Taarifa rasmi itatoka hivi punde
Sababu ni kutokana na Bandari na Kariobang sharks kutokuwa katika udhamini wa Sportspesa yaani Sportspesa sio main sponsor wao.
Game ipo tight sana nmeicheck hapa kama Simba ambayo ni Team ya Taifa ya Tanzania haitakaza tunapigwa bao 2 bila. Halafu tunarudi kuja jipanga.
Nashauri wachezaji wasiingie vyumba vya...
Kutoka katika ukurasa rasmi wa simba. mchezaji shiza kichuya amesajiliwa Enppi ya nchini Misti na ataanza mazoezi hapo kesho. kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya misri dhidi ya Al ahly hapo siku ya...
Kama kuna mdau humu,mjuzi wa mambo,naomba atuwekee orodha ya watanzania wanaocheza mpira wa kulipwa nje ya nvhi na makocha wanaofundisha nje ya nchi
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukio la kumtoa goalkeeper lilitokana na kuruhusu goal la pili la Yanga muda mfupi Jamp alimtoa goalkeeper huku akionekana akilalamika na hata hakumpa mkono wa kumpongeza hali ilioashiria kuwa yy...
Kama mshabiki nilioufuatilia mchezo wa leo kwenye luninga, wachezaji wako wanafanya makosa ambayo hayawezi kuvumilika. Mfano lile goli la kwanza yule mchezaji anayeitwa Chikupe anafanya faulo...
Tunaomba kujua utaratibu wa mapokezi ya timu yetu ya Yanga pamoja na namna ya kutoa michango ya pesa pia wanayanga tujitokeze Mkwakwani siku ya Jumapili yanga daima mbele nyuma mwiko
kwa maslahi mapana ya Simba kocha na wachezaji wasione hii video. hawa ni mashabiki wa Al Ahly wakiwa kwenye uwanja wa mazoezi ila shangwee lake kama fainali ya kombe la dunia, hapo bado...
James (Lakers) amekuwa captain ktk allstars kadhaa akiwa Eastern Conference ambazo amecheza dhidi ya Western Conference. Sasa ameteuliwa kuwa nahodha wa kanda ya Magharibi kwenye NBA All-star 2019...
Mshambuliaji wa Simba na Taifa Stars, Shiza Kichuya amesema wakati wake ukifika atakwenda kucheza soka la kulipwa nje ya nchi kwani kila kitu hupangwa na Mungu.
Kichuya alisema bado anaendelea...
MANCHESTER UNITED NA KILICHOTOKEA MWAKA 1999.
Na Tom Thomas
Mwaka 1999 unabaki kuwa mwaka bora kwenye historia ya Manchester United. Mafanikio yaliyopatikana yanaufanya kuwa mwaka bora na wa...
Taarifa zinaonyesha kwamba Wanasheria wake tayari wamewasilisha ombi hilo kwa viongozi wa Yanga
Binafsi naunga mkono madai yake
========
Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Samwel Lukumayi amesema wapo...
Simba sports hawana bahati ya kupata makocha wazuri kama ilivyo kwa Yanga. Wamekuwa wakiajiri makocha wabovu hata huyu aliyepo sasa Patrick Aussens. Ni kocha gani ambaye ujio wake haubadilishi...
Habari za uhakika kabisa kutoka kwenye source ya uhakika ndani ya club ya simba kuna mpasuko mkubwaa..
Mpasuko huo ni kati ya wachezaji wa kigeni na wachezaji wazawa,wachezaji wazawa wanadai...
Habari wadau,
binafsi ni mshabiki wa yanga miaka mingi. Simba ni watani wangu japo tabia zetu zinafanana ndio maana tunaishia kushindana wenyewe kwa wenyewe mchangani huku
Natamani sana kabla...