Sina nia yoyote nyingine zaidi ya kuomba kujibiwa hili dukuduku langu tu , maana ni wazi kwamba hali hii imeleta sintofahamu na mashaka makubwa sana japo watu wanajikaza kiume tu .
Nimeona jezi mpya za timu ya Taifa zimetambulishwa Leo.
Haiwezekani jezi zote hazina rangi nyekundu,lazima wote tuletwe pa1 kupitia rangi za timu ya taifa.
Kubali kataa Tz kama sio simba/yanga.
Imeripotiwa kuwa klabu ya Simba imegoma kutoka kiasi cha fedha ambacho Nkana Red Devils wanakitaka ili kumuachia mchezaji wao Walter Bwalya.
Taarifa za ndani zinasema Nkana wanahitaji kiasi cha...
Baada ya muda kukaa bila kocha, Ac Milan yamkabidhi kocha wazamani wa sampodoria(Marco) timu ya Ac Milan
https://kangaroodds.blogspot.com/2019/06/transfer-news-ac-milan-appoint-marco.html
Yanga hawana budi kumshuru Sana mh. Makonda mkuu wa mkoa wa DSM Kwa kuwapatia eneo zuri na kubwa la kujenga uwanja wao. Eneo hili ni zuri, kubwa na lililoko mjini. Bila shaka eneo hili halikubaki...
Bondia muingereza Tyson Fury amempiga kwa KO round ya pili Tom Schwartz wa ujeruman.
Sasa tusubiri marudiano kati ya Fury na Wilder hapo mwakani mwanzoni.
Kundi C ndilo tumo wa tz, ukitazama kiukweli si kundi rahisi ukirejea kiwango chetu, cha zaidi hapa ni Dua na Maombi tu ndiyo kilichobaki kwetu watanzania angalau basi tusitoke kwa aibu.
Kundi C...
Jina la timu ya young Africans sports club haliendani na uhalisia.Young Africans sports club maana Yake Ni timu ya vijana wa kiafrika.Lakini uongozi umejaa wazee vikongwe wa kike na kiume.Simba hoyee.
Wanajamvi naombeni kuwajulisha kuwa Messi wa Tanzania amemwaga wino Chamazi, hongera kijana.
Nawaletea habari katika picha.
Ramadhani Singano 'Messi wa Tanzania' wakati akimwaga wino Chamazi
Habari wadau wa jf,
Kwa muda sasa nimekuwa nikifuatilia mambo mbalimbali yanavyoenda ktk timu ya azam na najikuta na maswali kadhaa bila majibu
Azam ni timu ambayo ilipoanzishwa na kwa...
Huyu mchezaji sijamsikia kwa muda mrefu sasa.
Aling'ara sana kipindi cha nyuma kwenye ngazi ya vilabu hapa nchini na hadi kwenye timu yetu ya Taifa(Taifa Stars)
Nakumbuka Taifa Stars iliwahi...
Kocha wa timu ya Taifa ya Soka ya Wanaume ya Uhispania, Luis Enrique(49) amejiuzulu kwa kile kinachodaiwa ni kutokana na sababu binafsi na nafasi yake inachukuliwa na Kocha Msaidizi, Robert Moreno...
Habari nilizopata kuwa mchezaji wa zamani wa Yanga na Timu ya Taifa Said Mrisho (ZICCO WA KILOSA) Amefariki leo wakati akiletwa toka Morogoro kuja Muhimbili Hospital kwa ajiliya matibabu
Baada ya rais mstaafu wa Jamhuri ya muungano kutoa kauli juu ya aliyekuwa rais wa Simba Aden Rage kumfata ili kumpatia msaada wa shilingi milioni 30 kwa ajili ya uwanja wa Simba wa Bunju wakati wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.