Sasa itakuwaje?!
Familia imesema haiutambui mkataba wa uwekezaji wa Bil 20 zile kwani yale yalikuwa makubaliano binafsi baina ya Mo na Simba.
Sasa najiuliza Manara ROPO atakuja na ipi gia?!
...Ilikuwa ni mechi ya kusherekea uhuru Disemba 14 mwaka 1975 dar Kati ya Tanzania na Sudan , kituko cha kwanza ni pale jezi zilivyofanana na za timu ya Sudani, Refa akaagiza timu mwenyeji avue...
Pamoja na wapingaji kuwa Epl si bora lakin ni waz ligi hii ni bora kwa utafit
Wangu hapa kitaa wengi wanaona jmosi na jpili zimekuwa ndefu sna kipindi hiki
Cha mapumnziko vipi hali kwenu.....
14/10/2018 katika nchi ya Guinea-Bissau, kulikua na mechi ya kuwania kufuzu AFCON, ambapo wenyeji waliwakaribisha 'miamba ya soka' Zambia na matokeo ni wenyeji walishinda 2-1.
Jambo la kushangaza...
Uganda 3 Lesotho 0
Kenya 3 Ethiopia 0
Tanzania 0 Cape Verde 3
Kazi ipo hakyanani na tunachoweza / tunachomudu ni ' Kutekana ' tu tena Saa 11 za Alfajiri!
Nawasilisha.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Dkt. Stephen Kebwe Stephen azindua rasmi michezo ya Bandari. Katika picha ni matukio mbalimbali kuhusiana na uzinduzi rasmi wa michezo ya Bandari 2018 uliofanyika...
Maradona amenukuliwa akisema kuwa , Messi ni mchezaji mzur sana. Lakini si kiongozi kwa maana ya kwamba hawezi ongoza wenzie. Anasema ni vigumu kumfanya kiongozi mtu ambaye kabla ya mechi anaenda...
Bado sijafahamu ni kwanini wachezaji wa Taifa Stars wamekata tamaa baada ya Taarifa za kutekwa MO kuwafikia rasmi kwenye kambi yao , lakini ukweli unaofahamika ni kwamba kambi imedorora na imejaa...
Kiungo wa Simba James Kotei na Beki wa Yanga Andrew Vicent wamefungiwa mechi tatu kwa kosa la kumpiga Gadiel Michael na Mohamed Hussein, wote wamepigwa faini ya tshs Milioni moja.
Time will tell. Huyu jamaa sijui TFF imemuokota wapi. Sioni kama Taifa stars itafanya vizuri chini ya huyu kocha. Ameshawatenga wachezaji. Ana chuki na inaonekana haufaham mpira wa tanzania...
8th President
Eden Michael Hazard alizaliwa tarehe 07-January 1991,ni mchezaji wa Chelsea Fc na timu ya taifa ya Ubelgiji.
Uwezo wa Hazard kukokota mpira,Ubunifu & kasi vimemfanya kufananishwa na...
Mwomba rufani, Dr. Devota John Marwa, (Mrufani) ni msomi mbobezi katika taaluma ya michezo, akiwa ni mhadhiri katika kitengo kinachojihusisha na taaluma ya michezo katika Chuo Kikuu cha Dar es...
Kiukweli ni aibu Sana kufungwa na vibonde Cape Verde.. yaani ukizingatia tulikuwa kwenye nafasi nzuri.. haya ndo yaliyotucost...
1.ukosefu wa holding middfield..
team ilikosa umiliki wa mpira...
Timu ya Taifa ya Uganda 'The Cranes' imejiimarisha kileleni kwenye kundi L katika michuano ya kufuzu fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON 2019, nchi Cameroon baada ya kuichapa Lesotho mabao...
Ni mashabiki 48,466 tu waliojitokeza katika dimba la Santiago Bernabeu kushuhudia mechi ya kwanza ya msimu wa La liga kwa upande Madrid.
Mara ya mwisho kupata mahudhurio hafifu ilikuwa ni miaka...
Bondia Anthony Joshua amefanikiwa kutetea mataji yake ya ubingwa wa dunia WBO,WBA na IBF (world heavyweight titles) kwa kumtwanga bondia aliyeshindikana Mrusi Alexander Povetkin kwa Technical...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.