Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ni takribani timu nne mfuluzo zimeituhumu klabu ya tanzania kufanya huu mchezo ukiachana na kutumia mbinu za mabasi mabovu yenye harufu na uchawi kama ule wa kumwagia vimiminika sehemu ya mlango...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Timu ya vijana Tanzania chini ya miaka 17, Serengeti Boys imetwaa ubingwa wa michuano ya vijana iliyoandaliwa na Shirikisho la Soka la Rwanda (FERWAFA) baada ya sare ya mabao 3-3 na wenyeji Nyigu...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Mfungaji bora na mchezaji tishio wa TP MAZEMBA, Tresor Mputu amesema Simba ni timu tishio katika ukanda wa Afrika, hivyo watacheza kwa tahadhari kubwa katika mchezo wao kesho (Jumamosi). MPUTU...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Ni ukweli ulio wazi kuwa cloning ikifanyika kwa Messi kuna high chance ya kumpata Messi aliyekamilika kwa asilimia 100. Ila ikifanyika kwa ronaldo anaweza akatokea binadamu mchezaj wa kawaida kama...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Hii ndio wage bill ya Klabu ya Simba SC kwa msimu 2017/18. Takriban milioni 100 kila mwezi kutumika kulipa mishahara tu. Kiungo wa zamani wa mabingwa wa kihistoria Dar es Salaam Young Africans SC...
4 Reactions
71 Replies
59K Views
Jamaa aendelea kuwapotosha wachezaji wa team zinazokuja kucheza na simba.baada ya kuwadanganya Yanga wapitie mlango usio Rasmi wakapigwa Moja na Simba kwa Kagere kuingiza kichwa. Akaja akashauri...
16 Reactions
75 Replies
8K Views
Hadi dakika ya 60' matokeo yalikuwa Ndanda 1 - 0 Yanga. Dakika ya 61' Jaffary Mohammed akaisawazishia Yanga,na matokeo kuwa Ndanda 1 - 1 Yanga. Nilichojifunza: Yanga wanakuwa obsessed sana na...
9 Reactions
81 Replies
6K Views
Tunasemaje Hapa Yanga kapata sare au Ndanda ndiye kapata sare!?? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
417 Views
Tunasemaje Hapa Yanga kapata sare au Ndanda ndiye kapata sare!?? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
704 Views
Kuna jamaa alisema Simba ikishinda Mke wake akagegedwe na Mwanasimba... Nlishangaa sana...yaani Yanga kama wasipotaka kugegedwa wao wanatoa wake zao. Haya wakaja mabinti Watatu wakasema wao ni...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Leo Mnyama anaendela kukusanya pointi ,na tunazidi kumpumulia mtani kisogoni.....ogopa sana mtu anayekukimbiza kimyakimya!;) ujue amedhamiria
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Nilkuwa naona thread nyingi sana zikumsifia msemaji wa Yanga kuwa anafanya kazi kwa weledi togauti na Manara. Leo nimepita kwenye acc yake ya instagram nilivyokuta post zake nimeona naye ni...
0 Reactions
0 Replies
756 Views
Nilkuwa naona thread nyingi sana zikumsifia msemaji wa Yanga kuwa anafanya kazi kwa weledi togauti na Manara. Leo nimepita kwenye acc yake ya instagram nilivyokuta post zake nimeona naye ni...
0 Reactions
2 Replies
683 Views
Mjiteue wenyewe...ahadi yangu ni kuwa Simba ikishinda siku ya Jumamosi dhidi ya TP Mazembe nitawagegeda wadada hao bila condom kwa siku tatu mfululizo. Kweli siwatanii nitawagegeda bila condom na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Halmashauri ya Manispaa ya Temeke imetangaza dhamira ya kuvifungia viwanja vya Uwanja wa Taifa, Azam Compex na viwanja vya Maonyesho vya Sabasaba kwa kuwa wamiliki wa viwanja hivyo hawajawahi...
2 Reactions
16 Replies
8K Views
Mjiteue wenyewe...ahadi yangu ni kuwa Simba ikishinda siku ya Jumamosi dhidi ya TP Mazembe nitawagegeda wadada hao bila condom kwa siku tatu mfululizo. Kweli siwatanii nitawagegeda bila condom na...
0 Reactions
0 Replies
578 Views
John Bocco ni mali ya Simba,. Taarifa zinaeleza amesaini miaka miwili katika kikosi cha Simba. Taarifa zinaeleza mkataba huo ni wa awali na inaonekana Bocco ameamua kutua Simba baada ya...
0 Reactions
41 Replies
14K Views
Hey! members!! Ligi kuu Tanzania. YANGA 1 Ndanda 1 Dakika 90 zimeisha uwanja wa Nangwanda sijaona Mkoani Mtwara. Ndanda 1 likifungwa na Mayanga wa Ndanda FC. Na goli la YANGA likifungwa na...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani wote mnaofuatilia TPL na Azam Confederation Cup, kuna kitu mtakuwa Mme note, kama mechi 10 mwisho za mashindano hayo ambayo Yanga imecheza kiwango kimeporomoka vibaya, sasa hivi Yanga...
0 Reactions
3 Replies
809 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…