Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Yes... Kabla ya kufika ligi kuu TPL kwa mpira wa hapa kwetu Tz lazima upitie ngazi za chini, yaan uanze ligi daraja 4,3, 2(ngazi mkoa) na 1, huko kote timu inaweza kupambana hadi kufika ligi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mambo ya kubet ni mambo mazuri sana ukiyapatia. Nina jamaa yangu ambaye ni wakaribu sana. Mimi nlipokuwa namtokea demu wangu...nikampata nikaja gundua ana rafiki yake naye mkali vizuri tu na...
4 Reactions
148 Replies
10K Views
Kamati ya Bodi ya Ligi Kuu ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi katika kikao chake cha Aprili 18, 2019 ilipitia matukio mbalimbali ya Ligi na kufanya uamuzi ufuatao; Mechi namba 311- Ndanda 1 vs...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Kabla ya Vipigo ' mfululizo ' vya 5 kwa 4 na Nigeria kisha 3 kwa 0 na Uganda na 4 kwa 2 na Angola Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Vijana ya Tanzania ' Serengeti Boys ' aitwae Oscar Mirambo alikuwa...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Kila Siku huwa navikosoa mno kama siyo sana Vyombo vya Habari nchini Tanzania na hasa hivi vya Michezo kwa tabia yake ya Kupenda Kusifia vitu ‘ Kipuuzi ‘ huku vikiwajaza Watu ‘ Ujinga ‘ kinyume...
3 Reactions
66 Replies
7K Views
"Liverpool wakiwatoa Barcelona kwenye UEFA Champions League Msimu huu, Mimi Haji Manara nitaamia Yanga SC na Jezi yao nitavaa....Nitafanya kazi bure kwa kujitolea na Hela Nitachanga mwenyewe kwa...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Uzarendo ni pamoja na kukubali kushindwa katika michezo na kuwapa nafasi watanzania wengine wajaribu kutengeneza timu iliyo bora zaidi ya Serengeti boys. Kwa michezo yote mitatu iliyochezwa hakuna...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hakika waweza sema hii ni zawadi kwa dunia tokea mbinguni.... Kwa kizazi kilichopo... Jamaaa ni kiumbe adimu kuwahi tokea kwa jinsi anavyoutawala na kuuchezea mpira pamoja na miili ya watu...
7 Reactions
35 Replies
4K Views
Mchango wa mashabiki uwanjani katika timu kupata ushindi ni asilimia ngapi? Je nguvu hiyo ya mashabiki kwenye timu kupata matokeo inapimwaje? Je, mashabiki wa Yanga wanaweza kuchangia Yanga...
0 Reactions
1 Replies
676 Views
....nyie Watanzania ni washamba sana, inakuwaje kwenye baa zenu mnaangalia mechi lakini sauti ya muziki inakuwa kubwa kuliko matangazo ya mechi huku nyie wote mnaangalia mechi? Hebu nipeni jibu...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Ile kamati ya kuratibu mpango wa Timu ya Serengeti kwenda kwenye mshindano ya Dunia Brasil imeleta mrejesho wa nini kimesababisha tushindwe kufikia lengo hilo?
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Katika hali isiyokuwa yakawaida team ya Yanga wakiongongozwa na mashabiki wao wamelalamika wakisema club ya Simba imenunua blue tick ya Instagram (verification account). Hawa mashabiki wa Yanga...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Ninakumbuka hapo zamani sijui ni lini but inawezakuwa miaka ya 1980 hivi Simba palikuwa na Kocha mmoja MZUURI MNOakiitwa Nnabi Kamara ambaye alitengeneza backline kiboko sana ya akina Aloo Mwitu ...
0 Reactions
0 Replies
658 Views
SIO OFFSIDE [emoji119]Kwa mujibu wa Kipyenga cha mwisho cha Mwamuzi Mstaafu, Osman Kazi, kinachoruka Azam Sports 2 kila Alhamis Saa 3:30 usiku..... goli la AmissTambwe dhidi ya Mtibwa Sugar...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Woodward was always an ill fit for chief executive, with no experience handling a day to day running of any football club, let alone Manchester United. His first summer in charge in 2013 was...
0 Reactions
2 Replies
441 Views
Yanga ni wasahaulifu au tuseme hawana shukurani, kipindi ligi inaanza walikuwa na hali mbaya sana kiuchumi, kutokana na ukata uliokithiri TFF ikaamua kuwasaidia kuanza kucheza Dar Mechi zaidi ya...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wana jamvi??? Nimeamua nije na hii thread leo ili kwa wajuzi mpate kutufahamisha ili wengine tupate kuelewa juu ya kigezo cha kumpata mchezaji kinda bora wa EPL kwa msimu wa 2018/19 List...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu Habari zenu? Leo wametangaza nominees ya player of the year epl .mshindi atatangazwa April 28 2019. List kama ifuatavyo hapo chini wanaogombania hiyo nafasi. Nani anastahili...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Kwanza ieleweke Simba ndo timu pekee ilioiletea Tanzania sifa Africa msimu baada ya kufika robo fainali ya klabu bingwa Africa. Jana Kagera sugar waliobahatika kuifunga Simba goli 2-1 pale kaitaba...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Jamani poleni! Huyu kocha wetu wa u17ya Tanzania hivi mpaka tunampa timu tulizingatia ni nini au kujua kuongea kiingereza au mpira hauhitaji 'experience" maana sijui aliwahi kufundisha klabu gani...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Back
Top Bottom