Kwa sababu kumekuwa na ongezeko la magonjwa yanayotokana na kunenepeana na ulaji mbovu huku wafanyakazi wakiwa hawana muda wa mazoezi.
Sasa iwe lazima:-
○ Kila ofisi iweke programu za michezo...
Kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Tanzania kati ya Azam FC watakaopapatuana na Yanga SC siku ya Jumatatu ya 29, Aprili 2019 kunako Uwanja wa Uhuru.
Hii mechi inatarajiwa kuwa ya Vuta Nikuvute kwa...
Nimekaa hapa na mashabiki wa Tasaf fc wanalia kwa uchungu wakidai Aishi manula afungiwe kwa kitendo chake cha kuingia uwanjani kushangilia goal ilihali alikuwa benchi
Ninawasihi TFF wakubaliane...
WAKATI Yanga ikiwa katika usingizi wa pono, watani zao Simba wapo mbioni kutengeneza mamilioni ya fedha kupitia mtaji wa mashabiki wao ndani na nje ya nchi.
Simba iliyopo katika hatua nzuri ya...
Hongera Mwanariadha wetu wa Tanzania Failuna Matanga kwa kushika nafasi ya 3 Hamberg Marathon (Ujerumani) ukitumia mda wa 2:27:55.
Kwa Matokeo haya-amefuzu kucheza Mashindano ya Riadha ya Dunia...
Msimpange kabisa. Hiki ' Kitoto ' ni Kinafiki sana na ndiyo kwani kinacheza ' Kiunazi ' mno kikiwa na ' Mahaba Niue ' yake kwa Timu ya Baba yake Mzazi ya Yanga SC. Na Siku Azam FC huwa...
Virgil van Dijk has collected the PFA Player of the Year award at a ceremony in London, to mark an incredible first full campaign since joining Liverpool.
Van Dijk has transformed the Reds’...
muamala wa milioni 3 kwenda kwa yule kiungo mfupi wa Azam ambaye baba yake aliwahi kuwa mchezaji wa yanga ,uliopitia kwa wakala Thobias kiwavi toka kwa tajiri flani,hizo tuhuma Takukuru fanyieni...
Baada ya wadau wanaolitakia mema soka la bongo kupiga kelele na kulalamikia marefa wanavyoisadia simba koko ni wazi kabisa kelele zimewafikia wahusika na wameingia upepo...
Simba kushusha mziki...
Sasa ni rasmi bingwa wa nchi,mwanarobo fainali CAF Champions, timu tishio Afrika Simba SC atacheza na Sevila tarehe 23 May 2019.
Game hii ni kwa hisani ya Sportspesa mdhamini mkuu wa Simba na Yanga
Habari wadau wa Michezo,
Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza ,kuna fursa ya kwenda kufanyiwa majaribiao mwezi wa tano nchini Croatia kwa wachezaji wazuri wenye kipaji cha mpira kwa umri wa...
Nawasikiliza hapa, hujui nani muongeaji mkuu nani mchambuzi. Achianeni nafasi ya kuongea sio kila mmoja anataka aonekane mjuaji.
Mnakatishana na kuingiliana, inaboa kwakweli
Naona kimya kimetanda baada ya Michael Wambura kupewa kesi isiyo na dhamana kwa lengo la kumnyamazisha ili asifukue ushahidi kuhusu mla rushwa mwenye tuhuma nzito ndugu Wallace Karia.
Wadau...
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru), imewataka wadau wote wa michezo akiwemo Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera kuwasilisha malalamiko yao licha ya taasisi hiyo kuwatuma...
Haijawahi kutokea katika ligi yoyote duniani nchi kuwa na mechi za viporo kama ilivyotokea kwa Simba SC ya Tanzania.
TFF wanastahili pongezi kwa kutuingiza katika kitabu cha Maajabu ya Dunia...