(CASEMIRO 14)
Los Galacticos ni neno la kihispaniola linalotafsiriwa The Galaxes(The Group of stars) kwa lugha ya Kiingereza au Kundi la Nyota kwa Lugha adhimu ya Mama zetu Kiswahili..
Hili ni...
Ongera sana wana wa mkoa wa mara(KIUMENI) kwa hatua hiii, mmekuwa kimya sana atimaye yanaenda kutimia.
Tuna waombea Timu ya BIASHA Kufika mbali hata kupata mafanikia makubwa.
Matokeo ya mechi...
Mara paaap June hii hapa, again kazi kazi kama kawaida ya timu, watu, hata mashabiki wenyewe huwa hakuna mbwembwe German fans tupo.
Ujerumani hawa jamaa nawakubali xana cio watu wa mbwembwe...
Hicho ndicho ninachokiamini,mkhtaryan ana timu spirit na ni mwepesi kuendana na saikolojia ya wenzake,pia ana penetration pas....ni mwepes pia.....sanchez anapambana lakini hana uwezo wa kuendana...
Habari wanaJF,
NBA jana ilitoa orodha ya wachezaji watakaoshiriki mchezo wa 2018 NBA All-Star Game, kama walivyochaguliwa na Manahodha wa timu hizo mbili ambapo moja itaongozwa na LeBron James...
NEYMAR BADO TAA HAZIJA KUMULIKA WEWE.
Na Haatim Abdul.
Tumezoea mtu akipanda stejini taa ziwe zinammulika yeye kwa maana ya kwamba ndiye kituo kikuu cha umakini kwa hadhira. Neymar Jr alipoona...
Klabu ya soka ya Azam FC imemtangaza Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Fortunatus Muslim, kuwa ndiye mgeni rasmi kwenye mchezo wake wa kesho dhidi ya Yanga.
Akiongea leo mbele ya...
ENGLAND: Klabu ya Manchester United imemuongezea mkataba kocha wake wa sasa Jose Mourinho wa kuifundisha klabu hiyo hadi mwaka 2020
Mkataba wa awali wa kocha huyo ulikuwa unamalizika mwaka 2019...
Hello wakuu kwema kwanza nikiri kuwa hawa jamaa Man city kwa sasa wapo vizuri ila kwa uzoefu wangu kama mchambuzi nawaona wakianza kuangusha point very soon hazitapita mechi 3 bila wao kupotea...
Hakuna ubishi kuwa huu usajili unaenda kukamilika within 24-48hrs. Sanchez to Mancherster Utd na Henrick Mkhitaryan to Arsenal, kama mlifatilia press conference ya leo the boss mzee wenger...
Waslaam !
Jana timu ya Simba iliaga mashindano huko Zanzibar, kwa wapenzi wa simba tunaoelewa mpira hatulaumu sana kwani huo ndiyo mpira lakini pia kwa sababu za kiufundi tunajua kocha ni mpya na...
Patashika ya Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara (VPL), kuendelea leo kwa mechi mbili kupigwa.
Baada ya kupigwa 4G na Simba SC uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, Singida United leo watakuwa...
Wiki hii taarifa za kufariki kwa golkipa wa zamani wa timu za simba na yanga Ismail suma kufariki dunia kule Bujumbura Burundi na amelazimika kuzikwa huko na majirani kutokana na kile...
Uwanja wa Stamford Bridge ulijengwa na kuanza kutumika mwaka 1877 (ukitumika zaidi kama uwanja wa riadha na mikutano inayofanana na riadha).
Miaka 29 baadae (1904), ulinunuliwa (pamoja na maeneo...
MAREKANI: Aliyekuwa Daktari wa timu ya Olimpiki, Larry Nassar(54) amehukumiwa kwenda jela miaka 175 baada ya kupatikana na hatia ya unyanyasaji wa kijinsia
Dokta Larry Nassar amethibitika...
MASHABIKI wa Simba wamemzawadia kiungo wa timu hiyo, Said Ndemla fedha na mikungu ya ndizi, baada ya kazi nzuri akiisaidia timu kushinda 2-0 dhidi ya Kagera Sugar kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya...
[emoji344]…… SMATSKILLS.COM TUPO KWA AJILI YAKO
Leo game live kiganjani mwako
WAPENZI WA MPIRA LEO MECHI YA
[emoji460]️ARSENAL vs CHELSEA[emoji460]️
MOJA KWA MOJA KUTOKA CHANNEL YA...
Mwezi agosti mwaka 2012 Arsene Wenger alimpeleka Van Persie Manchester united.Hii ilikuwa baada ya mwishoni mwa msimu wa 2011-2012 Van Persie kugoma kusaini mkataba mpya na Arsenal..Utakumbuka...
kama kichwa kinavyosema wana jamvi
binafsi si mpenzi wa kitu kinachoitwa socca japo nawezachambua ....yaani kujua au ku spot kuwa timu hii imecheza vizuri au mchezaji huyu amecheza vizuri.kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.