Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia ametuma salamu za rambirambi kwa familia ya marehemu na wachezaji wa Mwadui kwa kuondokewa na kocha wao usiku wa kuamkia leo huku...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Juma Nyoso hana makosa alibughudhiwa na kuwa provoked Wakati mechi baina ya simba na Kagera kuisha na wachezaji kuelekea kwenye vyumba vya kubadilishia nguo ,shabiki mmoja wa simba alivunja...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Najua kila Mdau wa Michezo hasa mpira wa Miguu kwa sasa jina la Beki wangu ' mtukutu ' kabisa kwa sasa nchini Tanzania Juma Nyosso halimtoki Kinywani mwake huku wengi wetu wakimshutumu kwamba...
1 Reactions
3 Replies
890 Views
ENGLAND: Klabu ya Manchester United imetangaza kumsajili Mshambuliaji Alexis Sanchez kutoka Klabu ya Arsenal Katika makubaliano hayo yamehusisha Kiungo raia wa Armenia, Henrikh Mkhitaryan...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Beki wa klabu ya Barcelona Gerard Pique amesaini mkataba mpya ambao utamuweka kwenye klabu hiyo hadi mwaka 2022. Lakini moja kati ya vitu vikubwa ambavyo vipo kwenye mkataba wa nyota huyo ni...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Katika mchezo unaohusisha watu wengi kuufanikisha huwezi kutoa zawadi kwa mchezaji mmoja pekee. Kitendo hicho kinaweza kutendwa na watu binafsi au taasisi nyingine lakini sio kiongozi wa timu...
6 Reactions
102 Replies
14K Views
Naomba kujuzwa ni website gani unaweza kupata takwimu za vpl katika msimu huu,yaani mfungaji bora, anayeongoza kwa assist, kipa anayeongoza kwa saves n.k, Kama zilivyo ligi za ulaya huko hizi...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Nyota wa zamani wa timu ya taifa ya Brazil na vilabu vya PSG, Barcelona na AC Milan, Ronaldo de Assis Moreira Maarufu kama Ronadinho Gaucho amestaafu soka. Licha ya Ronadinho kutocheza soka la...
12 Reactions
354 Replies
37K Views
Baada ya kupigwa adhabu ya kukaa nje ya uwanja kwa miaka miwili tangu september 2015. Beki kisiki wa Mbeya city Juma Nyoso amepotea kabisa na sijapata kusikia ni wapi aliko anajishughulisha na...
1 Reactions
9 Replies
5K Views
Klabu ya simba sc itashuka dimbani kumenyana na kagera sugar.Mechi hii inaweza kuwa na mvuto wa aina yake sababu msimu uliopita simba sc walipoteza point 3 kutoka kwa kagera na hivyo kupoteza...
0 Reactions
23 Replies
7K Views
George Opong Weah akiwa na Ronaldo Hapa akiwa na KOCHA MARIDADI Mzee Wenga ANAKUFUNDISHA MPAKA KUWA RAIS WA NCHI:eek::eek::eek::eek: Raia wa Liberia wanasubiria kwa hamu tukio hilo la...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu Habari zenu Nataka niwakumbushe tu wakuu kwa wale waliokuwa wamesahau kwenye msimu wa epl 2017/2018 kwa upande wa mchezaji bora wa mwezi,kocha bora wa mwezi na goli bora la mwezi Ligi...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Taarifa rasmi zilizonifikia atiii beki kisiki, professional player, forward matata kumradhi ana magoli mengi kuliko forward line yote yanga na ni beki wa pili duniani mwenye magoli mengi msimu...
2 Reactions
9 Replies
4K Views
Kwa kweli timu yetu kwa sasa inaandamwa sana! Tuseme Mti wenye matunda ndio utupiwao mawe! Kuna hii tuhuma je ina uhalisia wowote? Karibuni wanayanga na wasio wanayanga kwa mchango wenu
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa masikitiko yangu makubwa inaonekana nchi yetu hatutashiriki michuano ya Olimpiki ya mwaka huu mwezi February yatakayofanyika Korea Kusini (Olympic Winter). Nina fahamu tunayo tume ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Najiuliza hii ni Young Africans au "Yanga Afilika"?! Na leo mkifungwa au droo tunawafukuza Dar es Salaam
0 Reactions
6 Replies
1K Views
....JUVENTUS TURIN au kibibi kizee cha Turin,,Waitaliano halisi kwa lugha yao wana Nicknames 4 zinazoitambulisha timu yao pendwa Juventus Turin... Bianconeri(the Black Whites) L'Zebre (The...
6 Reactions
8 Replies
1K Views
Ubovu wa Gyan kumbe ulisababishwa na imani za kurogwa”-kocha Simba Kaimu kocha mkuu wa Simba Masoud Djuma amesema, wakati anaingia Simba alikuwa haamini kama Nicholas Gyan ni mchezaji mzuri...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
msaada jinsi ya kupata visa ya michezo ya kwenda nchi yoyote ya ulaya
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Panoja na CV yake nzuri ya kuiwezesha timu ya Cameron kuchukua ubingwa mataifa ya Africa kwanini Cameron hawakuendelea nae hadi wachukue kombe la dunia? Tusiongeze chumvi nyingi kwenye maharage...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom