Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Uongozi wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, unayofuraha kuwajulisha kuwa imefanikiwa kunasa saini ya mshambuliaji Bernard Arthur akitokea Liberty Professional ya Ghana. Arthur...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Ukitaka dogo aje kuwa kama kina Messi na Ronaldo basi lazima umuanzie mbali sana
0 Reactions
3 Replies
973 Views
Hivi Omog angekuwa Na kikosi Kama cha Yanga ingekuwaje.Omog aende Yanga. MTU anashindwa kuwatumia wachezaji wazuri ni wanini Simba.Ajib kaenda Yanga Na sasa ndo STAR pale Yanga ila Simba...
1 Reactions
23 Replies
6K Views
Jamani Tanzania na Watanzania milioni 52 sasa tuna dhambi kubwa kiasi gani, toka tuliposhiriki mara ya mwisho mwaka 1980 nchini Nigeria mpaka leo mwaka 2017 hata dalili za kunusa kushiriki...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Wadau mje...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Nimemfuatilia Omog kwa muda na tangu kelele za mashabiki zipigwe sasa viongozi watabe wameingilia kati ,..Omog ni boshen tu pale kuna anayeshikilia remote
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Mlioko uwanjani au karibu na media tupia matokeo hapa ====================== Timu ya soka ya Yanga leo imefanikiwa kuifunga timu ya soka ya Mbeya City magoli matano kwa bila katika mchezo wa...
6 Reactions
98 Replies
17K Views
Hiki ni kikosi kilichoinyoa Arsenal katika fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya mwaka 2006 jijini Paris. Chini ya mdachi Frank Rijkaard, Barcelona hii ilikuwa tamu sana kuliko hata ile ya Pep...
6 Reactions
47 Replies
11K Views
Mshambuliaji Mtanzania, Thomas Ulimwengu ameondoka katika klabu yake ya AFC ya nchini Sweden na kwenda Ubelgiji ambako sasa anafanya mazoezi na kikosi cha KRC Genk. KRC Genk ndiyo klabu...
7 Reactions
38 Replies
12K Views
UONGOZI wa Klabu ya Simba mnapaswa kuwa makini na WACHEZAJI wenu kwani Klabu ya Yanga ina mtumia Mchezaji wake Ibrahimu Ajibu kuwarubuni WACHEZAJI wenu wajiunge na Yanga.
2 Reactions
32 Replies
8K Views
kama city atafanikiwa kupita salama ktk miezi migumu ya EPL yaani November,December na January itakuwa ngumu sana kumzua asichukua kombe
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Tujuzane kinachoendelea finali za kombe la shirikisho
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Ana uwezo wa kawaida mno na hana tofauti na Olivier Giroud sema tu kwasasa anazungumzwa sana kwa kuwa yupo timu ya wapayukaji duniani, jiulizeni kwanini alichemsha vibaya akiwa Barcelona? Akaenda...
3 Reactions
33 Replies
5K Views
Hivi ni kweli maguri kasaini yanga au magazeti tu?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
mwenye statistics za english premier leugue atuwekee
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Ligi Kuu ya soka Vodacom (VPL) Mji wa Mbeya leo utasimama kwa dakika 90, kupisha mtanange kati ya Tanzania Prisons 'Wajelajela' na Simba Sports Club 'Wekundu wa Msimbazi'. Je nani kuondoka na...
4 Reactions
128 Replies
25K Views
Imepita miaka minne tangu Simba ilipopata ushindi wake wa mwisho dhidi ya Tanzania Prisons kwenye uwanja wa nyumbani wa maafande wa jeshi la Magereza, matokeo mazuri kwa Simba katika kipindi hicho...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Yaan. Inaskitisha sana kuona nchi kama Italy inakosa kwenda kushiriki world cup 2018 huko Kwa Purtin na mvuto wa haya mashindano umeisha bingwa maraa kadhaa anashindwa kwenda. Aiseee!! Italy...
4 Reactions
110 Replies
10K Views
Said Ndemla amewasili salama nchini Sweden tayari kuanza majaribio yake katika klabu ya AFC Eskilstima inayoshiriki ligi kuu nchini humo.
2 Reactions
18 Replies
5K Views
Guys leo ni siku ya kuzaliwa kwa kiungo bora wa kiingereza wa muda wote Paul Scholes. Amefikisha miaka 44 leo, unakumbuka nini enzi zake akicheza?
4 Reactions
7 Replies
4K Views
Back
Top Bottom