Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ni kweli wamepita wazuri akina Pele,Diego Maradona,Ronaldinho,Ronaldo de Lima,akina Bebeto,Romario nk..lakini Lionel messi yuko so unique! Ukitaka Jua ubora wake angalia mambo ayafanyayo kwenye...
18 Reactions
81 Replies
8K Views
Lionel Messi: Barcelona forward will leave 'unreachable' record Lionel Messi's Spanish goalscoring record will never be beaten, according to Barcelona coach Luis Enrique. Telmo Zarra's 251 goals...
5 Reactions
36 Replies
8K Views
By Arthur Kennedy Last week, Lionel Messi made history by becoming the leading scorer in Barcelona history with 246 goals. Inevitably, there were comparisons with Maradona and Pele and a return...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Who is Lionel Messi? Pelé: "I like both Lionel Messi and Cristiano Ronaldo but I don't think there is a fair comparison here. Messi has been the best player around for the last 10 years and he...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Sijaona ambacho anakifanya leo hii Christiano Ronaldo na hakikufanywa na Fundi Lionel Messi miaka miwili mitatu nyuma. Halafu nimegundua kuwa wale wote ambao kutwa wanamshabikia na kumfagilia...
19 Reactions
234 Replies
27K Views
Mshambuliaji wa Barcelona na Nahodha wa Argentina, Lionel Andres Messi amenyakua taji la mwanasoka bora wa mwaka barani Ulaya jana. Messi amewashinda Christiano Ronaldo na Luis Suarez. Messi...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Binadamu yoyote aliyebarikiwa ' IQ ' kubwa na Mwenyezi Mungu lazima tu atakuwa anampenda Lionel Messi ambaye huwa anafanya sana Vitu adimu Uwanjani ambavyo pia vinahitaji Akili lakini wale wasio...
15 Reactions
69 Replies
6K Views
Jana baada ya kuangalia mechi ya liverpool na man utd,ambayo to be honest it wasnt a "classic" nikaangalia mechi kati ya barcelona na zaragoza. Kwa kweli vitu alivyofanya huyu Messi si vya...
1 Reactions
64 Replies
11K Views
Lionel Messi From Wikipedia, the free encyclopedia (Redirected from Messi) "Messi" redirects here. For the 2014 film, see Messi (2014 film). For the 2017 film, see Messi (2017 film). Lionel...
6 Reactions
179 Replies
21K Views
Mfanyabiashara Maarufu ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Klabu ya Simba SC, Mohammed Dewji MO, ameitembelea Klabu ya FC Porto ya Portugal kuangalia namna ya...
7 Reactions
66 Replies
8K Views
Wakuu game hii naona itakuwa kali kuliko hata gemu ya kesho . Vikosi ivyo Live Reporting Dakika ya 10" Spurs 0 - Ajax 0 Dakika ya 15" Ajax wanapata goli kupitia kwa Donny Van De Beek Dakika...
3 Reactions
114 Replies
9K Views
Barca 1: Liverpool 0
1 Reactions
2 Replies
464 Views
Wasalaam Vipi wandugu hizi jezi za ndg zetu Taifa stars, ukilinganisha na mataifa mengine mnazionaje? Binafsi sifurahishwi na misoksi ya blue yaani fulana blue, kaptura blue soksi blue....imepoa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu mm ni mwanaYanga tangu kuzaliwa yaani huyu msemaji wa timu yetu yupo kimya na hamna hamasa zozote kwa timu mimi sioni kazi anayofanya huyu jamaa Mara kumi akapewa Kijana anayejitahidi...
6 Reactions
43 Replies
4K Views
Off side? Au sio?....mtazame lines man amechwa na move kabisaaa #Tpl [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Tazama vizuri...
1 Reactions
51 Replies
7K Views
Habari wakuu, Watani poleni sana na matokeo ya Jkt najua mnaumizwa na zile dk 7 za nyongeza kutoka kwa mwamuzi,mmesahau hata nyie mechi ya lipuli mlipewa hizozo 7. Mkuki kwake porin ukija mjini...
0 Reactions
0 Replies
733 Views
Miili mikubwa ni kigezo muhimu Kwa mchezaji wa mpira. Hata mawakala wanatafuta wachezaji wenye vipaji, akili na miili mikubwa. Mchezaji mwenye mwili mdogo ni rahisi Sana kukabwa, kuumizwa na...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Hivi hawa vyura wana matatizo ya akili ama sasa kigezo kipi mnakitaka maana. Simba msimu uliopita alikuwa bingwa msimu huu kafika robo fainali ya CAF Champions League kwenye ligi amewafunga...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania kuendelea leo kwa mchezo mmoja kupigwa katika uwanja wa Karume Mjini Musoma, ambapo Biashara United wakiwakaribisha Simba SC Mchezo huu unatarajiwa kuwa mgumu kwa...
3 Reactions
108 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…