Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

*UONEVU NI NINI* Uonevu ni pale team inakuuzia Bocco, Manula, Nyoni, Kapombe na bado mkikutana inakupiga [emoji1][emoji1]
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu hebu mwenye taarifa kamili ya huyu mchezaji wa Ivory coast, Emmanuel Eboue atujuze. Nasikia kuwa amedhulumiwa mihela yake yoooote na mkewe wa kidhungu sasa anaona heri ajitoe uhai wake kwa...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari zenu wadau wa soka humu ndani! Kuna kitu nafikiria je nyie mnakionaje? Hata kama hakiwezi kuwashawish wahusika, Barcelona wamekua wakimtaka Philip coutinho wa Liverpool bila mafanikio...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
asante AZAM,usiku huu nchi yetu pendwa imetulia tuliiiiiiii.
4 Reactions
43 Replies
4K Views
Mtoto iddy kazua balaa mtoto iddy kazua mikosi utadhani kapandwa na kichaa anahitaji kurekebishwa,Wewe iddy una laana -J Nature
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Klabu ya Liverpool imekubali kumuuza kiungo mshambuliaji wake Phipe Coutinho kwa miamba ya soka ya FC Barcelona ya nchini Hispania baada ya kukubaliana dau la £145m.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Uongozi wa Klabu ya Yanga, umekiri kwamba kuna wachezaji wengi wa timu yao bado wanaidai klabu hiyo fedha za usajili akiwemo Mzambia, Obrey Chirwa ambaye hivi sasa yupo kwao. Imeelezwa kuwa...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
MANCHESTER, ENGLAND. JESSE Lingard??? Ndiyo, Jesse Lingard huyuhuyu unayemjua wewe. Ndiye, mchezaji ambaye yupo kwenye kiwango bora kabisa kuliko mastaa wote unaowafahamu wewe huko Ulaya. Ni...
1 Reactions
35 Replies
5K Views
Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger ametishia kujinyonga iwapo kikosi chake kingefungwa na Chelsea kwenye mchezo wa Ligi Kuu jana Jumatano. Mechi hiyo iliisha kwa sare ya mabao 2-2 huku Wenger akisema...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimekuwa nikifuatilia kwa makini mashindano ya mapinduzi yanayoendelea sasa kule Zanzibar. Nimegundua kuwa Ligi ya Zanzibar ni bora kuliko ya bara hasa kwenye maandalizi ya wachezaji wa timu ya...
1 Reactions
2 Replies
875 Views
Wenger ambaye mchango wake katika mafanikio ya soka ya Weah unafahamika , amewaambia waandishi wa habari kwamba amealikwa na Goerge Weah mwenyewe kuhudhuria siku ya kuapishwa kwake . " I have...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Kila wakitoa viwango vya soka tunashuka hatupandi ttzo ni nn tusaidiane jmn kwa maendeleo ya soka letu????
1 Reactions
41 Replies
3K Views
Utamfungia vipi mchezaji tegemeo wa timu kwa muda usiojulikana? Ameua mtu? Hii ni hujuma kwa Yanga sawa na hujuma nyingine kwenye mpira.
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Mimi ni mwanamichezo si mshabiki wa team yoyote. Nimekuwa nikifuatilia kwa kina jambo moja ambalo nlishawahi kudokezewa kwa kifupi tu. Kuwa gazeti la dimba halina mahusiano mazuri na simba jambo...
0 Reactions
19 Replies
13K Views
Sina maneno mengi nauliza tu umesahau kitu gani mpaka uwanie uongozi tena ? Endelea na biashara zako ni muda muafaka wa kuifanyia soko letu tohara . Jamal Malinzi it's a time now to quit no...
4 Reactions
132 Replies
7K Views
Wakiwa sare mpaka Dakika ya 90 ya mchezo, Mchezaji wa Yanga Hassan kessy anaipatia timu yake ya yanga sports club katika mashindano ya Mapinduzi Cup. Sasa yanga wanakuwa washindi wa pili katika...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Bila shaka mwana JF upo salama salmini. Leo sasa hebu tuangalie ni namna gani katika hatua ya makundi (league 1) ikiwa real Madrid itaanza mechi yake kwa mwaka huu 2018 ikicheza na numancia baada...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Nasomaa mtandaoni inasikitisha sana, wapi mnatupeleka TFF? Ya Geita atujayamaliza mnataka kutuletea ya Dodoma, nini kinaendelea huko TFF? Mh Karia kama nilivyosoma kiukweli watu walikuwua...
0 Reactions
1 Replies
735 Views
Kwa mujibu wa taarifa ya mtandao wa goal.com Imetoa list mpya, ya vilabu tajiri duniani, Suprise ikiwa ni Manchester city na arsenal kushika nafasi za juu Ingia hapa kwa taarifa zaidi Man City...
3 Reactions
92 Replies
17K Views
si nyie mmeona wenyeweeee bingwa wa sasa katolewa mapemaaa na timu ya daraja la pili sijui gani ile.na pia muziki wanaoupata timu za simba na yanga zikikanyaga Mazoo mwanza. heri ya mwaka mpya
0 Reactions
2 Replies
887 Views
Back
Top Bottom