Salam Wakuu,
Juventus vs. Tottenham Hotspurs
Basel vs. Manchester City
Porto vs. Liverpool
Sevilla vs. Manchester United
Real Madrid vs. Paris Saint-Germain
Shakhtar Donetsk vs. Roma...
Takriban timu zote zinazoshiriki mashindano ( bonanza ) haya huwakilishwa na timu za taifa za nchi lakini ni Tanganyika tu ndo haisikiki na badala yake inawakilishwa na timu ya mkoa wa...
Kocha aliyetamba na kikosi cha Mbeya City Juma Mwambusi ametoa maoni yake kuhusiana na timu ya taifa ya Tanzania bara ‘Kilimanjaro Stars’ kufanya vibaya kwenye mashindano ya Chalenji 2017 ambapo...
Mabingwa wa Kombe la Mapinduzi, Azam wamepangwa kundi la kifo pamoja na Simba na URA ya Uganda huku Yanga ikipewa vibonde katika mashindano hayo yatakayoanza mwishoni mwa mwezi huu na kumalizika...
Zikiwa zimesalia siku 3 pekee dirisha dogo la Usajili Ligi Kuu Tanzania bara kufungwa mpaka Sasa klabu ya Simba bado haijatangaza kukamilisha Usajili Wa mchezaji yeyota licha ya tetesi ambazo...
Marco Di Vaio...
Huyu ni mshambuliaji mwenye uwezo wa kuzifumania nyavu kwa kutumia Kichwa na Miguu. Alipata pia kukitwanga Bianconeri ama Juve...
Alberto Gilardino
Kama ilivyo kwa Di Vaio...
Miaka 8 iliyopita siku kama hii ya leo, kinda wa miaka 22/Mfalme wa soka ulimwenguni kuwahi kutokea Leo Messi10 alitwaa Ballon d'Or yake ya kwanza.
Karibuni wadau na wapenzi wa soka
Cc...
Jukumu moja wapo la chombo cha habari ni kuhabarisha watu wote bila ubaguzi, lakini sio hivyo kwa michezo kama raga, kriketi, mpira wa kikapu, tenisi na aina nyingine. Kwa mda mrefu sasa waandishi...
Timu za Premier League zimeweka rekodi mpya ya Timu Tano zote kuingia hatua za mtoano za Champions League. Chelsea,Liverpool,Manchester United,Manchester City na Tottenham Hotspur zote zimefuzu...
Mshambuliaji wa Simba raia wa Uganda, Emmanuel Okwi, ameshangazwa na uongozi wa timu yake kwa kushindwa kusajili mchezaji yeyote mpya mpaka sasa.
Okwi amesema siku za usajili zimebaki nne kabla...
Straika Mpya Kutoka Zambia, Jonas Sehukawa ameifungia klabu ya Simba goli la Pili katika ushindi wa goli 3-1 ilioupata Simba dhidi ya klabu ya KMC jioni ya leo.
Sehukawa ameweza kuifungia timu...
Niliiandika alivyoteuliwa na TFF na Lengo lilijuwa nini. Hiyu Kocha hakuwa na sifa hata moja ya kwenda na Timu Kenya.
Ammy Ninje kutangazwa, kumrithi Salum Mayanga. Kocha mkuu wa Kilimanjaro...
Kwanza football, basketball, cycling, mbio za miguu, michezo hii zanzibar ndio ipo kipao mbele kwa zanzibar.
Sababu ya vijana kupenda michezo, muda wa jioni wa wapumziko vijana wazee na watoto...
Kuna vitu, ambavyo ni vigumu kutokea. Ronaldo kwenda kucheza barcelona, messi kuchezea madrid, neymar jnr kurudi barca, watu wanachukiana balaa. hebu fikilia kikawada tu jinsi ilivyo ngumu, neyma...
Timu ya Tanzania bara, Kilimanjaro Stars imeaga rasmi mashindano ya CECAFA baada ya kufungwa na Rwanda goli 2-1.
Magoli ya Rwanda yalifungwa dakika ya 17 na 66, wafungaji wakiwa ni Innocent...
Zanzibar heroes imekuwa timu ya kwanza kutinga nusu fainali ya michuano ya Cecafa baada ya kutoka suluhu na Kenya kwenye uwanja wa Kenyatta, Machakos nchini Kenya.
Kufuatia mtanange wa leo...
AMI NINJE KUTANGAZWA KOCHA MKUU WA KILIMANJARO STARS, KWENDA NA TIMU KENYA, AKIFANYA VIZUIRI HUWENDA AKARITHI MIKOBA YA MAYANJA
kaimu Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)...
Wadau
Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Mh. Dk.Tulia Ackson ameibuka mshindi wa kwanza katika mchezo wa kutembea kwa haraka katika mashindano ya nane ya Wabunge wa Mabunge ya Afrika Mashariki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.