Kesho wanandugu wawili wanakutana Cefaca nani kumfunga mwenzake?Jana Zanzibar Kamlamba Rwanda 3-1 na huku Kilimanjaro Akienda Sare na Libya.
AZAM TV MUBASHARA.
Manara atamchafulia MO kutokana na mahaba yake kwa Simba yaliyopitiliza kiasi cha kusahau kanuni na taratibu za mchezo huo na sheria za nchi.
Manara anapaswa kujua kuwa kila lalamiko lina...
Kwa wapenzi wa miereka huyu jamaa hafananishwi
Refer Hell in the cell alivyo garagaza vigogo wa WWE mpaka kina KO
Kumbe jamaa wanatamani sana title yake kina shemus na kundi la New day...
Nawaz hapa, huyu mzee ni bure kabisa.. Arsenal inazidi kupotea kwenye raman ya soka, hakuna jitihada zozote za kununua wachezaji wenye akili, timu haina matumain ya kufanya vizuri katika...
Nimejaribu kufuatilia kombe la Mapinduzi linaloendelea nimegundua kwamba timu za Zanzibar ni bora sana hata kuliko za bara na ukiangalia ligi yao wala timu zenyewe hazina udhamini mkubwa kama ligi...
Wito umetolewa kwa wakazi wa jiji la Dar es salaam na kwa wapenzi wa Golf nchini kujitokeza kwa wingi kushiriki katika mashindano maalumu ya Golf yatakayo fanyika katika viwanja vya Lugalo Jijini...
Biashara gani ipo Simba yenye mashabiki kidogo sana Tanzania kuliko Yanga itakayoweza kurudisha fedha za muwekezaji zaidi ya kupanga matokeo ya mechi za Simba ndani na nje ya nchi?
Kamali...
Mchezaji wa kimataifa wa Tanzania Simon Msuva Jana aliendelea kung'ara katika klabu yake ya Difaa El Jadidi wakati ilipoifunga Olympique Khouribga magoli 4-1 katika mchezo wa ligi kuu ya nchi hiyo...
Hatupo mbali sana na kombe la dunia kule kwa mzee Putin Russia Tumeona makundi ndo hayo tiyari yametoka huyu akipangwa na yule ili mradi burudani.
Zaidi ya burudani ya soka kiwanjani pia...
Wote najua manajua kinachoendelea huko Libya,sasa hao wapuuzi ni mojawapo ya teams mwalikwakwenye michezo ya cecafa cup inayoanza kenya next week
Wdhamini wakuu ni Azam tv,
Nawaomba ndugu zangu...
Bilionea Mohammed Dewji, amepita katika mchakato wa uwekezaji wa klabu ya Simba na ofa yake ya Sh bilioni 20.
Dewji amejitokeza na kuwa muwekezaji pekee ambaye aliweka dau la Sh bilioni 20 kupata...
Bado pale Epl sijaona zile fujo za Viungo wa kati kama zile za Viera wa Arsenal na Keane wa Man utd hawa majamaa kila wakutano ulikua n mpira wa shoka haswa eneo la kati.
Kati ya mmoja wao kula...
kama kawaida wapingaji,watetea waarabu watakuja na kusema labda Salehe jembe alinyimwa kazi Azam au anamuonea wivu bakhressa au watamuambia hao blacks walifata nini libya?
Tusisahau Morocco...
Bingwa wa zamani wa mashindano ya langalanga ya Fomula 1 Michael Schumacher, amekuwa akionyesha dalili nzuri baada ya madaktari kuanza kumtoa katika hali yake mahututi.
Familia yake imesema kuwa...
Kwanza niweke kumbukumbu sawa mimi ni shabiki wa Yanga... Pili kwa Simba ya msimu uliopita ilikuwa ya kuongeza wachezaji wachache tu kiungo wa juu mmoja wa chini mmoja kipa na striker wawili wa...
Polen na kaz wadau,naomba msaada kwa yeyote anayeijua application inayoweza kuninya niangalie mpira kupitia cm ya mkonononi tafadhar msaada sitaki niikose mechi ya arsenal dhidi ya man u
dakika 90 zimekwisha refa kaongeza dakika 5 ila kasubiri mpaka wamepata goli ndio kamaliza mpira poor epl,inamaana kama wasingepata goli mechi isingeisha......dah
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.