Leo ni fainali Kati ya Kenya na Zanzibar kuwania kombe la CECAFA na dakika ya tano Kenya inaandika bao la kwanza kupitia kwa Ochieng Ovella baada ya kupiga mpira wa adhabu ndogo.
18' AbdulAziz...
Ile sinema ya kihindi ya Sterling kupiga wenzake mwanzo hadi mwisho imemalizika rasmi leo baada ya Wababe Celtic kutandikwa na Hearts bao 4-0
Ikumbukwe kwamba Celtic hawakuwahi kupoteza game...
Antoine Griezmann: Nyota wa Atletico Madrid aomba radhi baada ya kujifanya mweusi
18 Disemba 2017
Haki miliki ya picha@ANTOINEGRIEZMANN
Image captionGriezmann aliifuta picha hiyo kutoka kwenye...
Sasa tunaiona Manchester city yenye wachezaji kama Sergio aguero, Raheem sterling, leroy Sane ikipiga kila inayekutana nae.
Hili limenipa wazo moja, kumbe premier league ukiwa na timu yeye...
Hivi mnakumbuka wakati ligi inaanza?
Man untd walianza kwa kila aina ya mbwembwe na kujipa majina kama wazee wa 4g na mengineo..
Enzi hizo striker wao Lukaku anafunga balaa, wakaanza kuwatukana...
Cris Froome bingwa wa mbio za baiskeli wa dunia kutoka TEAM SKY , anakabiliwa na tuhuma za kuzidisha kiasi cha dawa ya pumu ya salbutamol anayoitumia kutokana na ugonjwa wa pumu unaomsumbua.
Hivi...
Kocha wa Everton Koeman katupiwa Virago na klabu yake kutokana na matokeo mabovu.
Mholanzi huyu alifanya vyema akiwa na Southmpton ila Everton imemshinda.
Kwa heri Koeman Everton
Wadau kuelekea mechi kubwa wikiendi hii kati ya arsenal dhidi ya Manchester United hapo jumamosi nimeona sio kesi kuanzisha uzi huu kwa ajili ya wapenda soka tujuzane yatakayokuwa yanajiri mpaka...
EPL imekuwa timu ya ligi moja tu tena Man City. Team zote kubwa zimepokea vipigo toka kwa Man City.
Kwasasa Man City pale EPL hana tofauti na PSG kwa Ufaransa, Bayern kwa Ujerumani na Juve kwa...
Kabumbu lishaanza kupata joto katika dimba la Moi, mjini Kisumu. Ni nusu fainali ya pili kila timu ikisaka kuingia fainali.
Dakika ya 5:
Uganda 0-0 Zanzibar
Dakika ya 25:
Uganda 0-1 Zanzibar...
Bila shaka huyu ni kiungo mchezeshaji bora kwasasa katika EPL, huyu jamaa ndio injini ya Man City katika mabao.
Mpaka leo nashangaa ni kwanini Chelsea walikubali kumuuza kirahisi.
Kevin De...
Nimejaribu kukiangalia kikosi cha zanzibar kwenye michuano ya kombe la chalenji inayoendelea nchini kenya ambako timu yetu ya Kilimanjaro stars imeambulia patupu, ninashauri kocha wa Stars ateue...
Yanga pamoja na kujiita wa kimataifa hadi wakati huu ninapoandika Uzi huu hawana kiwanja zaidi ya kumiliki bwawa la kufugia vyura pale Jangwani. Sasa wamezidiwa na Kigoma. Kupitia ukurasa wake wa...
Ni dhahili sasa hv City ndo bingwa Epl na hili hata sisi haters by nature tushalikubali ....ombi langu kwako Guadiola,mpaka sasa ushatupotezea ladha ya Epl.....huku tulishazoe big four watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.