Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Big up sana kwa mwigulu timu ina udhamini wa 1.Yara 2.sportpesa 3.NMB 4.ORYX 5.PUMA 6.Azania 7.Halotel Bado kuna 1.azam tv 2.vodacom Simba na yanga mnakwama wapi?
4 Reactions
34 Replies
5K Views
Wakuu heri ya mwaka mpya... Kwanza kabisa mimi nimekuwa shabiki mkubwa sana wa timu pendwa ya Chelsea. Huwa nakaa na kutafakari sababu iliyomfanya Conte amuuze Costa na kuchukua Morata ilihali...
1 Reactions
75 Replies
6K Views
Kipindi nasoma elimu yangu ya msingi nakumbuka hasa nilipofika darasa la 5 nilianza kuona ukali wangu katika somo la Maarifa ya jamii na nilitokea kulipenda mno ni kwasababu lilikuwa na...
9 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu huu uzi ni maalum kwa uchambuzi wa mpira kuanzia VPL mpaka EPL na ligi mbalimbali around the world .
6 Reactions
181 Replies
16K Views
Tazama wachezaji wa michezo tofauti wanavyotibiwa baada ya kushiriki michezo hiyo ikiwemo muogeleaji Michael Phillips, Mchezaji soka Mario Balotteli na Bondia Anthony Joshua.
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Mimi si shabiki wa Man Utd na mara nyingi siipendi sana. Lakini kuna jamaa ananifanya niwe naiangalia Man Utd kila inapocheza. Antonio Valencia ndio kivutio changu na anayefanya niwe naangalia...
21 Reactions
71 Replies
8K Views
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
2 Reactions
80 Replies
8K Views
Team ya mpira Biashara united Fc kutoka Musoma mjini leo jioni imeifunga team ya Alliance Fc ya Mwanza kwa goli mbili na kupanda hadi nafasi ya kwanza katika msimamo wa kundi leo baada ya Dodoma...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Akiwa anaongoza kwenye assist Primier ligue, Pogba anabaki kuwa mchezaji makini katika sector ya kiungo!! Siku akiumwa basi jua wiki nzima mourinho atakua anaumwa na kichwa kwa gab lisilozibika...
5 Reactions
11 Replies
3K Views
Kuna raha yake kumuona mchezaji wa nchini akacheza mpira huko LaLiga,Bundesliga au pale kwa Malkia. Unamuona mtu wa Kondoa,Kyela au Mbagala akicheza timu moja na Messi au yupo pale kwa Mourinho na...
2 Reactions
45 Replies
4K Views
Aliyekuwa mchezaji wa Barcelona anayekipiga kwa matajiri wa Ufaransa klabu ya Paris Saint-Germain inayomilikiwa na mfanyabiashara kutoka Falme za kiarabu, Sheikh Nasser bin Ghanim Al-Khelaïfi...
4 Reactions
53 Replies
9K Views
Kambi imepamba moto, na ulinzi ni wa hali ya juu, point 3 zinatakiwa.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wanaJF,Binafsi nilikuwa msikilizaji mzuri wa vipindi vya michezo ktk Redio zetu za Tz, hasa E-FM,Magic FM,RFA,Clouds na zingine kadhaa,lakini nilichoshwa na Radio hizi kuwa zinatafuta...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Imekuwa ikiendelea michakato ya kubadili mifumo ya uendeshaji vilabu vyetu hapa inchini,ambalo ni jambo jema sana na la kuungwa mkono. simba wamefanikiwa kufikia hatua za mwisho kwa zoezi hilo...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Ajikatisha ngwala kwa mchezaji huku akiingilia mchezo wa timu ya Nantes. Baadaye alionekana kutaka kumchota mtama mchezaji huyo. Bila kuridhika na hatua hiyo refa alionyesha ukauzu wake kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mkeka umegeuka shubiri kwa kampuni ya michezo ya bahati nasibu na kubashiri matokeo ya michezo, Supabets ya jijini Dar es Salaam baada ya kushindwa kuwalipa wateja wake waliodai kushinda kiasi...
3 Reactions
34 Replies
14K Views
Kamati ya nidhamu imemsimamisha Chirwa kwa utovu wa nidhamu alioufanya katika mechi kati ya Yanga na Tanzania Prisons Hapo chacha
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Msaada jamani nataka kuangalia Mechi ya Chelsea na Arsenal live kupitia Simu yangu nitumie njia gani???
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Refa ambaye anadaiwa kumrushia teke mchezaji wa klabu ya Nantes nchini Ufaransa kabla ya kumfukuza uwanjani mechi yao dhidi ya Paris St-Germain amesimamishwa kazi. Chama cha Soka cha Ufaransa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom