Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Team yetu ilikuwa nzuri msimu uliopita.umewagaia yanga wachezaji wetu wakali Sasa hivi team imekuwa mbovu.hatukomi kukuzomea.hakuna support yoyote zaid umeharibu tu soka la singida. Sent using...
0 Reactions
0 Replies
534 Views
Wakati wapenzi wa Yanga wakisubiri kuona combination kali ya Fei Toto na Mo Banka kama ilivyokuwa katika Senior Challenge Cup Kenya mwaka jana, habari mpya ni kwamba Yanga wamelishwa matango pori...
0 Reactions
0 Replies
857 Views
KUMPA MARIANO DIAZ JEZY NAMBA SABA(7) MADRID NI DHARAU. DHARAU ni kitu kibaya sana. Mashabiki wa Real Madrid wamemkasirikia rais wao, Florentino Perez wakimwambia amewadharau sana. Unajua...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Mpeni Timu ya Taifa Jamhuri Kihwelo na Fred Minziro na hakikisheni kuna ' motisha ' ya kutosha Taifa Stars tutashiriki AFCON na hata Kombe la Dunia bila matatizo wala shida yoyote. Nimemchunguza...
6 Reactions
17 Replies
3K Views
Huyu Zakaria Hanspope wa Simba ndio yule yule aliewahi kutaka kumpindua Nyerere ? au majina yamefanana?
1 Reactions
25 Replies
16K Views
What's the future of real madrid? In chapions league and laliga BBVA without cr7 or lets say Asensio will handle everything?!
0 Reactions
6 Replies
528 Views
'We are judged for the titles we get now, especially if you have won titles as it can work,’ the Manchester City boss said. ‘There is no doubt about his quality (Jose Mourinho) – I have never...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Droo ya Michuano ya EUROPA League hatua ya makundi kwa msimu wa mwaka 2018/19 inachezeshwa leo Agosti 31 majira ya saa 13:00CET(Majira ya saa 8 mchana, saa za Kitanzania). Itafanyika Grimaldi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mkimbiaji kutoka Kenya Conseslus Kipruto ashinda mbio za Mita 3000 kwa kiatu kimoja. Kipruto alivukwa na kiatu ikiwa ni baada ya kumaliza mzunguko wa kwanza wa mbio hizo lakini hakukata tamaa na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakubwa habari zenu. Wapendwa mm napenda sana mpira wa kikapu ingawaje sikuwahi bahatika kujifunza, hivyo nahitaji kuwa na sehemu ya kufanya mzaoezi kidogo hapa home.kwa mwenye uzoefu au anaejua...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimehamisha 95000 kutoka wallet yangu ya premier bet toka leo usiku mda wa saa tisa lakin hadi sasa hela yangu haijafika kwenye account yangu ya m-pesa. Nikahamisha tena 5000 naenyewe bado...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Bifu zito linazidi kupambana moto kati ya Simba na Tff ya Kidau na karia. Kuondolewa kwa wachezaji wa Simba kwenye kikosi cha timu ya taifa kinyume na sheria ndio sababu ya Bifu hilo, baada ya...
4 Reactions
26 Replies
4K Views
Ile mechi ya kirafiki kati ya Jeshi la Polisi Kiteto na Magereza, mshindi kuibuka na mbuzi Mnyama, timu ya Polisi imeibuka kidedea. Mpira ulikuwa patashika nguo kuchanika, baada ya mbuzi huyo...
0 Reactions
2 Replies
758 Views
Droo ya Michuano ya Klabu Bingwa Ulaya hatua ya makundi kwa msimu wa mwaka 2018/19 inachezeshwa leo Agosti 30 majira ya saa 18:00CET(Majira ya saa 1 usiku, saa za Kitanzania). Itafanyika Grimaldi...
5 Reactions
86 Replies
11K Views
klabu ya Simba na TFF zimeelewana kuwarudisha wachezaji 6 wa Simba waliondolewa kwenye Timu ya Taifa baada ya kuchelewa kuripoti kambini..kesho watafanya press release ya pamoja.
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Juzi kocha wa Taifa Stars, Emanuel Amunike raia wa Nigeria aliamua kuwafuta wachezaji takribani wa tano wa timu ya Simba ambao ni Dilunga, Bocco, Mkude, kichuya, Nyoni kwa kile kinachodaiwa ni...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Ukiangalia utaleta ushabiki na unaweza kuchangia lakini kwangu ni uwanamichezo tu
0 Reactions
0 Replies
733 Views
Wachezaji, wakufunzi na wafanyakazi wengine wa Manchester United wanaamini Jose Mourinho atafutwa kazi iwapo atashindwa mechi nyingine moja. (Daily Mail) Maafisa wakuu wa klabu hiyo hata hivyo...
0 Reactions
62 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…