Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Utafiti wa Shirika la Afya Duniani (WHO) umebaini kuwa uchezaji wa michezo ya video (video games) kwa muda mrefu, kunachangia magonjwa ya akili. WHO imeongeza ugonjwa huo wa kujilevya na michezo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nilikuwa nasoma what's up Leo jamaa Fulani walikuwa wanaliaa makampuni feki ya bet yanayoanzishwa Wazo tu msikimbilie makampuni mapya msijejuta chunguzeni kabla ya kufanya uamuzi
1 Reactions
3 Replies
991 Views
Naomba kujuzwa huu mfumo naona una nguvu zaidi hapa Tanzania.je ndivo ilivyo dunia nzima au Africa peke yake wu ipoje?huu mfumo tumeurithi wapi
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Pale Stand United kuna Mrundi,Mbeya city kuna Mrundi pia,Simba nao kwa sasa kuna Mrundi,Yanga kuna Mzambia Lwandamina sijawataja Mromania wa Azam wala Hans Vans Plujim nimewataja makocha wa Nchi...
2 Reactions
3 Replies
877 Views
WATU bana! Jose Mourinho ameshaonekana kuwa mzigo tu huko Manchester United kutokana na kujaa vizingizio tu kila timu yake inapofanya ovyo kwenye Ligi Kuu England. Kikosi hicho cha Old Trafford...
5 Reactions
30 Replies
5K Views
Nipeni Mimi yanga hiyoo,hayo ni maneno ya kocha wa mbao,kwakwel hata mie naunga mkono huyu jamaa ni kifaa sana
3 Reactions
35 Replies
3K Views
Klabu maarufu ya soka duniani yenye maskani yake katika jimbo la Bavaria nchini Ujerumani, FC Bayern München E.V, Leo tarehe 31/12/2017 mnamo mida ya SAA Nane mchana ( kama masaa mawili yaliyopita...
4 Reactions
11 Replies
3K Views
Kitu kitu sijakielewa vizuri kuhusu huyu Kocha wa timu yetu ya Arsenal, huyu mtu wa kwetu Aserne Wenger. Tangu nimemjua huyu Kocha nimeshuhudia akifanya mambo mengi makubwa kuhusu hii timu yetu...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Heloooow,wana michezo na wale wahuzunishwaji wa huyu bwana pep guadiola,anatutesa sana anatunyima amani na tim zetu zinazo chechemea basi hatuna budi kumuombea ili dua la kuku,atuwezi juwa anaweza...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari wana jf, Ni matumaini yangu mu wazima wa afya. Mchezo wa soka umezidi kuwa maarufu zaidi duniani.Umeendelea kupendwa kwa wingi na watu wa jinsia zote si wanaume si wanawake.Pia huchezwa na...
1 Reactions
39 Replies
7K Views
Nadhani kuna tatizo la Zanzibar ndani ya muungano hata kama ni hairuhusiwi watu kusema hivi. Sijui tunamsubiri nani aje kututatulia shida hii. Nilikuwa ninafuatilia mashindano ya CECAFA...
9 Reactions
49 Replies
4K Views
1.Jarida la Yanga sc kila mwezi litakuwa mtaani likiwa limebeba mseto wa habari mbalimbali za club ya yanga. 2.Dismas 10 mkuu wa idara ya mawasiliano wa yanga mafanikio yake mengine...
15 Reactions
32 Replies
9K Views
Yaa tunaweza kusema mwanaume baada ya leo kumkalisha mtu ambaye amesumbua sana vijana na wazee wa pale Uingereza Msumbufu amewatandika bakora karibia wazee na vijana wote pale kwa malkia tena...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wasalaam wakuu. Kwa kile kinachoendelea ligi daraja la kwanza, inasikitisha sana na kinatakiwa kupigwa vita kwa kila mpenda soka na maendeleo ya mpira wa miguu hapa nchini. Jumamosi nimeshuhudia...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Habari wadau Ninaomba mwenye kujua uwanja wa kuchezea mpira maeneo ya mbezi africana 'ambao upo active' watu wanakipiga kila siku jioni. Mimi ni mgeni huku, na ni mdau wa soka. Nina mpango wa...
0 Reactions
2 Replies
991 Views
Habari wadau Ninaomba mwenye kujua uwanja wa kuchezea mpira maeneo ya mbezi africana 'ambao upo active' watu wanakipiga kila siku jioni. Mimi ni mgeni huku, na ni mdau wa soka. Nina mpango wa...
0 Reactions
0 Replies
620 Views
Oya wadau kuna swala linanikera ni mkoa wa KILIMANJARO kukosa timu ligi kuu Tanzania bara. Hivi tatizo ni nini kwa viongozi wetu tunakwama wapi hadi tukose timu ligi kuu? Mimi tangu niijue ligi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Sidhani kama tutakusajili tena msimu ujao lazima ufungashe virago, tunashukuru kwa kazi unayoifanya ila hatuwezi kubaki na wewe katika msimu wa 2018/2019 Ni hayo tu
2 Reactions
17 Replies
2K Views
machester united anatoka leo darajani
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mara nyingi katika hiki kipindi mechi huwa zinachezwa nyingi kwa siku chache..Pia hali ya hewa huwa inakuwa ya baridi sana..wachezaji huwa wanapata majeraha mno..Wanatumia energy nyingi sana...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom