Miaka ya nyuma mchezo wa soka ulikuwa una utamu wake wakati huo hakuna TV ni radio tu.Hebu tujaribu kutaja majina ya wapiga kabumbu wakati huo tukumbushane timu zao na walipo mimi naanza
Gibson...
Leo katika mechi ya ugenini dhidi ya Crystal Palace , kikongwe Arsene Wenger atafikisha mechi ya 810 tangu aanze kuifundisha Arsenal kwenye Ligi kuu ya Uingereza , hii ni rekodi iliyokuwa...
Imefika wakati wa kuwa watetezi na sio wahukumzu lakini kwa hili linalofanywa na klabu ya stand united na acacia(ingawa walivunja mkataba ) litazamwe na Serikali mana (TFF) sijui kama wanaguswa...
Ni siku ya nne sasa nina bet kupitia MBET na kama kawaida uwa nakatwa hela za kulipia gharama ya kununua ticket,lakini cha ajabu kwa siku zote nne hizo sikua kupata msg toka kwa MBET as a...
Mchezo wa mpira wa miguu unatajwa kuwa na mashabiki wengi duniani na huvutia watu wa jinsia na rika zote. Leo millardayo.com inakusogezea list ya maajabu kumi yaliyotokea katika mchezo wa SOKA...
Kauli ya Raisi wa Tff leo ukitaka kuandaa Ndondo cup lazima upitie na upate kibali kutoka kwao.kwa hili hata siku zijazo Somalia watakua juu yetu kisoka kwenye rank za Fifa.
Wameona bwana flani...
Kenya kulikua na hawa:
Kipa Mahamoud Abas/ Washington Muhanji
Defenders : John Okello(Zangii), George Omondi(Fundi), JosephatMurila(SupeController),
Peter...
Naungana na Mo Dewji,huyu kocha hawezi kuwa na kipya tena
---------
Baada ya SAA kadhaa kupita..
Klabu ya Simba na Kocha wake Mkuu Joseph Omog wameamua kwa pamoja kuvunja mkataba baina yao kwa...
Na kwa jinsi navyowafahamu Bunley sioni uwezekano wa kuwafunga mbili
Hii inaweza nifanya nikaacha kushabikia mpira msimu huu mpaka msimu ujao
Mou Ni kocha mwenye mbinu za kizamani katika...
Kama unaikumbuka tuzo ya mchezaji bora wa ndani wa Afrika ambayo Mbwana Samatta alishinda usiku wa January 7, 2017 haitakuwepo kwa mwaka huu 2017 kwa mara ya kwanza tangu ilipoanza kutolewa mwaka...
Mgosi alitundika daluga mwaka jana na kupewa umeneja wa klabu ya Simba lakini kitendo cha mabosi wa timu hiyo kumhamishia kwenye timu ya vijana ni kama kilimkera na kumfanya arejee uwanjani...
Furaha imewatanda kuondoshwa kwa Omog. Je mmewahi kuwaza ni jinsi gani huyu Kocha msaidizi Masoud Djuma ataweza kuiongoza Klabu yenu mzunguko wa pili unaokuja kuanza ukizingatia Jamaa ni mgeni...
Zawadi inatabia ya kuamsha hamasa ya kuipata. BIKO inatoa zawaidi kwa watu 3 kati ya watu 30, 000,000. wenye uwezo wa kucheza BIKo, ndiyo maana hao watu 3 wakipa wanaoneshwa kila media ili watu...
*BREAKING NEWS:*
WACHEZAJI 3 GREEN WORRIERS HAWANA LESENI.
Imefahamika kuwa wachezaji watatu (3) miongon mwa wale walioshiriki katika mchezo dhidi ya Simba katika kuwania hatua inayofuata ya...
Haji Manara bila shaka umeona mpira wote na umejionea jinsi simba walivyokuwa wanafanyiwa hujuma na Refa na kuporwa haki yao wazi wazi...
Nategemea kesho utaita waandishi wa habari na Flat Screen...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.