Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Baada ya kuwahenyesha vilivyo Ndala 30-09-2018 ambapo zilipigwa pasi zaidi ya 2314 katika dimba la Taifa, mnyama mkali Simba SC ameingia mapumzikoni. Mapumziko hayo yamekuja ili kupisha mechi za...
4 Reactions
39 Replies
3K Views
Full Deontay Wilder v Tyson Fury crazy London press conference ( Warning: contains bad language ) WBC champion Deontay Wilder shoved his fellow unbeaten heavyweight Tyson Fury during the...
0 Reactions
0 Replies
626 Views
Juni 23, 2018 zilifanyika tuzo za wachezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom(VPL) ukumbi wa Mlimani City, ambapo tuzo 16 zilitolewa mgeni rasmi akiwa Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Naweka mkeka wangu kama ifuatavyo: Mkeka wangu wa kwanza natandaza hivi: 1. Manchester City win 2. Juventus win 3. Bayern Munchen win Hapa ukiweka 10,000 unaweza kupata 18,000. Au ukiweka...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Mchezaji nyota wa Ufaransa Kylian Mbappe na raia mwenzake Boubacar Kamara wameorodheshwa kushindania tuzo ya mchezaji bora wa umri mdogo barani Ulaya. Tuzo hiyo ambayo hufahamika kama 'Golden...
0 Reactions
0 Replies
936 Views
Kuelekea pambano la watani wa Jadi nchini Tanzania litakalo vurumishwa kunako dimba la Uwanja wa Taifa, tukio la kukumbukwa na kutamaushwa ni hili; Tarehe kama ya leo 28/9/1953 miaka 65...
6 Reactions
174 Replies
19K Views
Kuuli ameyasema hayo wakati wa mahojiano na Mwandishi wa habari aliyetaka kusikia kauli yake baada ya Katibu Mkuu wa TFF, kidao Wilfred kumwandikia barua kumtaka ajieleze wapi ametoa mamlaka ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
zimba mmecheza vzr cna ile jna
1 Reactions
16 Replies
946 Views
Kwa style ile ya uanzishaji mpira wa kwanza kwa kuupiga nje, kina maana gani? Kitendo cha mchezaji Ibrahim Ajibu kuanzisha mpira wa kwanza kwa kuupiga na kutoka nje, kimeshangaza wengi na kimezua...
9 Reactions
93 Replies
14K Views
Habari za jioni wakuu naimani wikendi inakwenda vema kabisa..sasa jioni hii wakati game ya simba na yanga inaendelea me niko kwenye mizunguko yangu ya kawaida tu,kifupi sifuatilii mpira kabisa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Inasikitisha sana kuona shirikisho la soka Tanzania TFF eti wanaahirisha mechi za ligi kuu kwaajili ya kuwapa muda wa kujiandaa Simba na Yanga, ni kichekesho sana. Hii inaonesha kwamba TFF...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Wale gamers wenzangu nahitaji msaada tafadhari. Kwa yeyote mwenye cheat za real racing 3 android naomba anielekeze
0 Reactions
0 Replies
489 Views
Dante kumtandika kichwa shabalala ,na kotei alipompiga ngumi ya wazi kabisa karibu na refa mchezaji wa yanga ,povu lijeeee
0 Reactions
8 Replies
7K Views
Hopeless kabisa! Na bahati yenu na nina uhakika Siku ya leo hamtokuja Kuisahau kwani nilizozihesabu mmekoswakoswa za Kihalali kabisa ni Sita ( 6 ) Halafu linahojiwa badala lizungumze Kiufundi na...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Mmoja wa Mfanyakazi Mwandamizi kabisa wa Klabu ya Manchester United ametoa Siri ya kwamba kuna dalili zote na za kutosha kuwa Wiki ijaya Kocha ' Mbwatukaji ' na mwenye ' Nyodo, Ujivuni pmoja na...
7 Reactions
19 Replies
3K Views
Kumekuwa na majigambo mitaani na kwenye mitandao ya kijamii kutoka kwa wapenzi na mashabiki wa klabu tajwa hapo juu, kwamba kesho wanaua. Napenda kuwashauri, hayo matokeo waliyokuwa nayo waanze...
7 Reactions
32 Replies
4K Views
Habari Wadau wa mieleka...bwana weee katika vitu napenda basi ni huu mchezo wa mieleka hususani wwe,hata kama mtananga uwe saa ngapi nitasubiri, game ya leo alfajiri wwe summer_slam kati ya lesnar...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
4-1 ni ushindi wa Chelsea walioupata Stamford Bridge dhidi ya Cardiff City katika mechi ya ligi kuu nchini England jumamosi iliyopita Septemba 15. Kante alicheza dakika zote 90 katika mechi hiyo...
9 Reactions
40 Replies
5K Views
Mtabiri huyu anakubalika sana Sumbawanga. Aliwahi kutabiri Yanga kutembeza bakuli na kweli leo hii tunashuhudia bakula kubwa tu likitembezwa tangu Magufuli aingie madarakani
3 Reactions
23 Replies
5K Views
Back
Top Bottom