Ni yule aliyetangaza mechi ya Yanga na mbao ambapo yanga alipigwa
2 - 0, yaani kama ni mshabiki wa Yanga na ulisikiliza namna alivyotangaza
yale magoli ni lazima upate maumivu mara mbili...
Timu inaitwa big team results oriented
Inawasaidia nini km inafungwa na timu zinazoshika mkia!!!!??
Kama timu inazifunga au kusumbuana na Simba, Azam au Yanga leo hii inafungwa na Mwadui fc si...
ENGLAND: Mchezo umemalizika kwa Liverpool FC kuinyuka Manchester City kwa mabao 4 kwa 3 na kuvunja mwiko wa kutofungwa uliowekwa na Manchester City tangu ligi ya msimu huu 2017/18 ianze.
> Magoli...
Football Events7910:_______Makala NO-81:_______Jan 2018:____{1/1}:
USAJILI WA COUTINHO NI TAA YA KIJANI KWA NYOTA WENGINE WA EPL
Ni vigumu sana kushindana na moyo hasa unapopenda kitu. Muda...
Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) iliendelea tena leo ambapo timu ya Yanga SC, imebanwa mbavu na Mwadui FC kutoka mkoani Shinyanga, kwa kutoka sare ya bila kufungana kila timu ikiondoka na pointi moja...
Habari wakuu nahitaji kujua sehemu wanapouza NUNCHAKU (CHENI ZA KUNG FU) maana nilizo nazo ni local sana huwa zinachomoka niwapo mazoezini, hivyo anayejua ni wapi naweza kuzipata zinazouzwa...
Madai ya mashabiki wengi Wa Mpira walimwita Mhenga wakati anasajiliwa, hivi bado hawa Watu wanaweza kumwita mpaka sasa? Kacheza michezo mitano tu lakini ana magori kumi sawa na magori yote...
Kila la Heri Team langu la nyumbani, Coastal Union, Wagosi wa Kaya ktk Mchezo wenu wa leo na Polisi Tanzania! Nitoe hamasa kwa wapenzi wa Coastal na wadau wa Mkoa wa Tanga mliopo Moshi kujitokeza...
KLABU ya Yanga leo hii imeingia mkataba wa miaka mitatu na kampuni ya Macron wenye thamani ya Sh. Bilioni 2 kwa ajili ya utengenezaji na uuzaji wa jezi za klabu hiyo.
Akizungumza katika hafla ya...
BAADA YA KUITENDA SINGIDA VIBAYA, HANS POPPE AMPA GARI SAID NDEMLA
Mwenyekiti wa Kamtai ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe ametoa zawadi ya gari kwa mchezaji wa Simba, Said Hamis Ndemla...
Tanzania kuna wachambuzi wengi wa michezo kupitia vipindi vya michezo Redio Tanzania.
Je ni mtangazaji gani ni bora sana katika uchambuzi wa soka la tanzania na dunia
Je ni kipindi gani cha...
Nimeamini neno kwaheri ni gumu sana,ni gumu kupitiliza pale unapolazimika kulitumia baada ya Kufika tamati ya jambo,kitu au mtu uliyempenda.Maisha ya mwanadamu yana milima na mabonde ,mengi...
Mengineyo namuachia Mwenyezi Mungu kwani Yeye ndiye kila kitu hivyo kama akiamua Simba SC tutashinda sawa itakuwa hivyo lakini kutokana na ' nujum ' zangu ( namaanisha tabiri zangu ) za hadi muda...
Salamu wakuu!
Kwa wale mnaofuatilia michezo mtakubaliana na mimi kuhusu mambo haya:
1. Wachezaji muhimu wote wamechoka hali inayosababishwa na umri wao kuwatupa mkono ama kutojitambua. Hapa kuna...
Katika pitapita yangu kweye Magazeti nimekutana na na habari inayosema kuwa Yanga wamewahi kupigwa magori 13 huko Brazil nikaona ngoje nije hapa jf kwa kuwa watu wanatunza kumbukumbu na kuna...
Taarifa nilizonyapianyapia na za motomoto ni kwamba mshambuliaji wa kimataifa Mganda Emmanuel Arnold Okwi ameomba radhi kwa kocha na viongozi wa simba pamoja na mashabiki huku akidhamiria kumaliza...
Klabu ya Simba imemtangaza Pierre Lechantre, kutoka Ufaransa kuwa kocha wake mkuu.
Pierre aliwahi kuiongoza Timu ya Taifa ya Cameroon kutwaa taji la Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) mwaka 2000...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.