Wapendwa nawasalimu,
Naomba awali ya yote nieleweke kuwa sababu ya kuandika uzi huu siyo ya kuharibia kampuni ya M-BET kibiashara bali ni kueleza suala lililotokea kwangu na labda kwa wengine pia...
Aliyewahi kuwa nahodha wa Klabu ya Chelsea na Timu ya Taifa ya England, John Terry atangaza kutundika daluga
> Terry anatangaza uamuzi huo akiwa na umri wa miaka 37. Akiwa amedumu katika medani...
Mwakyembe atafute tu sababu nyingine ya kutudanganya. Hii 'porojo' ni ya kiwango cha chini sana!
Tangu awali tumesema kwamba kuipeleka Boeing 787-8 Dreamliner Praia ikiww tupu ni "ujinga" Lakini...
Katika zile mechi za kuwania nafasi ya kufuzu AFCON, mwakani nchini Cameron.. Group L linaundwa na timu zifuatazo, Uganda, Cape Verde, Lesotho na Tanzania. Baada ya kila timu kucheza mechi 3...
Young Africans Sports Club, also known as Yanga, is a Tanzanian football club based in Twiga Street, Jangwani, Dar es Salaam. The club's home games are played at the National Stadium. It is one of...
Bado nikiwa katika viyunga vya hili jiji la Kigali, nimeona si mbaya nikishea nanyi hii stori niliyoipata huku.
Nadhani Meddie Kagere si jina geni nchini Tanzania.
Huyu jamaa alizaliwa katika mji...
Nimeiangalia game ya jana na baadhi ya game ya taifa stars, nmegundua tatizo ni viongozi wa TFF kuajiri wrong coaches ambao hawaendani na characteristics za wachezaji wetu. Uganda na Kenya...
October 9, 2018
Dar-es-Salaam, Tanzania
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe amesema Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania – Taifa Stars kitaondoka usiku wa leo...
Japo mlinifanyia ukatili huo juzi nilipoilaani stars, leo tumeshuhudia kipigo cha mbwa koko. Stars walicheza kwa zaidi ya mwezi kupitia vyombo vya habari, leo wamechezewa kwa Dk 90 tu, chaliii...
kuna nyepesi nyepesi kwamba Billionea Aliko Dangote kuinunua club ya Dar young African, na hii inasemekana imetokana na ushawiwishi wa mwanachama na shabiki kindakindaki wa watoto wa jangwan yaan...
Unapozungumzia watangazaji bora wa michezo hivi sasa nchini hutaacha hata kidogo kulitaja jina la Shafii Dauda wa clouds fm.
Ni mtangazaji makini, ametulia, yuko composed and he knows all there...
Mchezaji na nyota wa zamani wa Arsenal na Fc Barcelona THIERRY HENRY amesaini miaka mitatu(3)kuwa kocha mkuu wa As Monaco ya Ufaransa.
Henry ambae pia ni mshindi wa kombe la dunia1998 akiwa na...
Wanadai eti 'Uzalendo Kwanza'!!
Kwa soka lile, mipango ile, matokeo yale, kujituma kule kwa 'mapro' wetu n.k kuna Uzalendo kweli pale??
Kwangu mimi 'Simba SC Kwanza.. Mengine Baadae'. Kwanini...
7-year-old American Football Prodigy
7-year-old American football prodigy has the attention of pro football players, LeBron James, and More! He's a Superstar in the making
Nashangaa sana tuna tumia pesa nyingi sana kuisafirisha hii timu kwenda kucheza huko nje ya nchi miaka yote hii wanafungwa tu ni kama vile gemu kwao ni tabu sana. kwanini serikali isiamue timu ya...
Klabu za ligi kuu ya England Everton, West Ham,Burnley na brighton zinamtaka staika wa Genk. Magazeti ya England standard London na mirror wameripoti habari hizo.
Samatta amekuwa kwenye kiwango...
Mara nyingi mwanadamu anaishi mara moja tuu.. ndiyo! ni moja tuu...
alizaliwa pale Argentina.. akatua nchini hispania akiwa na miaka kumi!...na tena akiwa na matatizo changu nzima.. lakini...
Zimebaki story Tu . hapo zamàni ilikuwa ikawa mpaka sasa hakuna jipya kinachofanyika ni uzuzu tu . kama tukiendelea kutegemea mafanikio ya mpira kuptia hawa kina kichuya , yondani , Ulimwengu na...
Wana jamvi, habarini na poleni kwa majukumu ya kila siku, poleni kwa msongo wa mawazo kutokana na sintofahamu iliyotanda ya kutekwa kwa mkurugenzi wa Melt group mdau mkubwa wa timu ya Simba bwana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.