Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Timu ya Serengeti boys wamechukua ubingwa wa mashindano maalum yaliyofanyika Rwanda maarufu kama Ferwafa baada ya kutoka droo ya magoli matatu kwa matatu. Mashindano hayo yalishirikisha timu tatu...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani wote mnaofuatilia TPL na Azam Confederation Cup, kuna kitu mtakuwa Mme note, kama mechi 10 mwisho za mashindano hayo ambayo Yanga imecheza kiwango kimeporomoka vibaya, sasa hivi Yanga...
0 Reactions
1 Replies
732 Views
A reminder that Manchester United signed Phil Jones, Chris Smalling and Ashley Young to contract extensions in the last few months. Great business. 😂
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Victor Mugabi Wanyama, ni jina kubwa sana kwa ukanda huu wa Afrika ya Mashariki katika michezo. Amejizolea umaarufu kama mmoja kati ya viungo bora wakabaji katika EPL kwa misimu kadhaa akiwa na...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
tanzania yapanda kwa nafasi kutoka 137 hadi 131. kidogo mwanga kwa timu yetu ya taifa waanza kuonekana. jiunge group la SUN POWER sports la facebook kwa habari na matukio mbalimbali ya kimichezo.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Imepita muda sasa Azamtv kupitia online app yenu mmeitoa channel ya azamsport, hivi karibuni pia mmeitoa ZBC2. Kwa kweli mnaumiza walio nje ya nchi maana ndio mlikuwa faraja yetu hasa kwa wapenzi...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Ninamkumbuka sn huyu mchezaj wa zaman wa simba anbaye kwa sasa ni marehemu"mwenyez mungu naomba umrehemu huko aliko na apumzike kwa aman Amen.My take ni kwamba kwa siku za hv karibun nimekuwa...
1 Reactions
27 Replies
6K Views
Jf, habarini za mchana, naomba kuuliza kwa anayejua App mzuri kwa simu za Android ambayo inaweza kustream mechi live za CAF Champions league naomba anitajie jina au anitumie. Nipo mbali na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Klabu ya al ahly imeanzisha akademi katika nchi tatu hapa afrika ambazo ni Nigeria, Angola na Ghana. Lengo la mradi huo ni kukuza na kuinua vipaji ili kufanya biashara na vilabu mbali mbali kote...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
kama ulishawahi kula pesa ya kubet tunaomba uscreenshoot bet yako then itume tupate betting master, mkeka wangu huu APA chini
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Rekodi za nyuma zinaonyesha kuwa Simba na TP Mazembe walikutana mwaka 2011 kwenye CAF Champions League raundi ya kwanza: Mechi ya kwanza ilipigwa Dar- Simba 2, TP Mazembe 3. Mechi ya Pili...
13 Reactions
59 Replies
50K Views
Kumekucha. Kwenye droo ya jana,tumeona Simba itakavyopambana na Tout Puissant Mazembe. Kwakweli sote tunajua historia ya Tout Puissant, ni timu ambayo ina rekodi nzuri sana kwenye michuano ya...
11 Reactions
85 Replies
8K Views
Na. Chiki Mchoma. +255 712 885 999 Ni kama utata wa dereva wa boda boda au tax. Pale ambapo ulimwambia utashukia sehemu fulani halafu mkifika sehemu hiyo anakwambia huko mbele siendi shukia hapa...
8 Reactions
48 Replies
6K Views
Wakuu, nimefikiri sana jinsi michezo ya kombe la ligi inavopangwa na nimeona ni bora wahusika wakabadiri aina ya michezo hii ambayo inadhamniwa na Azam. Pendekezo langu timu zecheze mechi mbili...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Tumekua timu kituko kwa sababu ni kituko kukusanya michango kwenye vikapu vinavyoptishwa pindi mechi inapoendelea. Binafsi ni mshabiki damu damu wa Timu ya Yanga na wala haitokuja kutokea...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Shirikisho la soka Ulaya (UEFA) imetangaza kuipiga faini club ya Chelsea kufuatia tukio lililotokea wakati wa mchezo wa UEFA Europa mwezi February ugenini dhidi ya Malmo, UEFA imefikia hatua ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
WEEKEND HIII Fulham, watakuwa nyumbani kuwakaribisha jeshi la Guadiola, kumbuka hapa Manchester city wana tetea ubingwa wao huku Fulham wana pambana na msala wa kuto shuka daraja, bonge moja la...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Wale wapenzi wa soka mpo? wale mashabiki wa Cameroon ya miaka ile mpo? Njooni tuwakumbuke mashujaa hawa wa kikosi hiki kilichojizolea mashabiki mwanzoni mwa miaka ya 2000. Ulikuwa wapi wakati...
3 Reactions
24 Replies
7K Views
Aisee ukiwatizama unaweza fikiria ni under 23 maumbo makubwa mpaka unajiuliza kule kwao wanalishwaga nn? Nipo naangalia mechi ya serengeti boys na cameroon ila mijaamaa imeshiba kinyama. Yani...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Usajiri mdogo ligi mbali mbali za ulaya katika hatua mwisho. Washika bunduki wa Highbury wamelamba dume kwa kumsajili kiungo wa Barcelona Denis Suarez..
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…