Wakati tunaelekea mwishoni wa ligi kuu mbalimbali za mpira wa miguu hapa duniani ligi kuu ya uingereza EPL imetangaza kikosi chake bora cha ligii kuu mwaka huu.
Nawaza spain nao watatangaza chao...
Msimu wa 2009/2010 nahodha wa liverpoolfc wakati huo Seven Gelard alichoma kwa makusu mechi dhidi ya chelseafc wafungwe ili Manchester united wasichukue ubingwa mwaka huo, alipo hojiwa alisema...
Ndani ya Siku 7 mtu anatengeneza Million 920.
Mwingine unaweza kuhisi ni ndoto lakini huo ndiyo ukweli kwamba sasa mkiambiwa mpira wa leo n pesa usibishe; ni bora ukalime matango kule Mzenga...
Nimechungulia comments za page nyingi za mitandao ya kijamii za mashabiki wa klabu ya Manchester United (page za Internationals&Britons) wengi wa mashabiki kama sio wote katika page hizo wanataka...
Kweli cha mtu huliwa na watu.
Ndo tuseme Bilioni moja alizotoa mheshimiwa raisi kwa timu ya vijana ya Serengeti Boys ndio zimeondoka kwa aibu ya kipigo kile?
Pamoja na kuwa mwenyeji wa mashindano...
- Klabu ya Yanga imetozwa faini ya sh. 3,000,000 (milioni tatu) kutokana na timu yake kuingia uwanjani kwa kutumia mlango usio rasmi katika mechi hiyo iliyofanyika Aprili 4, 2019 katika Uwanja wa...
Kweli cha mtu huliwa na watu.
Ndo tuseme Bilioni moja alizotoa mheshimiwa raisi kwa timu ya vijana ya Serengeti Boys ndio zimeondoka kwa aibu ya kipigo kile?
Pamoja na kuwa mwenyeji wa mashindano...
KOCHA wa Yanga Mwinyi Zahera amesema kuwa yeye ndiye alimtimua meneja wa timu hiyo, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ baada ya kuonekana kwenye ofisi ya Mwekezaji wa Simba, Mohamed Dewji Mo licha ya yeye...
Kama kuna Timu mbili Kubwa duniani ambazo nazichukia na sitozipenda au Kuondoka Kwangu Ulimwenguni ni Yanga SC ya Tanzania na Manchester United ya nchini Uingereza. Haiwezekani Manchester United...
Kama kuna Timu mbili Kubwa duniani ambazo nazichukia na sitozipenda au Kuondoka Kwangu Ulimwenguni ni Yanga SC ya Tanzania na Manchester United ya nchini Uingereza. Haiwezekani Manchester United...
Kweli cha mtu huliwa na watu.
Ndo tuseme Bilioni moja alizotoa mheshimiwa raisi kwa timu ya vijana ya Serengeti Boys ndio zimeondoka kwa aibu ya kipigo kile?
Pamoja na kuwa mwenyeji wa mashindano...
NA
NIHZRATH NTANI
Jioni moja ya mwaka 1977 ndani ya mji wa Bologna nchini Italia. Vijana wadogo wenye umri kati ya miaka 15-18, walikuwa na mechi kati yao. Mechi yao iliwakutanisha watoto wa...
Tarehe 23 June mwaka huu Taifa Stars itaumana na Senegal nchini Misri kwenye Michuano ya Afcon 2019 zifuatazo ni tofauti kati ya timu hizo
1. Wakati Tanzania wanajivunia kufikisha alama 18...
Manchester Derby Leo April 27,2017 katika dimba la Etihad na Siku kama ya leo April 27,1974 katika dimba la Old trafford MACHESTER UNITED VS MANCHESTER CITY
Kipindi cha miaka ya 60s man united...
Na Bakari Chijumba
Timu ya Namungo Fc yenye maskani yake wilayani Ruangwa Mkoani Lindi ,imefanikiwa Kupanda daraja na kutinga Ligi kuu Tanzania Bara,baada ya kuichapa Mawenzi bao mbili kwa...
Paul Patrick Ausems simweli kama kiwango chake kimefikia mwisho ama kimeshuka.
Jinsi simba inavyocheza eneo la ulinzi na eneo la 18 ndani ya eneo la adui ni aina ya ucheza wa ovyo kabisa.
Simba...
Amekua kimya sana mkongwe huyu ambae Mimi namkubali sana Kama mmoja wa walimu wazuri sana wazalendo wa mpira wa miguu ambae bado amekua akijitahidi kushauri lakini amekua ni kama athaminiwi lakini...
Bila kuwepo ushirikishwaji wa wanaojua soka na tukiacha kuweka misukumo ya kisiasa yenye ajenda za nyuma ya pazia hatutafika popote .
Dharau , matusi na majivuno dhidi ya wengine ambao ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.