=Feed%3A+daily-star-football+%28Dai...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kigamboni muda huu, katika makabidhiano ya eneo ambalo Mkuu wa mkoa Dar aliahidi kuwapa Yanga SC. Ahadi imetekelezeka, tayari viongozi wa Yanga SC wanalipigia mahesabu makali eneo hilo...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema wabunge 48 watakwenda kuishangilia timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ katika Fainali za Mataifa ya Afika (AFCON) zinazofanyika nchini Misri...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Amekamatwa ikiwa ni sehemu ya uchunguzi unaoendelea dhidi ya madai ya kuwepo kwa vitendo vya rushwa katika uamuzi wa kukubali michuano ya Soka ya Kombe la Dunia ya mwaka 2022, kufanyika Qatar...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa kikundi cha wahamasishaji na washangiliaji wa Taifa stars wameomba kuchangiwa na wabunge, wanasiasa na wananchi ili waweze kwenda Cairo, Misri. Kikundi hicho kina jumla ya vijana 30...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Saidi Mhando-zico wa Kilosa Makumbi JUma-homa ya jiji Juma Mkambi- Jenerali Sekilojo Chambua-Footballer Abubari Salum-Sure Boy Athumani Juma chama-Jogoo Omari Husein -Kaka kuona Hanzuruni...
0 Reactions
20 Replies
42K Views
A.alleikhum,nimesikitishwa na habari ya timu yetu ya taifa Taifa Stars kuhitaji kuchangiwa pesa ili kumudu gharama za mashindano ya Afcon.. (Source:Mwananchi) Taarifa hii imeniacha na maswali...
4 Reactions
40 Replies
4K Views
Jumanne nilishinda mkeka ambazo match zilikuwa ni za saa sita na saa saba lakini cha ajabu mpaka usiku wa jumanne wakawa bado hawajanilipa pesa yangu. Juzi jumatano nikaingia kwenye web ili...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Bingwa wa uzito wa juu duniani muingereza Tyson Furry 'GypsyKing' kesho alfajiri atapanda ulingoni kuzichapa na Mjerumani Tom Schwarz, mabondia hawa kila mmoja ana rekodi ya kutopigwa je nani...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
By KINGO SR PhD Holder Harrison Mwakyembe amewataka watanzania waichangie timu ya taifa ili wapate motisha wa kucheza mpira. Hii ndio Tanzania na watanzania wenyewe ndio sisi tuna Tabia kama ya...
2 Reactions
8 Replies
922 Views
Muonekano wa mlinzi wa Gor Mahia na timu ya taifa ya Kenya 'Harambee Stars', Joash Onyango katika maandalizi ya AFCON 2019. Hivi sasa ana umri wa miaka 26. Hajadanganya umri kweli?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Simba wanapata bao la moja kupitia kwa Emmanuel Okwi. Ikiondoka kurudi home kujiandaa na mechi ya marudio. Nmeiona game.ni kali yenye mpira mzuri wa kushambuliana sana. Mchawi ambaye ametumwa na...
4 Reactions
53 Replies
10K Views
Yani Leo nahis nimefungwa supa na MTU asiejua (sina uhakika kama ile ilikuwa ni supa kweli au kulikua na kete ya kutokea) maana nlihis kama supa inakuja hlf sikumalizia game nikamwambia tu huyo...
5 Reactions
30 Replies
3K Views
Mpenzi na mshabiki wa YANGA tutakuletea moja kwa moja kinachojiri KWENYE KUBWA KULIKO LEO. LEO NI KUVUNA HELA! BODA BODA FC TUKUTANE MSIMU UJAO! Tuwe pamoja....
6 Reactions
267 Replies
28K Views
Nilikuwa na bado naendlea kuamini kuwa jamali malinzi na michael Richard wambura ni watu wasiopaswa kabisa kuusogelea uongozi wa mpira wa miguu! sababu hawa ni sumu ya mpira . asante karia kwa...
1 Reactions
27 Replies
5K Views
Aman itamalaki Mpira pale juventus wataupiga mwingi sana lakini wataisoma number Nimemaliza Huyu mrumi sarri atapuyanga mapema sana na atafukuzwa mapema sana Mayala B
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Jameni linki hii hapo kwa mabo hamuna Azam TV ..nasikia pia kumbe haitaonyeshwa Azam TV\ So link hii hapo chini kwa live streaming Tanzania vs Zimbabwe | Live Streaming Link
1 Reactions
42 Replies
9K Views
kama kocha hakipanga kikosi jiki naimani tutafanya vizuri mashindano ya afcon 2019 vipi wewe unadahni nan atoke nani aongezekee tutoe usimba na uyanga
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Back
Top Bottom