Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mliopo uwanjani tunaomba updates otherwise yanga tunakuombea ushindi mnono upande wa pili hawalali.
1 Reactions
56 Replies
9K Views
Hiki hapa kikosi kitakachoshuka dimbani kuikabili Lipuli Mshambuliaji wa klabu ya Simba Mganda Emmanuel Okwi hajajumuishwa kwenye kikosi cha timu hiyo kitakachovaana na Lipuli FC kwenye mchezo...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
KLABU ya Yanga jana imemsainisha mkataba wa miaka miwili, beki wa kati, Mkongo Fiston 'Festo' Kayembe Kanku ambaye alikuwa kwenye majaribio katika timu hiyo kwa muda mrefu. Usajili huo unakuja...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Klabu ya Azam FC imeachana na Mshambuliaji wake Yahya Mohammed raia wa Ghana baada ya kushindwa kufanya vizuri kufuatia makubaliano ya pande zote mbili. Yahya alikuwa na mkataba wa miaka miwili...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
MTANZANIA IBRAH CLASSIC ASHINDA MKANDA WA NGUMI WA GBC AKIMSHINDA MSOUTH AFRICA KWA POINT 119 KWA 109 PONGEZI KWA AZAM TV KULETA MPAMBANO HUU LIVE
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Watoto wa Mosee Katumbi leo wametwazwa kuwa mabingwa wa kombe la Shirikisho badala ya kwenda Sare na Supersport ya Afrika kusini awali Mazembe walishinda 2-1 pale jiji la Lubumbashi. Timu zetu...
2 Reactions
1 Replies
906 Views
Mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Brazil na klabu za AC Milan na Real Madrid amehukumiwa kifungo cha miaka 9 jela baada ya kupatikana na hatia ya kumshambulia na kumdhalilisha kijinsia...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
KLABU za Gor Mahia inayoshiriki Ligi Kuu ya Kenya na St. George ya Ethiopia, zinatajwa kumwania mshambuliaji wa kimataifa wa Simba kutoka Burundi, Laudit Mavugo, imeelezwa. Hata hivyo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Japo timu haikupoteza mchezo laki goli walilofungwa ni goli YANGA LEO jepesi sana yaweza ikawa katika msimu huu hakuna lingine zaidi ya hili ni maoni yangu tu
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mmeona jamaa wa wa TZ Prisons alivyompiga bao lililopita matakoni? Kumbe jamaa naye ni rahisi kupigwa magoli kiasi hiki! Hongereni Yanga kwa kutoa droo
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Simba Sports Club Dar es salaam 25-11-2017. TAARIFA KWA UMMA ________ Mchezaji Said Hamis Juma (Ndemla) amefanikiwa kufuzu kwenye majaribio yake ya kucheza Soka la kulipwa barani...
5 Reactions
13 Replies
8K Views
Rekodi zinaonyesha Timu zilizofungwa Goli 5-0 katika ya VPL kuanzia Mwaka 2012 ni:- 1.YANGA 2.JKT RUVU 3.COASTAL UNION 4.RUVU SHOOTING 5.KAGERA 6.MBEYA CITY *HII NI KUKUMBUSHANA TU HAKUNA SABABU...
7 Reactions
28 Replies
5K Views
Mshambuliaji nyota wa zamani wa Simba na timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mussa Hassan Mgosi, amesema kuwa kwenye Ligi Kuu Bara mshambuliaji mbishi uwanjani ni Obrey Chirwa wa Yanga...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Mahakama kuu ya rufaa nchini Afrika Kusini imemuongezea adhabu ya kukaa jela mwanariadha na mshindi wa Olimpiki Oscar Pistorius kutoka miaka 6 hadi 13. Waendesha mashtaka wasema kifungo cha miaka...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Napatikana Mwanza, natafuta pool table, ya kioo, mwnye nayo anitafute! 0652603278
0 Reactions
0 Replies
735 Views
Mchezaji anayeng'ara kwasasa hivi Taifa stars Simon msuva aliifungia bao timu yake ya el jadida walipokutana na miamba na mabingwa wa CAF klabu ya Raja Casablanca. Katika pambano hilo klabu ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
ilipoanza mbeya city ilianza kwa kishindo na kupata mashabiki wengi sana. iliiingia moja moja kuwa mshindi wa 3 katika ligi. huku ikiwa ni moja ya team zilizokuwa zikiogopwa sana. ilikuwa ina...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Kwasasa Watanzania wengi wanapata kuvutika kwakasi kuingia ktk michezo ya kamari bila kuelewa ina ATHARI KUBWA MNO kuanzia katika JAMII na katka DINI coz naamin zaid ya 95% ya watanzania ni...
4 Reactions
33 Replies
16K Views
Back
Top Bottom