Hali imeendelea kuwa tete Yanga baada ya kocha wao kutimkia Ufaransa.
Pamoja na Yanga kutaka kuwa amekwenda kwenye matibabu,taarifa za ndani zinaonyesha Mwinyi kakimbia njaa. Club ya Yanga...
SIMULIZI;MJI WENYE SHIDA
MTUNZI;RAJA SAIDY
WHATSAPP;0756920739.
SMS;0621047841.
SEHEMU YA KWANZA ( 1 )
ANZA NAYO......
Ilikuwa siku ya jumapili,nakumbuka nilikuwa nimejilaza kwenye kijigodoro...
ukweli kwamba manji harudi ushaoenakana,mwenyewe anapigania business zake,anahamia zambia bado majitu yanakazania ni mwenyekiti wao aendelee kuwaga mipesa
hapa wajanja wanasubiri ule mzigo wa...
King Messi's goals by body part....Pia goli la mkono👊 wamesahau kuliweka
Kama mnakumbuka wiki kadha zimepita, yule babu TAAHIRA mwenye Domo chafu kama jinsi lilivyo lenyewe/Pele... mara nyingi...
Timu yetu ya wachambuzi leo wana mikeka 3 ambayo tunakutumia Bureeee,
Weka stake sawa ili hata miwili ikichanika mmoja unarudisha mtaji wako.
Asante na karibu sana.
Njoo INBOX ni Bureeeeeeee
kila mtanzania mwenye akili timamu anaona jina timu yetu pendwa "taifa staz" inavyoboranga kila nyanja ya "burudani " timu [meli ya danganyika]mashabiki wenye kuchumia matumbo wamepigwa upofu...
Nahisi kama kuna majuto muda si mrefu
Jose Ni mmoja wa managers Best kabisa duniani
Nahisi kulihitajika subira kwanza kama waliokua nayo arsenal walivyomvumilia arsene wenger
Sidhani kama...
Tanzania Premiere League TPL kuendelea leo :
Simba wamepata goli 2 kipindi cha kwanza na sasa Muda wa Mapumziko.
Goli la kwanza likifungwa na Adamu Salamba dakika ya 12"
Na Goli la pili...
Mkurugenzi wa Michezo, Yusuph Singo ametaja majina nane ya wanachama ya Yanga wanaodaiwa kuwakwamisha uchaguzi wa Yanga.
Singo alisema Waziri Dk Harrison Mwakyembe tayari ameyapata majina nane ya...
Kama jins kichwa cha mada kina jieleza. Mi napata shida sana na uwezo wa kufikiri kwa huyu Kiongozi wetu mkuu wa soka nchini anakosaje kushawishi watu au makampuni ya kudhamini ligi kuu maana...
Kocha wa timu ya Yanga Mwinyi Zahera amemkataa kipa Beno Kakolanya na kwamba ameruhusu aendfe timu nyingine na si Yanga.
Akizungumza na Yanga TV Zahera amesema wale waliomwambia aache kufanya...
Kocha Jose Mourinho ameondelewa katika nafasi yake ya kuinoa klabu ya Manchester United baada ya kuiona klabu hiyo kwa miaka miwili na nusu
> Taarifa ya klabu hiyo inasema "Klabu inapenda...
Majina kadhaa yanatajwa wakiwemo Mauricio Pochetino , Laurent Blanc , Michael Carrick na Antonio Conte , Je wewe unadhani ni yupi anafaa kubeba mikoba ya Ukocha wa timu hii kubwa ?
Jumapili hii kuna mchezo wa ngao ya jamii pale England, kati ya Man City Vs Chelsea katika uwanja wa Wembley. Mechi hiyo ni ishara ya ufunguzi wa msimu mpya wa EPL.
Cha kusikitisha ni kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.