Leo tarehe 24/06/2016 Gwiji wa Mpira ulimwenguni Lionel Adreas" Leo " Messi amezaliwa.
Mfalme huyo bora kabisa kuwahi kutokea katika uso wa Ulimwengu huu katika mchezo wa soka anatimiza miaka 29...
Tupeane updates hapa kuhusu michuano hii na mida si mida lipanigwa mbungi kati ya wanaume wawili QATAR vs ARGENTINA.
fuatilieni mbungi hili muwafundishe watoto wamama taifa stars namna mpira...
Tunapaswa tukubali. Uganda walionesha uzalendo na upendo mkubwa kwetu. Kma si wao leo hii tusingekuwa hapo.
Ada ya mja hunena Uungwana ni Vitendo. Tuwashukuru ndugu zetu kutufikisha tulipo...
Kuna wanaomuona Amunike kama mkombozi wetu kwa sababu anetupeleka Afcon baada ya Miaka 40.Hivyo aachwe tu afanye akipendacho.
Wazo la pili Amunike ni kocha Asiye sikiza mawazo ya watu.
Mimi...
Mbunge wa jimbo la Singida Magharibi kwa kupitia chama cha mapinduzi Ndugu Elibariki Emmanuel Kingu Leo amepigana na mbunge wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar katika jimbo la Mfenesini Ndugu Othman...
Kuna mijadala inaendelea kuhusu kocha wa Taifa Stars Emmanuel Amunike, Wengi wanasema kocha huyu hatufai wengine wanadai hana ubora wa kuifundisha Stars,
Swali ni je hiyo miaka 39 ambayo...
Jana nimetazama mchezo wa Taifa stars na Senegal ki msingi nimechefushwa na mchezo tulioucheza.
Lakini ninazidi kuchefushwa na maoni ya Watanzania wenzangu ninao wao wakisema senegal wanalipwa...
Kwa mpira waliocheza Harambee stars jana dhidi ya Algeria ni wazi kabisa Kenya ndio vibonde katika kundi letu.
Kenya lazima wachezee 3 - 0 kutoka kwa Taifa stars then watapigwa " mkoni" mechi ya...
Television ya taifa,ipo bize na mambo ambayo yalikuwa out of the day kwa jana,
WENZETU WANAJITAHIDI ANGALAU KUONYESHA TIMU YAO INAPOCHEZA TU mikosi ikaanzia hapo,ikaendelea mpaka kwa mashabiki...
Kama ingekuwa ni wazungu wamefanya kitendo kile basi dunia nzima ingelaani kuwa wazungu ni wabaguzi, lakini kumbe sisi waafrica wenyewe pia ni wabaguzi wakubwa
Siku ya jana ziliibuka picha...
Siku zote mkulima ukipanda maharage jua kua utavuna maharage, hivyo hivyo ukipanda mahindi, maparachici, nyanya, karoti, vitunguu nk
Timu ya Senegal ni timu ilioandaliwa karibu miaka 12 iliyopita...
Hizi game nilizoziona,Burundi na Zimbabwe walicheza mchezo wa kuvutia sana,Zimbabwe na Burundi walionyesha ulimwengu wa soka kuwa wanajua mpira na wanajua walichokifuata Misri
Licha ya kufungwa 1...
Hapa naanza kuona machungu ya kila siku Tanzania kufungwa sisi tuu?, tumegeuzwa kichwa cha mwenda wazimu.
Lakini kwa upande mwingine nachelea kusema ni aina fulani ya ROHO MBAYA WALIYONAYO...
Kipigo cha timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ dhidi ya Senegal kimeibukia bungeni ambapo mbunge wa Mbozi, Paschal Haonga, (Chadema) ameomba muongozo bungeni akihoji ni kwanini wachezaji wa Stars...
Hakuna haja ya kupoteza muda Taifa Stars warudi tupeleke jeshi la wananchi kule maana bila hivyo hatuta ambulia kitu.
Rais alisema itafika wakati atatumia jeshi tu ili wachezaji wa timu ya taifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.