Jina la Taifa Stars lilibuniwa nadhani mwaka 1967 hivi wakati wa mashindano ya pili ya East African Senior Challenge Cup. Kabla ya hapo timu ya taifa ilikuwa ikijulikana kama Tanganyika National...
Nilicheka sana kuona wale jirani zetu wanaojifanya wajuaji wajuaji wakati ni hewa walimimiwa 2 kavu kutoka Algeria.
Kilichonifurahisha ni kufungwa mbili kavu pamoja na kujifanya wajuaji wajuaji...
Hivi hakuna cha kulitangaza jina la Tanzania bali jina la Rais?
Kuna vitu kama Serengeti, Mlima Kilimanjaro, Madini Tanzanite na hata Fukwe zetu na sio Magufuli.
Hivi akili zetu zimefikia hapo...
Wazuu nawasalimu sana.kwa ufupi kuna maneno ya kimichezo ukiyasikia ata kama MTU hapendi mpira lazima afatilie mfano kunyanyua kwapa(kubeba kombe),jicho mwewe(pasi ya uhakika),pass ya sambusa(pass...
WANASIASA ndio zao! Kila kitu chenye kuvuta hisia za watu hukitumia kama mtaji wa kisiasa. Hata sasa, wanasiasa ni wengi Misri kiliko mashabiki kindakindaki wa mpira ambao liwake jua inyeshe mvua...
Let's be open ata kombe la dunia ufunguzi Wa namna hii wanaweza kuufanya wachache, hivi sisi pale kwa mkapa ufunguzi Wa under 16 tulifanya ufunguzi wa mashindano au ubakaji wa ufunguzi? Do...
Sote tunajua kiwango cha Jonas Mkude wa Simba kilivyo msimu uu amekua na kiwango bora aana cha kushangaza kocha mkuu wa Staz ameamua kumuacha kwa sababu zisizoeleweka.
Kuna watu najua wanaabudu vya zamani vitu vikongwe hio ni kawaida kwa watu wengi wapo hivyo watakuja kupinga ila huu ndio ukweli
Jonas Mkude ndio kiungo wa chini bora kuwahi kumuona Tanzania na...
TUMELOGWA.
Na Thadei Ole Mushi
PhD Holder Harrison Mwakyembe amewataka watanzania waichangie timu ya taifa ili wapate motisha wa kucheza mpira. Hii ndio Tanzania na watanzania wenyewe ndio sisi...
Wakuu Habari
Jana timu ya taifa DRC ilishuka dimbani dhidi ya Uganda nakuambulia kipigo cha 2-0
Sasa alipoulizwa kwann kapoteza game ile akaanza lawama Kama Kawaida yake eti CAF waliwapeleka...
Bond ya bil 20 sijaona imefanya chochote hd leo.30/6/2019 ni siku ya mwisho kuwasilisha majina Caf.Hadi leo simba haijasajili mchezaji wa nje.James kotei jatima yake haijulikani, Haruna kimy hd...
Gwambina imefanikiwa kuwa team ya kwanza ya daraja la kwanza kumilikibuwanja wao wenyewe.
Kuna baadhi ya vitu nimeviona kwenye uwanja wao nakupata mashaka juu ya ujenzi kwani inaonekana...
Nimefuatila huyu straiker was South Africa anaeletwa na Simba kiukweli takwimu zake haziridhishi japokuwa Ni kinda want miaka 22
Huyu anaitwa Ryan Moon Ni straiker Kaizer Chiefs msimu uliopita...
Simba B wana hali mbaya sana,hawapati posho,hawajalipwa mishahara na baada ya kufungwa na Mtibwa B,inatakiwa wacheze mchezo wa mshindi wa tatu na Yanga ila madogo wamegoma na kama viongozi...
Tanzania mpaka leo sijaona chanel yeyote ina toa matangazo kuwa watakuwa live AFCON
Jana nimeona wenzetu kenya KBC kuwa wataonyesha mechi zote 52 bure.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.