Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Beki wa kimataifa wa Tanzania anaecheza soka la kulipwa nchini Africa Kusini kwenye klabu ya baroka Fc inayoshiriki ligi kuu ya nchi hiyo maarufu kama ABSA PREMIER LEAGUE. ABDI HASSAN BANDA...
2 Reactions
13 Replies
4K Views
"Mchezaji anayefanya mazoezi na kuhudhuria program za mwalimu ndiye ninayempanga.Kila siku usiku kocha wa mazoezi ananipatia list ya wachezaji waliohuzuria mazoezi na wasio huzuria katika siku 14...
4 Reactions
13 Replies
3K Views
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania TPL, kuelekea leo Novemba 22, 2018 kwa viwanja viwili kutimua vumbi, ambapo mkoani Shinyanga wenyeji Mwadui FC watawakaribisha Yanga SC kwenye uwanja wa Kambarage...
7 Reactions
86 Replies
13K Views
Si watavunjika nyonga haswa yule kagere.Leo Mrisho Ngasa kafanya showboat ya hatari.
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wanachama na mashabiki wa Yanga sasa wanapaswa kujiandaa kisaikolojia kuishi maisha bila Yusuf Manji baada ya jina la mwenyekiti huyo kutokuwapo miongoni mwa wagombea 27 waliojitokeza kuwania...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Ndg zangu wenye timu za uhakika naombeni niweke mkeka saa hiv
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tusitegemee Team zetu za Taifa za Level zote ziwe Bora wakati Hatuna league ambayo Iko Fair. Hapo hapo Idadi kubwa ya Wachezaji wanatoka Domestic League. ......Bila mkakati mazubuti Tutafungwa...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Chelsea legend Didier Drogba has confirmed his retirement from playing, ending "an amazing 20 years". The Ivory Coast striker, 40, had two spells at Chelsea, scoring 164 goals in 381 games and...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
1.Alianza kwa kuuwa kipaji cha KAKA. KAKA alimsajili akitokea AC Milan akiwa ametokea kuchukua ballon di'or. 2. Akahakikisha anammaliza kiungo bora wa wakati huo NURI SAHIN. SAHIN alimsajili...
3 Reactions
42 Replies
3K Views
PELE aibuka tena na kumchana PAULO DYBALA. June 10, 2017 Siku za karibuni mshambuliaji wa timu ya taifa ya Argentina na klabu ya Juventus PAULO DYBALA amekuwa gumzo sana kutokana na uwezo...
1 Reactions
45 Replies
7K Views
Kila wakati timu yetu ya taifa haifanyi vizuri kwny mashindano! Je ni kwann? Je kwnn tusiifute tu Na tusiwe Na timu ya taifa ya Mpira wa miguu?
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Taifa Stars To Camp In Brazil Source: http://myafrica.wordpress.com/2006/09/19/taifa-stars-to-camp-in-brazil/ The national team of Tanzania, Taifa Stars, will travel to South America for a...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Ilikuwa Tupate draw tu ya bila kufungana au tuwafunge cape verde mwaka 2009 kwa kufuzu AFCON 2010, Ilikuwa dakika ya 86" nahodha Shedrack Nsajigwa Fuso, akafunga goli Tamu sana, tukashangilia...
6 Reactions
34 Replies
4K Views
Wadau, Jana nimeangalia mechi ya Taifa Stars na Lesotho na yafuatayo ndio niliyoyaona mimi kama mfuatiliaji soka wa mda mrefu. 1. Team haina ushirikiano yaani kila mchezaji anacheza kadiri...
0 Reactions
18 Replies
7K Views
Shirikisho la Machangudoa wa Ghana (GPA), limetoa orodha ya bei za kugonoka, ikiwa ni maandalizi ya kuhudumia wageni na wateja wao wanaotarajiwa kuwasili nchini Ghana kwa ajili ya Kombe la Afrika...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Sina mengi ya kuongea sana,nakuomba tu ureciprocate upendo tuliokuonesha
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Kocha mkuu wa timu ya Taifa Stars, Emmanuel Amunike amejibu suala LA wadau wengi wa soka nchini kulalamkia kitendo cha kutomwanzisha mapema straika John Bocco. "Hii ni Taifa Stars na sio...
2 Reactions
41 Replies
5K Views
ni wale vichwa vya wendawazimu wa under 23 wamefanya kile tulichokirajia wakifata nyayo za wendawazimu wazoefu waliofungwa majuzi Haya mmeshatoka sasa kalaleni huko na makelele yenu ya kupindua...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Hapo chini ni maswali ambayo tumuulizie kocha amunike atakapotua tanzania... 1.kwanini umepanga kikosi kibovu tulipokuwa tunacheza na Lesotho?? 2.kwanini umewahujumu watanzania kwa macho ya...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…