Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Naomba msaada wa kujua namna mtu anavyoweza kufuatilia zawadi anapocheza kupitia link > shindaiphone.ml na kupata matokeo ya HONGERA kuwa ameshinda iphone 6. Yeyote anayefamu kuhusu jambo hili...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Simba imevuliwa ubingwa wa Kombe la Shirikisho baada ya kufungwa kwa penalti 4-3 dhidi ya Green Worriors inashiriki Ligi Daraja la Pili. Mechi hiyo iliyochezwa kwenye Uwanja wa Azam Complex...
1 Reactions
54 Replies
7K Views
Wadau wa soka wana kila sababu ya kuingia hofu juu ya utendaji wa shirikisho la soka nchini (TFF) lililo chini ya Wallace Karia na Michael Wambura. Baadhi ya maamuzi yanayofanywa shirikisho hilo...
6 Reactions
21 Replies
5K Views
Nitapata wapi poda kwa jina lingine,silijui hila kazi yake ni yaani unabuia hule unga alafu unaingia gym. Naupata wapi? na kwa bei gani?
0 Reactions
6 Replies
8K Views
Tanzania ni moja ya mataifa yanayoingia katika mageuzi ya uendeshaji wa vilabu vya mpira kufuata taratibu za kampuni. Ambapo maamuzi ya mwisho ya club yatafanywa na wenye hisa. Mfumo huu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamiiforums ni lulu sana kwangu, nimepata kazi na kujifunza mengi kupitia jukwaa hili. Elimu yangu ni ya kawaida sana ila ninaweza kuwapa msaaada wa kimawazo na kitaalamu marafiki na baadhi ya...
1 Reactions
41 Replies
20K Views
#HajiManara hi si sawa. 2mekuwa 2kisema mara nyingi kwamba simba imekua mbovu kwa miongo mingi sasa. Na daima imekua ikijificha ktk kivuli cha akina Malinzi&Mwesiga, Tenga na hadi kipindi kile...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimemskiliza kwa makini sana,eti anasema Asante Kwasi sio mchezaji anayemilikiwa na Lipuli,ni mchezaji yupo chini academybya ghana kupitia kwa Agenti wake, so Lipuli wakizingua wanamchukua juu...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Karibuni wote katika dimba la Emirates. Ijumaa ya leo ni ya kipekee kwani mechi kali itapigwa usiku wa leo. Ahsanten
0 Reactions
7 Replies
817 Views
Tanzania imeporomoka kwa nafasi tano kwenye viwango vya shirikisho la soka duniani, FIFA kwa mwezi Novemba. Taarifa iliyotolewa na FIFA inaonyesha Tanzania inashika nafasi ya 147 kutoka ya 142...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nipo hapa nashuhudia wakitoa kipigo cha mwizi kwa Totenham Spurs cha goli 4. Daaah, hawa jamaa msimu huu aisee, wananikumbusha Arsenal ya msimu wa 2004/2005.
8 Reactions
94 Replies
8K Views
Mwanachama na mshabiki Nguli wa Simba sports club,Fii kambi Amefariki Dunia Khafra Akiwa Nyumbani kwake Magomeni Leo hii....innalillah wainalillah rajiun!!!!
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Na uhakika Pogba akiendelea kupangwa kama anavyopangwa Man u itaendelea kupoteza na pia Pogba ataonekana si chochote Pogba anapaswa acheze No 8 huku akiachwa free kuzunguka uwanja kwa uhuru kama...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Hiyo ni kwa mujibu wa sera mpya ya michezo ambapo kanuni zake zinaandaliwa na mamlaka husika. Chanzo: TV 1 habari! My take Mo wa Simba SC atapona kweli?!!
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Ni aibu timu ya kisasa kabisa kuborongaboronga kwa mambo ya kawaida kabisa yasiohitaji rocket sciences kuyafanya. Simba mlianza lini kuanza kufanya mazungumzo ya moja kwa moja na mchezaji Astante...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Kiungo wa zamani wa Brazil Ricardo Kaka ametangaza kustaafu kucheza soka jana akiwa na miaka 35. Klabu ya mwisho kuichezea ni Orlando City ya Marekani. Amewahi kutwaa Ballon d’Or mwaka 2007...
1 Reactions
16 Replies
5K Views
Ndugu zangu wana Yanga Mzee AkiliMali ni mtu wa kigoma na watu wa kigoma wanajulikana kwa sifa ya ubishi na kutokushindwa ,upande wa simba alikuwepo Mzee Kilomoni mzee wa pwani lkn mzee huyu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
JICHO LA MWEWE: Simba inahitaji wanaume watatu wa nguvu By EDO KUMWEMBE TUKUTANE uwanja wa ndege. Simba itakuwa inasafiri labda kwenda Rwanda, Yanga itakuwa inasafiri kwenda Misri. Kule kwa...
8 Reactions
36 Replies
10K Views
Hope mpo swalama, Kwa mlioangalia mpira nadhani mnaelewa mpira mmbovu manchester united alioucheza licha ya kushinda. Timu kubwa kama man c ya kupaki basi na kulimg'oa matairi mda wote ule...
9 Reactions
113 Replies
9K Views
Naona wadau wengi wanamdaganya uyo Zanzibar hero,, leo mechi ya fainali anapigwa goli 4 bila majibu toka kwa kenya. Chezea wote lakini siyo Kenya kwenye ardhi yake ya nyumbani
0 Reactions
86 Replies
8K Views
Back
Top Bottom