Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Iliwahi kumtokea Adolf Hitler. mbabe asiyepigika.. lakini leo yuko wapi??. iliwahi kumtokea bondia mahiri kuwahi kutokea Muhammad allí.. Leo yuko wapi?.siku zote mwanadamu anazaliwa, na kuishi...
8 Reactions
54 Replies
4K Views
Mpira wa kawaida mnaonyesha m.magoli kutafuta kwa taabu.hata mpira kwa arsenal mwenyewe mkikutana naye atawapeleka mbio.ila duh hio rafu aliyofanyiwa Lucas sio POA.jamaa yule mshenzi na refa wa...
1 Reactions
3 Replies
674 Views
Mwanamke mmoja amejitokeza na kumtuhumu Mwanasoka raia wa Ureno, Cristiano Ronaldo kuwa alimbaka mwaka 2009 Kathryn Mayorga amesema kuwa alifanyiwa ukatili huo katika Hoteli moja Jijini Las Vegas...
3 Reactions
30 Replies
7K Views
Siku ya trh 30 sept ilikuwa siku mechi ya watani wajadi, hii ilikuwa siku ambayo katika soka la hapa Tanzania historia mpya kabisa iliwekwa, ni siku ambayo Yanga hawata isahau kwa jinsi walivyo...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Coastal union ya tanga, jina la utani ni wagosi wa kaya mabingwa wa tanzania bara 1988 ni timu yenye historia ya kutoa wachezaji wenye vipaji na uwezo wa kucheza kandanda lenye kuvutia,ukiondoa...
0 Reactions
7 Replies
8K Views
Tukutane kwa mchina leo African lyon kipigo cha mbwa koko leooo
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Simba ndio timu bora hapa Tanzania kwa sasa na ndio timu ambao inamashabiki wengi hapa Tanzania na nje ya Tanzania na ndio timu ambao inawachezaji bora na wenye uwezo mkubwa.Hakuna mtanzania...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakati Serikali ikitangaza gharama za safari ya timu ya Taifa "Taifa stars" kwenda Cape Verde ni dola 1,500 na dola 2,000 wadau wameibuka na kudai fedha hizo ni nyingi kwa Mtanzania wa kawaida...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Wadau msichoke bado tunaendelea kuleta Flashback kuhusu tulikotoka na tulipo sasa. Simba ndo Klabu ya kwanza na ya pekee Tanzania, kufika nusu fainali klabu bingwa Afrika mwaka 1974. Simba ndo...
7 Reactions
37 Replies
24K Views
Nahitaji kupunguza uzito na pia najiona kama mwili wangu upo shapeless hv!!! Sijui nifanye mazoezi ya ainagani ili kuondokana na hili balaaa????
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Ni kama zile hadithi tulizohadithiwa na mabibi zetu.. kwamba sungura Ana urafiki na fisi.. Kobe anamshinda mbio sungura,..na mingine kibao... ni kama vile waingereza wanavyotuaminisha kuwa ligi...
6 Reactions
19 Replies
3K Views
Kwa wale walioifuatilia tamthilia hii kupitia Azam kwa muda mrefu sasa watakubaliana na hili Huyo Sedaat ni Kama kawa chizi sasa tofauti na alivyokua mwaka jana sasa hivi amekuja huyu msichana...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Baada AS ROMA kuifungisha virago FC BARCELONA kwa kipigo cha mbwa koko na Kibibi kizee JUVENTUS kuitandika REAL MADRID nyumbani kwao kwa idadi kubwa ya magoli , na kuokolewa na mwamuzi ( ambaye...
5 Reactions
35 Replies
3K Views
kiukweli simba wana team nzuri na jana jamaa walicheza sana.. ila UCHAWI ULITUSAIDIA SANA WANAYANGA. hili wala halina ubishi na bahati mbaya kabisa mzee akilimali amekiri hilo. jana Yanga...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Leo nimemuona Mchezaji wa zamani waki Yanga aliyesajiliwa Azam akiombewa na Prophet T . B Joshua naamini ameamini naamini kuponywa
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Zahera kocha mkuu Yanga ametaja wengine waliovurunda mechi ya Simba, ukweli ni kuwa Yanga haina timu ya kusimama na Simba sasa hivi. ile sare ni bahati tu. Dirisha dogo wasajili wachezaji wenye...
2 Reactions
8 Replies
38K Views
Jana nilibahatika kuwa miongoni mwa washabiki walioingia uwanja wa taifa kufuatilia mchezo kati ya simba na yanga.Kwa mujibu wa mamlaka husika jumla ya watu 50,168 waliingia uwanjani kutazama...
7 Reactions
24 Replies
3K Views
Kambi ya timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” inaanza rasmi leo kujiandaa na mchezo wa kuitafuta tiketi ya kucheza Fainali za Africa mwakani dhidi ya Cape Verde. Kambi hiyo inayoanza leo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wazee wa kama sio supa sembe potezea..kwa 19k...hii ndio mechi mliopewa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Roma 2-0 Plzen [emoji342] SS8 #UCL Acheni UJINGA beIN na canal bei rahisi kuliko...
0 Reactions
0 Replies
442 Views
TBC huwa siwakubali linapokuja swala la wachambzi wa soka katika mechi mbalimbali za kitaifa na kimataifa. Lakini huyu mchambuzi wa sasa wanaemuita MWALIMU KASHASHA anajitahidi kuchambua mpira...
5 Reactions
44 Replies
12K Views
Back
Top Bottom