17/4 Coastal Union vs Simba SC
20/4 Kagera Sugar vs Simba SC
23/4 Alliance vs Simba SC
26/4 KMC vs Simba SC
28/4 Biashara UTD vs Simba SC
1/5 Prison vs Simba SC
3/5 Mbeya City vs Simba SC...
The 2018/2019 regular season will open Tuesday, Oct. 16 with the Philadelphia 76ers facing the Boston Celtics, before the Golden State Warriors raise their latest championship banner in front of...
Refa aliechezesha mechi ya Simba vs KMC abdalah Kambuzi amefungiwa na kuondolewa kuchezesha mechi za ligi kuu
Mechi hiyo iliyoisha kwa Simba kushinda kwa bao 2-1 , ilileta malalamiko mengi...
KAMBUZI NA WASAIDIZI WAKE, 'OUT'.
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limewaondoa kwenye orodha ya waamuzi wa msimu huu, Abdallah Kambuzi, Godfrey Msakila na Consolata Lazaro waliochezesha mchezo...
Jamani ile penalty ya pili hapana aiseee,hata sijashangilia,najua wachezaji wanachoka kwa ratiba iliyobanana ila waongeze umakini kwenye chances wana zo create,maana kama kipindi cha kwanza...
Leo Mechi ya Alliance Vs Simba Sc itakayonguruma Katika uwanja wa CCM-Kirumba majira ya saa kumi jioni,
Kwenye mechi hii tutegemee nini?
Je Simba SC itatoka na ushindi?
Je hawa watoto wa...
Yaliotokea leo Mwanza ni aibu sana
Kama mtabeba hizi timu kwa upumbavu wa penati TFF mna kazi sana hayo mashindano makubwa mtayasikia bombani
Fundishen haobwapuuzi marefa wanahongwa wanatia aibu...
Kiungo wa zamani wa Klabu ya Bidvest Wits ya Afrika Kusini, Papy Faty amefariki jana Aprili 25 baada ya kuanguka uwanjani wakati wa mchezo kati ya timu yake ya sasa, Malanti Chiefs na Green Mamba...
Simba kupitia kwa afisa habari wake Haji manara umepanga kumshitaki kocha wa Yanga Zahera Mwinyi.
Haji Manara ameandika Ujumbe huu kupitia ukurasa wake wa Instagram
Kwa hili Zahera...
Timu ya Sevilla ya Spain itatua nchini tarehe 21/5/2019 na itacheza mechi moja dhidi ya Simba au Yanga.
Kitendawili kilichopo ni namna ya kuipata timu ya Tanzania maana Simba wanagoma kucheza...
Katika hali isiyo ya kawaida Kocha Mkongo Mwinyi Zahera anaonekana kuwa msemaji wa timu badala ya kazi yako ya ualimu. Kocha huyo amekuwa mzito kukiri udhaifu wa kikosi chake pindi wanapopata...
Ndugu mwanaJF hiki sio kimbunga cha Kenneth bali ni kimbunga cha ukata. Serikali iingilie kati kutafuta mdhamini hii ni club kubwa ni alama ya nchi
Updates
Zahera ametoa tamko. Mchezaji...
KOCHA wa Yanga Mwinyi Zahera amesema kuwa yeye ndiye alimtimua meneja wa timu hiyo, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ baada ya kuonekana kwenye ofisi ya Mwekezaji wa Simba, Mohamed Dewji Mo licha ya yeye...
Tulianza maisha kwa kuzaliwa. Tukajazwa hadith juu Wema wa mungu na uovu wa shetani. Habari wanazotuambia zimechukuliwa katika vitabu vya watu wa kale. Kila mmoja na wakati wake na wengine wakawa...
Habarini wanabodi.
Kumekua na jitahada na matumizi ya nguvu kubwa ya kipropaganda inayoenezwa na wasioitakia mema timu yetu ambayo huzua taharuki miongoni mwa wanayanga. Iko wazi kuwa kocha wetu...
Leo kimetangwa kikosi Bora Cha Premier League kimetangazwa huku wachezaji 10 wakitoka kwenye timu 2 za man city na Liverpool
Pogba ndo mchezaji pekee alieingia kwenye kikosi hicho katika timi 18...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.