Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nauliza tu ,Taifa Stars wanaoenda Cape Verde au waliocheza na Uganda imejumuisha wachezaji wa Zanzibar ili ule uwakilishi wa Kitanzania uonekane Wakati Taifa Stars wakiwa uwanjani vibao vya...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Wamiliki wa klabu ya Manchester United wameweka wazi msimamo wao kuhusu mchezaji Paul Pogba . Familia hiyo inasema Pogba Ni Messi wa Manchester United Ni mchezaji muhumu zaidi kwenye mipango ya...
0 Reactions
8 Replies
797 Views
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva nchini Tanzania, Harmonize, ambaye pia mshabiki mkubwa wa Ndanda SC, ametoa shilingi milioni 3.5 kwa ajili ya kuisaidia timu hiyo ambayo imekwama mkoani Singida...
6 Reactions
21 Replies
3K Views
"Haina Kufeli"...msemo ambao Mchezaji anayekipiga katika ligi kuu ya Ubelgiji anautumia mara nyingi akimanisha katika maisha usikate tamaa.. kile kipawa ulichopewa na mwenyezi Mungu basi Kwanza...
1 Reactions
0 Replies
753 Views
Mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania (TFF) Wakili Revocatus Kuuli amejiuzulu wadhifa huo Kuuli amefikia hatua hiyo kwa kumuandikia barua Rais wa TFF, Walace...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Lengo liwe kuwajulisha wanachama kilichotokea na kuwaomba walisaidie jeshi la polisi kupatikana kwa MO akiwa salama u salimini , ikumbukwe kwamba wanachama na wapenzi wa Simba ni wengi na...
4 Reactions
27 Replies
5K Views
Ukiangalia kipaji alichonacho mchezaji huyu naona kabisa anachelewa. Au hana malengo ya kucheza Ulaya? Maana muda haumsubiri atakuwa kama Ngassa. Mlio karibu naye mwamsheni.
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kikiwa ndani ya ndege maalumu ya kukodi kuelekea nchi ya Cape Verde kusaka tiketi ya kufuzu michuano ya mataifa ya Afrika AFCON 2019. Awali...
4 Reactions
35 Replies
8K Views
Katika Ligi Kuu Tanzania Bara VPL, leo Yanga SC, kukipiga na Mbao FC katika dimba la Taifa jijini Dar es salaam. Mchezo wa leo unatabiriwa kuwa wa ushindani kufualitia kumbukumbu ya mchezo wa...
2 Reactions
154 Replies
15K Views
Mkenya aliyefanikiwa kubashiri kwa ufasaha matokeo ya mechi 17 mwishoni mwa wiki amejishindia jumla ya Sh221m za Kenya, ambazo ni sawa na dola 2.2m za Marekani. Kijana huyo wa umri wa miaka 28...
5 Reactions
70 Replies
19K Views
Hawa ni watangazaji mahiri waliowahi kutangaza mpira nchini na wengine bado wanaendelea kutangaza. Yupi alikuwa anaugonga moyo wako kati ya hawa 1. Ezekiel Malongo(R.I.P) 2. Ahmed Jongo 3...
3 Reactions
48 Replies
9K Views
Kule ulaya wanaita puska ,nadhani TFF wameona kabisa tena walipeleke FIFA likaanze kujadiliwa kabisaa
3 Reactions
38 Replies
5K Views
Kufuatia Dunia ya soka kukumbwa na uhaba wa Washambuliaji mahiri katika soka, Kuna mastraika wachache sana ambao wanaendelea na ubora wao wa kutupia nyavuni. Je kwasasa unamkubali straika yupi?
0 Reactions
104 Replies
10K Views
Simba mnasemaje? lile bao la ajib kamwe halitoweza kufungwa kwa msimu huu wa 18/19 na tayari Azam tv washaanza kulitia katika matangazo.
15 Reactions
83 Replies
9K Views
Huyu kocha kabla ya kuwa Napoli aliwahi kufundisha timu moja ya serie B kama sikosei ambapo ilifanya vizuri na baadaye akaonekana na Napoli ambayo wote tunajua jinsi walivyokua washindani wakubwa...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom