Tokea mwinyi aje hapa bongo kufundisha club ya yanga tunaona club ya tp mazembe ikisajili vipaji vya tz hivo nafikiri mwinyi zahera is behind the scene. Pia wanasimba walimtuhum kuwaspy kwenye...
Juuko Murshid mmoja kati ya mabeki wapambanaji, wenye roho ya chuma katika ligi ya Bongo kando ya Kelvin Yondan.
Juuko mara kwa mara amekuwa akisugua benchi klabuni Simba, akicheza ujue kuna watu...
England wana utamaduni wa aina yake ambao uko tofauti sana na nchi zingine, kuhusu utambulisho wa watu wao.
Kila watu wana utambulisho wao kutokana na maeneo wanayotoka. Kwa mfano, mtu wa kutoka...
Huu uongozi wetu ukiwasikia wanavyojitutumua kwenye media utawajua wana mipango thabiti kweli kumbe janja tu
Wachezaji wa Simba wakilala chumba kimoja watu zaidi ya ishirini na kula kwa mama...
Mambo moto moto!
Awali walimtaka "Sure Boy" kabla ya kughairi baada ya Sure boy kuonyesha nia ya Kuongeza kandarasi pale Chamazi! Yale Yale ya Mzee wa Makorokocho!
Watu hawana matumaini kwamba Stars itapata matokeo ktk mechi yoyote AFCON hivyo Basi wazee wa kuweka mzingo wamepanga 'kuiua' Stars Tena kwa stake kubwakubwa.
Nawaambia hivi, hamtaamini hi Stars...
Hii ni heshima kubwa kwa club yangu Simba SC. Simba sio club ya vichochoroni mpaka mipango yake ivuje kwenye vijiwe vya kahawa.
Sajili zote maingizo mapya hakuna uliovuja. Beki wa Singida United...
MWENYEKITI wa Yanga SC, Yussuf Mehboob Manji ameipa klabu hiyo eneo la ekari 715 lilipo Geza Ulole, Kigamboni, Dar es Salaam.Wasaidizi wa Manji wamekabidhi eneo hilo leo mchana katika hafla fupi...
Nawasalimu sana wananzengo!
Tengua Teua kama kawaida!
Matajiri wa CHAMAZI wamewaacha wachezaji hawa baada kumaliza kandarasi zao:
Wazawa:
1. Ramadhani Singano
2. Danny Lyanga
3. Joseph Kimwaga...
Wakuu wa jukwaa hili, salamu kwenu.
Mimi ni mpenzi wa soka japo sio mfuatiliaji sana, nikiamua kufuatilia nafanya kweli. Kwa sasa kuna akauvivu fulani..
Hii Klabu inayocheza Ligi ya Serie A...
Kunako pale EFM radio ndani ya kipindi cha sport HQ kunae huyu mtalaamu wa kuitwa dr machachali kabisa, dr panjua wa panjuaniiiii na kunako kule clouds fm the people station, kunae mtalaamu huyu...
Nasikitika sana kuongea juu ya mpira wa miguu wa Tanzania. vilabu vikubwa nchini simba na yanga Vina zaidi ya miaka 80 vikiongozwa au kuendeshwa kwa mfumo wa wanachama kwa miaka nenda rudi...
Wadau wa soka tujuzane kwa hili.
Kwa upande wangu naona mwenye possibility kubwa ya kuchukua de or atakuwa messi kwa mambo aliofanya.
Kwanza amesaidia timu yake kufika nusu fainali,pili...
Hii Radio ya Chama tulitegemea itangaze kwa kuwaunganisha wananchi, badala ya yake yenyewe inawagawa watu.
Watangazaji hawa kipindi cha cha michezo siku zote ni kuishambulia Simba, na wala...
TP Mazembe imesajili mshambuliaji wa Mbeya City kwa dau la milioni 50 kwenda Mbeya city. Ambokile amesajiliwa kuchukua nafasi ya Ibrahim Ajib aliyegoma
Ambokile aliefunga goli 10 mzunguko wa...
Bilionea mfanyabiashara na mwanachama wa Yanga Rostam Aziz amesema yupo Tayari kuidhani klabu ya Yanga kupitia moja ya makampuni yake lakini sio kuifadhili au kuimiliki
Akiongea na waandishi wasl...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.