Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

José Mourinho was sacked by Chelsea on the 17th December 2015. It’s December 17th tomorrow.
1 Reactions
25 Replies
2K Views
NUKUU ZA ZAHERA LEO JIONI. - Timu yangu imecheza ovyo sana lakini nashukuru tumepata ushindi. - Jana ilikuwa dirisha dogo la usajili linafungwa ni siku ambayo uongozi wa Yanga umefanya vitu vya...
7 Reactions
36 Replies
4K Views
Mheshimiwa Mwakyembe amesema uchaguzi wa Yanga uko pale pale na utasimamiwa na TFF mwanzo mwisho. Chanzo:Gazeti la Mwananchi.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Niliwahi kuandika humu kwamba Paul Pogba si lolote si chochote, hawezi hata kufanana na Athuman China au Husein Masha, bei ile aliyouzwa mchezaji huyu ilikuwa ya kitapeli kabisa. Kitendo cha...
10 Reactions
62 Replies
6K Views
Kwanza kabisa GENTAMYCINE nichukue nafasi kuwapa pole Wachezaji wa Simba SC kwa ‘ Kipigo ‘ cha jana kule Kitwe nchini Zambia ila pia niwapongeze kwa kupata goli muhimu sana la ‘ Ugenini ‘ ambalo...
6 Reactions
39 Replies
6K Views
C&P MAPACHA WA KARIAKOO...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
“Huyo aliyempa pesa Kakolanya, aje awape na hawa wengine kwa sababu si yeye tu anayedai, ikitokea hawa waliobaki nao wakagoma kucheza jumapili unadhani itakuwaje, siwezi kumpokea tena, atafute...
4 Reactions
12 Replies
3K Views
On October 7th, Gourav Mukhi became the youngest goalscorer in the history of the Indian League at just 16 years old. Two months later, the player has been suspended for 6 months for lying about...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Weekend hii jumapili, saa 1 usiku kwa saa za Afrika Mashariki, Liverpool itakuwa nyumbani ikiialika Man Utd katika derby maarufu ya North West Derby. Man Utd itaingia kama underdogs...
4 Reactions
101 Replies
10K Views
Ikifika dkk ya 80 yanga huwa Kama nyuki hongera wachezaji wetu Simba jiandaeni kisaikolojia kwa Nkana Yanga hoyeeeeeeeeeeee
16 Reactions
128 Replies
10K Views
The draw for the last 16 of the Champions League has thrown up some intriguing ties. The draw for the last 16 of the Champions League is: The first legs will be played on February 12/13/19/20...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Serengeti Boys imetwaa ubingwa wa mashindano ya Cosafa U-17 baada ya kuifunga kwa penalti 6-5 Angola katika fainali iliyomalizika kwa sare 1-1 katika dakika 90
4 Reactions
20 Replies
4K Views
Basi la klabu ya Simba SC, Wekundu wa Msimbazi, ambalo lililokuwa limewabeba wanachama na mashabiki wa timu hiyo kutoka Tanzania, likielekea mjini Ndola, limepata ajali baada ya kugongana na Lori...
2 Reactions
42 Replies
9K Views
Zaidi ya mara tatu nimekuwa nikiangalia lile yule kijana wa Arusha anataja tarehe alizo shinda ni 27 .12.2018. Nijuavyo mm hata uwe na miaka 90 huwezi kusahau tarehe uliyoshinda bahati nasibu ya...
3 Reactions
3 Replies
934 Views
Man u ni timu inayoongoza kwa mashabiki duniani hiyo imetokana na soka lake mrua lilio kua linapigwa kipini cha 1999's mpaka 2010 man u ilifanikiwa kusomba mashabiki pande zote duniani Tokaea...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Kama ni dua ili Liverpool ishuke, umekosea sana. Liverpool kila Mchezaji ni askari na wanajitoa sana. So far they are the only unbeaten team since independence. Their winning spirit signifies that...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Aaaa! Beno hasomi alama za nyakati, kazi yake ya ugolikipa ni kazi takatifu haitaki vitendo kama hivyo alivyofanya. Hii ni sawa na kuitia najisi kazi yake ya ugolikipa. Hakuna timu makini duniani...
4 Reactions
67 Replies
9K Views
Oh wachezaji wa Yanga Njaa hv kwa shut Kama la Fei Toto kama una njaa unapigaje shut kaliiiii. Hahaaaaa Simba mmewewuka subirini Nkana aje "awamalize Yanga songa mbeleeeeeee mtasubiri sana viporo...
2 Reactions
3 Replies
641 Views
Ligi ya mabingwa Africa round ya Kwanza Leo inatimua vumbi Kati mashetani wekundu kutoka Zambia Nkana Red Devils na wekundu wa msimbazi Simba. Mshindi wa jumla katika michezo 2 watakayocheza...
11 Reactions
410 Replies
46K Views
Back
Top Bottom