Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Lionel Messi (Barcelona) - Player Profile - FlashScore.com Cristiano Ronaldo (Real Madrid) - Player Profile - FlashScore.com
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ligi kuu Tanzania Bara imeendelea kutimua na kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, mwenyeji Mbao imemsambaratisha mgeni wake Yanga kwa bao 2 bila majibu. Magoli ya Mbao yalifungwa kupitia...
0 Reactions
179 Replies
24K Views
Huu ni uthibitisho kwamba Simba ni Big brand...hapa wamepokelewa kuanzia kilwa mpaka mtwara....
2 Reactions
46 Replies
7K Views
Kocha wa Manchester United Jose Mourinho anasema kuwa kiwango cha fedha cha £300m alichopewa kununua wachezaji kuimarisha kikosi chake hakitoshi. "Tuko katika mwaka wa pili kujaribu kujenga timu...
2 Reactions
33 Replies
4K Views
Tupo wengi humu tunaopenda huu mchezo nimeona si vibaya kujuzana hasa katika maisha yetu ni mechi ipi uliowahi shuhudia na hutokaa usahau na kitu gani hasa au kipengele gani kina sababisha...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Nimepokea kwa hofu kubwa sana taarifa za timu ya Gor Mahia kumhitaji kocha mbovu wa Yanga George Lwandamila. Huyu kocha ndio alisababisha kuporomoka kwa kiwango cha kimataifa cha Yanga...
3 Reactions
24 Replies
5K Views
Haya ni matokeo ya kipute cha leo cha kufungia mwaka 2017 karibu 2018. Uku mwaka 2018 simba mechi zao kama ifuatavyo. Karibu mwaka 2018 kwaheri mwaka 2017. Cheerssss!!!!!!
1 Reactions
10 Replies
7K Views
Wilshere huyu tutakuwa nae Russia endapo kama hatokwenda kupumzika hospital katika roundi hii ya pili ya EPL Nimejaribu kumwangalia kwa umakini mkubwa sana Jack Wilshere katika mechi nne za Epl...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Chipo Chung - Wikipedia kwa hivyo tunaweza muita mtanzania au? ameigiza movie nyingi na tv show kama into the bad land season ya pili
0 Reactions
0 Replies
830 Views
Kuna hatari ya timu ya mancity mpaka mwisho wa msimu wasiwe wamepoteza mchezo wowote wa ligi kuu pale kwa malkia na sio mbaya tukisema jamaa wapewe kombe lao mapema tu. Man city wanauchezea mpira...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakati Mapema mwaka 2008, maafisa wa Barcelona, walimfanyia Interview Mourinho ili aifundishe Barcelona, aliwapa mpango wa ku mpandisha Guardiola kutoka kuwa kocha wa Barca B mpaka kuwa kocha...
1 Reactions
58 Replies
10K Views
TFF Imesema kocha huyo hana muda mrefu wa kufundisha timu hiyo na wako kwenye mchakato wa kupata kocha mpya wa kigeni . Hayo yamesemwa na na Kaimu Katibu Mkuu wa TFF Wilfred Kidau alipoongea na...
3 Reactions
31 Replies
5K Views
Ukiacha siasa na uzandiki wa soka hasa wa kuwapendelea Messi na Ronaldo kwenye kila kitu, ni mchezaji gani ambaye bado anacheza na unamkubali sana kwa uwezo wake? Pengine ana uwezo kuliko hata hao...
6 Reactions
66 Replies
6K Views
Kichwa cha habari kinajieleza ni wakati wa timu ya Real madrid kuvunja benki na kumsajili harry kane aje kusaidiana na Ronaldo katika kuondoa ukame wa magoli ambao timu unaikabili kwa sasa hivi...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Wasalaam. Tumeshuhudia mtanage mkali kati ya Vijana wa Daraja la 2 yaani mashujaa wa Kijani wakimenyana na Simba SC. Vijana hao waliweza kuwalazimisha Simba kuweka historia ambayo haikuwahi...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Ref:Bristol city 2 Man utd 1 Leicester city 2 man utd 2. Labda game na Burnley ndio kidogo nimeiona ile Manchester united ya Babu Ferguson,kipindi cha Sir dakika za lala salama ndio...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Naomba wadau nisaidie nani ni beki bora kati ya hawa wachezaji wawili
0 Reactions
73 Replies
13K Views
Back
Top Bottom