Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Hatimaye 30/09/2018 imefika. Leo ni siku ambayo ilikua ikisubiriwa kwa hamu sana ambapo, Bingwa Mtetezi wa TPL, Simba SC atamkaribisha Yanga SC katika dimba la Taifa Stadium. Mechi hii...
8 Reactions
1K Replies
97K Views
Uongozi wa Klabu Sumba umeuvunja rasmi mkataba na kocha wake msaidizi Irambona Masoud Djuma kuanzia leo Oktoba 8, 2018 Taarifa rasmi iliyotolewa na klabu hiyo imesema uamuzi huo umekuja baada ya...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Wakuu kuna mjadala umeibuka duniani baada ya timu ya Man U kupoteza mwelekeo , bila shaka Morinho anatakiwa kutimuliwa haraka , lakini je huyu anayetajwa kumrithi anaweza kweli kuirudisha timu hii...
5 Reactions
33 Replies
3K Views
Miaka yote huwa naamini adui yako hatoki mbali... yaani yupo karibu yako.. ndo kinachomkuta masoud djuma.. kocha msaidizi wa simba sc.. ni kipenzi cha mashabiki. anapendwa na wengi ,lakini...
4 Reactions
54 Replies
6K Views
GENTAMYCINE sijawahi Kukosea na ukiona namsema au namchukia Mtu basi jua 99.99% ana matatizo na hafai kabisa. Asante sana Uongozi wa Simba SC kwa kuachana na Kocha ' Mnafiki ' Masoud Djuma...
3 Reactions
43 Replies
6K Views
Miaka mitatu iliyopita ilikuwa mabingwa wa league 1.. Baada ya kuondokewa na wachezaji wake mahiri hali yao imekuwa mbaya sana. Wamiliki wa hii club walifanya makosa kuuza wachezaji was nyota...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Msaada wadau wanaojua fixed match ambazo sio za matapeli
0 Reactions
1 Replies
553 Views
Wakuu habari zenu,moja kwa moja niingie kwenye mada. Hivi nini sifa za mchezaji kuchaguliwa kuwa mchezaji bora? Maana kumekuwa na malalamiko kwa mashabiki wampira wa miguu kutokulidhizwa na...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Wakuu habari za weekend kiukweli hii timu ya AS MONACO matokeo yake hayaridhishi kwa sasa mimi kama mmoja wa watu waliokuwa wanaipenda hii timu nashindwa kuelewa sababu ni nini timu haiperform, Au...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mbao zimekaza wakuu,hivyo isiwe taabu Leo najiuzulu rasmi ushabiki wa Yanga.Lengo ni kuunga mkono juhudi za mbao ambazo nasi ndizo tulizozitaka
11 Reactions
43 Replies
4K Views
Leo ndio ule mtanange pendwa wa watani wa Jadi SIMBA SC VS YANGA SC. Fans wote wa hizo timu mje tubeti hapa iwe kwa pesa taslim au vocha . Mi betting yangu. Ajitokeze mshabiki yeyote wa Simba...
4 Reactions
182 Replies
15K Views
Katika mzunguko wa pili msimu uliopita wa ligi kuu Tanzania bara (ikiitwa VPL) mchezo dhidi ya watani wa jadi ulizikutanisha timu hizo na matukio yasiyo ya kiuungwana yalitokea kama yalivyokea...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Huu ni ujumbe ninaompelekea Kocha wa Taifa Stars , Emmanuel Amunike . Hakuna haja ya kujiumauma , huyu golikipa si wa kawaida , haiwezekani mtu mmoja aizuie timu ya wachezaji 11 kwa dk 90 , tena...
10 Reactions
61 Replies
7K Views
Wakuu naomba kuelekezwa jinsi ya kupata code hizi kwa wale ambao ni wateja wapya wa Supabet
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Baada ya mechi ya 30/09/2018 ambapo Simba SC alitawala kila kona, isipokua mambo ya ulozi, mapato yaliyopatikana yalikua zaidi ya milioni 400. Katika fungu hilo, Bingwa mtetezi wa TPL na FA, Simba...
1 Reactions
66 Replies
7K Views
Shirikisho la kimataifa la mpira wa miguu, FIFA limetangaza marufuku kwa Sierra Leone kushiriki mashindano ya soka ya kimataifa kutokana na madai ya uingiliaji wa serikali ya taifa hilo katika...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Leo majira ya saa 1:30 usiku kwa saa za Afrika Mashariki, Man Utd itakuwa inaikaribisha Newcastle United katika dimba la Old Trafford. Mimi siipendi Man Utd na kila inapofungwa huwa nafurahi...
2 Reactions
42 Replies
3K Views
Habari za weekend wadau wa JF. Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu kama nilivyo wasilisha kwa mtindo wa swali hapo juu ktk kichwa cha habari. Kwa jinsi sakata lilivyo zimwa kwa miaka 10 na...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kaimu Rais wa Wekundu wa Msimbazi Salim Abdallah (Try Again) amethibitisha kuwa makocha hao wana mgogoro na imeshindikana kupata suluhu
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Baada ya 'kuwakosa kosa' Yanga SC, Bingwa mtetezi wa TPL, Simba SC leo anarejea dimbani tena kupambana na African Lyon katika muendelezo wa TPL. Mechi hii itachezwa katika dimba la Taifa, kuanzia...
3 Reactions
56 Replies
9K Views
Back
Top Bottom