Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Binafsi nilikuwa nawaza simba imepata umaarufu mkubwankufundishwa na makocha wengi sehemu mbalimbali kwa.mda mfupi Baada ya kumchukua omog nilijua watatulia na kuhangaika na mafanikio ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kiukweli mimi huwa siwaelewi kabisa mashabiki wa Man U, maana sasa hivi wanamshindanisha Stricker wa Tottenham, Harry Kane na wa Liverpool, Mo Salah. Sasa najiuliza kwani wao hawana masticker wa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Siku chache nyuma klabu ya simba ilitangaza kumsajili mshambuliaji wa ferroviario ya msumbiji Antonio domingos ,lakini kutokana na masuala ya uhamisho kutokamilika wameamua kumuacha na kumbakisha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nani anafaa kuwa kocha msaidizi simba iwapo Masud Djuma anakuwa kocha mkuu!? - Poll on strawpoll.com
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimekuwa nikitafakari dhana na umhimu wa makocha hasa katika mchezo wa soka napata mkanganyiko! Huwa najiuliza ingawa kunaweza kuwa na umhimu wa timu kuwa na kocha, je kukosekana kwa kocha timu...
0 Reactions
0 Replies
825 Views
Hii bi Brazil ya mwaka 2002, unakumbuka wachezaji gani kikosini? Ulikuwa wapi wapi wakati Captain Cafu akiinua ndoo ya ubingwa?
9 Reactions
70 Replies
16K Views
Kuelekea kwenye pambano la Real Madri v Fc Barcelona kwenye La Liga, team hizi zimetofautiana kwa Point 4 tu, Madrid ndie aliyempita Barcelona, pambano hili pia linajulikana kama El Classico huku...
0 Reactions
210 Replies
21K Views
Bournemouth vs West Ham. Barnsley vs Preston. Brentford vs Aston Villa.
0 Reactions
2 Replies
771 Views
Dk ya 85:Yanga2-0Reha FC FT Yanga2-Reha FC0 Dk82 Buswita Dk85 Tambwe
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Tumeshuhudia juzi tu mfanyabiashara Mohammed Dewji akipitishwa kama mwekezaji atakayepatiwa Hisa 49% za klabu hivyo kuwa mwanachama mwenye hisa nyingi. Lakini kabla hata hajakabidhiwa timu rasmi...
2 Reactions
27 Replies
4K Views
Mchezaji wa zamani wa Simba na Taifa Stars Zamoyoni Mogella yuko mbioni kutimuliwa kwenye kota za Urafiki baada ya kulimbikiza kodi mpaka kufikia deni la Tsh mil 5. Chanzo - Mwananchi . Ombi -...
3 Reactions
70 Replies
13K Views
Monte's mkongwe tu.. Mwanetu Haruna Moshi Shaaban Mawela "Boban" akitokea benchi anaifungia timu yake ya Friends Rangers goli la pili na la ushindi dhidi ya Ashanti united na kuivusha timu yake...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Sioni wa kumzuia Man city kuchukua ubingwa kwa sababu leo imeendelea kushinda 4 kwa 0 dhidi ya team ambayo man utd walishnda kwa mbinde 2-1 Pep lazima anyakue ndoo, maurinho kachemka na mbinu...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Swali hili ninajiuliza kuhusu hii club ya ureno inaitwa Benfica,1962 club hii ya Benfica ilishinda 5-3 dhidi ya Real Madrid ya uhispania.Kipindi hicho Real madrid ilikuwa na nyota wake wakali kama...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Njooni tujadili mpira wa bongo. Je siasa ni chanzo cha soka letu kudidimia au mbwembwe za vilabu vyetu kufanya vitu hewa kama usajili hewa, mipango ya maendeleo hewa (viwanja, uwekezaji) nini...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
LIPULI YAMTOA KWASI KWA TSH. MILIONI 25 Uongozi wa klabu ya Lipuli FC inayoshiriki ligi kuu Tanzania Bara umeridhia maombi ya klabu ya Simba ya kumsajili beki wake raia wa Ghana, Asante Kwasi...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Ni dhahir shahiri kuwa man city hakamatiki hasa kwa kuwapakata vigogo wa muda mrefu wa epl.Hiyo ikiwa kwel naomba tutupie jicho upande wa man u, chin ya kocha ambaye huwa hafulukuti, kila...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Nimeapa kuanzia leo sitaishabikia simba tena. Kitendo cha kutolewa katika mashindano na timu ya daraja pili kimenikera sana. Tena nimegundua haji manara ndo analeta mkosi katika timu hii.
3 Reactions
32 Replies
4K Views
Back
Top Bottom