Muhimu cha kuangalia kwa viongozi, Timu inapokuwa U17 inakuwa na uwezo mzuri sana kwakuwa umri wa hadi 15 ni wa kufundishika na kuelewa haraka kwa kuiga na matamanio ya kuwa kama Fulani! Ni...
kwa wajuzi wa mchezo huu naamin mtanisaidia hili swali , hivi vile vitu vinavyo halibiwa na hawa wacheza mieleka kama Tv, Meza, n.k. vinalipwa na nani?
Kwa kwel nkana lazima watoke tu hakuna jinsi japo nimeona wanajipa moyo kuwa hatakuja kutufanya kaz dar esalam.Nkana Leo wamepoteza nafas nyingi za kutufunga na leo timu ya simba wamecheza Mpira...
Mpira wa leo kati ya Wekundu wa Msimbazi na Nkana Red Devils ulikuwa mkali sana japo Simba wamefungwa goli 2-1wakiwa na faida ya goli la ugenini. Mnatakiwa mjipange sana kwa ajili ya mechi ya...
Katibu mkuu wa TFF Wilfred Kidau amesema licha ya mahakama kumrudishia umakamu mwenyekiti Michael Wambura
TFF kupitia wakili wake Mgongolwa wamekata rufaa mahakani kupinga maamuzi hayo Sasa...
Namnukuu Afisa Habari wa Simba SC, De La Boss, Haji Manara..
"Tumeanza ujenzi wa uwanja huu na tutawapeleka waandishi wakajionee mambo yanavyoendelea katika ujenzi"
Haji Manara pia alitanabaisha...
Habari ya uhakika ni kuwa katika Hali isiyokuwa ya kawaida klabu ya Yanga imemsajili mhenga kiungo mchezeshaji wa African Lyon Haruna Moshi Boban kwa mkataba wa miezi 6 katika dirisha dogo...
Kocha wa Nkana alipoulizwa anaiongeleaje timu ya Simba aka mikia alisema kwa mpira wa Tanzania anawafahamu sana sana mabingwa mara nyingi timu ya Young Africans na matajiri wa Chamazi timu ya...
---Hii Rekodi Inatia Mashaka
Anyway Tuwaombee Wawakilishi wetu wa Tanzania Simba SC........
NKANA FCS 42 YEAR UNBEATEN RECORD AT NKANA STADIUM
Nkana 4-0 Bata Bullets 🇲🇼 (1976 Caf Cup Winners...
A Ugandan Teenage Girl has Won the Women's World Chess Title
A Ugandan teenage girl has won the Women's FIDE master World Chess Tournament. 17-year-old Ugandan Gloria Nansubuga attained the...
Miaka 42 iliyopita Nkana haijawahi kupoteza mchezo uwanja wa nyumbani ikishiriki michuano ya kimataifa.
👉Itasalimu amri dhidi ya Simba..?
Nkana 4-0 Bata Bullets 🇲🇼 (1976 Caf Cup Winners Cup)...
Anaandika Khaled Msabaha#ThePointGuard
Vitu vingine huwezi kuviona nchi nyingine bali utaviona Tanzania tu, kweli mtoto usiempenda ndio anayekuja kukuletea mafanikio na utaona aibu kwa yale...
Habari wana jf,
Naomba moja kwa moja nijielekeze kwenye hoja/mada ambayo binafsi inanisumbua sana
Kwanza nadeclare interest mimi ni mshabiki/mpenzi wa team hii ya Yanga na nafarijika sana na...
Ndege hiyo pia imeongezewa nakshi ambapo kwenye ngazi za kuingilia ndani kuna jiko lake (Leo), mke wake (Antonella) na watoto wake watatu (Thiago,Ciro na Mateo) Thamani ya ndege hiyo ni pound...
Kati ya TFF na wanachama wa Yanga ni nani mwenye timu? ni nani mwenye uchungu na timu?
Yanga kwa sasa ina shida ya pesa na mdhamini lakini sio Mwenyekiti wala viongozi. Timu ya Yanga kipaumbele...
Haji Manara alijinasibu kwamba Simba wana uwezo wa kucheza mechi mbili ndani ya siku moja! kutokana na upana wa kikosi
swali je kwa nini TFF wamewapa wiki mbili dhidi ya Nkana wakaweka viporo...
Tangu muda mrefu pamekua na hali ya mfananisho wa nani zaidi kati ya Lionel Messi na wachezaji wengine hasa Christian Ronaldo wa real Madrid. Na clip hii imeweza kutatua mjadala wa mda mrefu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.