Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kama wachezaji wazuri wanaondoka , timu haishiriki Champions League wala hakuna dalili ya kushiriki next year , haipiganii ubingwa wowote ule hata Ndondo Cup na juzi imefurumushwa na timu isiyo na...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Nigeria ni moja kati ya mataifa ambayo yamefanikiwa sana katika masuala mbalimbali hasa uchumi barani Afrika,elimu hata utamaduni.. Lakini watu wengi wanapoliskia jina la Nigeria hujikuta...
6 Reactions
2 Replies
2K Views
Tetesi kubwa kwenye soka hapa nchini zinazoendelea kusambaa ni zile zinazohusu klabu ya soka ya Simba kukaribia kufikia makubaliano ya kumwajiri kocha wa zamani wa TP Mazembe Hubert Velud. Simba...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
NDIYO kwanza Januari inaelekea katikati na mchakamchaka wa usajili unazidi kupamba moto. Klabu vigogo kwenye Ligi Kuu England nazo zinachuana vikali katika kutafuta wachezaji wa kuongeza kwenye...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Cc: PNC FineForever wick pipi mti Optimistic bourgeoisie Alonso 14 n.k Karibuni sana wapenzi wa soka! Bila kujali timu pinzani mnakaribishwa sote kwa ujumla,,,, nawapendeni mno!
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Firminooooooooooo,mbili mojaaaaaa
1 Reactions
29 Replies
3K Views
MAMBO ni moto. Manchester United wameambiwa hivi kama kweli wapo 'siriazi' wanamtaka kumsajili Paulo Dybala basi itabidi wajipange, waende na pesa inayozidi ile waliyotumia Barcelona kumsajili...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Klabu ya soka ya Simba imeyaaga mashindano ya kombe la Mapinduzi baada ya kufungwa goli 1-0 na URA ya Uganda, mchezo huo ulifanyika uwanja wa Aman Goli la URA lilifungwa na Bebosi Kalama sekunde...
8 Reactions
72 Replies
10K Views
Haya leo mtanange mwingine huu ...first leg Liverpool alikuwa 5 [emoji2] [emoji2] [emoji2] ..vp kuna uwezekano wa kupindua matokeo? Mimi naamini Liverpool anakufa 2-1
1 Reactions
93 Replies
8K Views
Leo huko Mkoani Mara katika Mji wa Musoma ndani ya Uwanja wa Karume kunaenda kufanyika mchezo wa kukata na shoka kabisa wa Ligi daraja la Kwanza baina ya Timu ya Biashara United ya Mkoani Mara na...
4 Reactions
45 Replies
8K Views
Wadau Azam FC ya Tanzania wametwaa Kombe la Mapinduzi baada ya kuwafunga URA ya Uganda kwa bao 4 kwa 3 kupitia mikwaju ya penati katika mchezo wa fainali uliofanyika uwanja wa Aman Zanzibar...
4 Reactions
29 Replies
6K Views
Asilimia 40 ya magoli waliyofungwa Madrid La Liga yamepitia kwa Marcelo. Real Madrid wana tatizo kubwa upande wa ulinzi wa kushoto ambapo ni jukumu la beki wa kibrazili Marcelo. Magoli ya Celta...
2 Reactions
47 Replies
9K Views
Kweli jamaa anajua Nani anabisha[emoji12]
1 Reactions
5 Replies
858 Views
Real Madrid policy zao ni za kikampuni wao wanahitaji ku deliver no matter how much you spend Hamna asietambua kua sasa hivi Madrid despite mataji yote waliyochukua mwaka 2016-17 na hadi mwisho...
4 Reactions
25 Replies
3K Views
Baada ya uchunguzi wangu wa muda mrefu nimebaini jambo hilo, kwamba wachezaji wengi wa soka wa nchini Tanzania wala hawakuwa na ndoto hiyo bali wengi wameingia huko kama Plan B. Na ni baada ya...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Wanajf mliopo England na wengine wote mnaoijua soka popote mlipo , naomba mnifahamishe sababu hasa ya bodi ya wakurugenzi ya West Ham kumpa kazi kocha wa hovyo kabisa David Moyes. Binafsi...
1 Reactions
51 Replies
5K Views
Kuna kipindi alitajwa kama mrithi wa Xavi Hernandez kwa umahiri wake wa kutandaza soka hasa katika nafasi ya kiungo mshambuliaji na kuzua gumzo kwa timu mbalimbali kutaka kumsajili, lakini kwasasa...
4 Reactions
31 Replies
4K Views
Azam FC imeibuka mshindi wa Kombe la Mapinduzi Cup 2018, baada ya kuifunga URA ya Uganda kwa mikwaju ya penalti 4-3 baada ya timu hizo kumaliza dakika 90 za mchezo bila kufungana. Azam inashinda...
1 Reactions
18 Replies
7K Views
Mhh. Nilikua naangalia hii channel 319mindset,wanaonyesha best footballers,nkawa nawaona ona hapa,nkasema ngoja nimwangalie huyu pelle maana anatajwa saaana,..nkaingia youtube,mhhhhh huyu jamaaa...
10 Reactions
155 Replies
14K Views
MILAN, ITALIA NDIYO wanavyosema kuwa Carlo Ancelotti amekubali kwenda kuchukua mikoba ya Arsene Wenger huko Arsenal wakati msimu huu utakapofika tayari, zinafichua ripoti za kutoka Italia. Ikifika...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom