Check out @bbcsport_david’s Tweet:
Pierre is 80% a gooner
BREAKING: Arsenal close to reaching agreement to sign to striker Pierre-Emerick Aubameyang from Borussia Dortmund for club-record fee...
Kwa soka la uhakika walilokuwa wanalitandaza hawa jamaa, inasikitisha kuona walitoka bila taji la UCL. Hii ni picha ya kikosi iliyopigwa dakika kadhaa kabla ya Fainali ya Uefa Champions League...
Habarini wanajamvi,
Kichwa cha habari hapo juu ndicho kinabeba maneno yangu humu ndani. Ni kwamba Napata masikitiko makubwa sana juu ya hizi timu zetu hasa zinazoshiriki Ligi Kuu. Jana Simba na...
Simba inamaliza mzunguko wa kwanza ikiwa kileleni kwa point 35 magoli 36
Okwi akiongoza kwa kufunga magoli 12 kati ya mechi alizocheza ktk mzunguko wa mechi 15 round ya kwanza
Magoli ya Simba Leo...
Habari za wakati huu ndugu zangu, nina imani mpo salama pitia kichwa cha hapo juu hivi tunasubiria nini kumkabidhi MWL Kashasha kupewa timu ya taifa akafundisha, huyu jamaa ukimfatilia akiwa...
Katika hali ya kusikitisha waafrika bado tunaonekana kuendelea kuamini imani mbovu mbovu.baada ya kubainika kuwa ile team ya majimaji jana ilikuja uwanjani ikiamini kuwa mashambulizi ya team ya...
Vp wadau wa JF,, kwangu kidogo inanipa mawazo nasinto fahamu kwenye, kutokana na Jinsi wegner anavyo ipeleka team kwakuuza wachezaji wenye msaada mkubwa Katika kujisikia??????????
Tuwe pamoja kwa updates za mechi ya Azam na Yanga itakayochezwa uwanja wa Chamazi Complex
Kikosi cha Azam
Razack Abalora, Himid Mao, Bruce Kangwa, Agrey Moris, Yakubu Mohamed, Stephan Kingue...
-Beki wa Klabu ya Kagera Sugar, Juma Nyoso aliyekuwa ameshikiliwa na jeshi la polisi mkoani kagera kwa kosa la kupiga na kujeruhi ameachiwa kwa dhamana leo asubuhi.
-Jeshi la polisi mkoa wa...
Katika soka,tangu kuanza kwake mpaka wakati huu wamepita binadamu ambao kwa upande wao wameonesha maajabu yao katika mchezo huu pendwa duniani.
Katika kundi hilo la wachezaji wapo vinara watatu...
Kikao cha Wachezaji, Benchi la Ufundi, Kamati ya Mashindano na Uongozi wa Juu wa Yanga kilichofanyika hivi karibuni kujadili hali timu katika Ligi: Uongozi waliwapa nafasi wachezaji kwanza...
Ni pale mtangazaji wa mpira redioni anapoacha kuutangaza mpira unavyochezwa uwanjani badala yake anatangaza mpira wa upande mmoja anaoushabikia (timu yake) na kuwanyima ukweli wasikilizaji wake...
Man city anaongoza ligi kwa tofauti ya point 12.
Barcelona anaongoza ligi kwa tofauti ya points 11.
Buyern anaongoza ligi kwa tofauti ya point 16.
PSG anaongoza ligi kwa tofauti ya points 8...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.