Mfungaji wa goli la lipuli dhidi ya simba ,Asante kwasi alikuwa anakipiga katika klabu ya Mbabane swallows timu ambayo kiungo wa yanga Tshishimbi alitokea.
Wachezaji Hawa wa zamani wa Mbabane...
Siku za hivi karibuni kumekuwa na mwamko kwa Watanzania kufuatilia ligi kuu ya hapa nyumbani, ujio wa Azam TV unawakusanya wapenda soka kwenye vibanda umiza hasa zinapocheza SIMBA au YANGA...
Yanga wanafanya mambo mawili kwa wakati mmoja. Wanaendelea na Ligi na tayari wameanza usajili wa dirisha dogo. Unavyosoma hapa dakika hii tayari beki aliyeletwa na kiungo mpya wa Yanga, Papy...
Hivi hizi timu kongwe za Tanzania, Simba na Yanga zitaacha lini kudeka nakupenda kutumia rasilimali za wengine.
Inatia aibu na huruma pale timu kongwe kama Yanga yenye miaka zaidi ya 80 toka...
Kiukweli hii team yangu msimu huu imekuwa inapata magori kwa tabu sana na inahitaji kufanyiwa reforms kama kweli tunahitaji treble yafuatayo ni matatizo yanayoikumba barca
1. Kocha kusema ukweli...
Timu ya AC Milan imemtimua kocha Vincenzo Montella na badala yake imempa usukani kukisimamia kikosi cha kwanza cha timu hiyo.
Klabu hiyo ipo katika nafasi ya 7 kwenye orodha kwenye ligi ya Serie...
Simba jana ilicheza kandanda safi sana dhidi ya Lipuli kwa muda wote wa mchezo. Nawashauri Simba kuwa waanze kumtafuta kipa badala ya Manula. Lile goli la jana siyo goli la kufungwa kipa kama...
Yeah! Wanasoka wenzangu nipo hapa kutoa List fupi wa viungo wa kukaba bora wa mda wote kwa upande wangu katika tasnia ya soccer .
1.Sergio Busquets - kwa upande wangu huyu jamaa ni bora kabisa...
Patashika ya ligi kuu ya Vodacom Premier League (VPL) inaendelea leo Jumapili katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam, ambapo Simba SC Wekundu wa Msimbazi wakipimana ubavu na Lipuli FC wana...
Gwiji wa mchezo wa Kikapu, LeBron James amesema kuwa ubaguzi wa rangi ni sehemu ya maisha ya Dunia na Marekani katika maisha ya kila siku. Mkali huyo wa timu ya kikapu ya Cleveland Cavaliers ambao...
Hili nalisema baada ya kuishuhudia timu hii ya EPL ikiteketezwa kwa magoli 4-1 dhidi ya Southampton .
Hakuna molari tena kwa wachezaji , hawana tofauti na wachezaji wa Abajalo ya Sinza .
Kwaheri...
Msemaji Mkuu wa klabu ya Simba SC, Haji Manara ameendelea kuwalalamikia waamuzi wa Ligi Kuu Vodacom Tanzania Bara kwa kushindwa kuchezesha vizuri mechi zote za timu yake.
Manara amesema hayo...
Hull City,Sunderland,na Sasa Everton nini tatizo kwa timu hizi zinazodhaminiwa na makampuni toka Afrika?Everton wamefanya usajili mzuri ila wapo hoi taabani pamoja na kufukuza kocha bado tu wapo...
Bondia Mtanzania, Ibrahim Class usiku wa jana kuamkia leo jumapili Novemba 26 ameandika historia nyingine kwa kutetea ubingwa wa Global Boxing Council (CBG) dhidi ya Bondia Koos Sebiya kutoka...
Wadau
Zimekuwepo tetesi za muda kuwa 'Lionel Messi' anampango wa kurejea nyumbani. Taarifa hizi zimekanushwa na yeye mwenyewe aliyesema kuwa hana mpango wa kuhama kutoka katika klabu yake ya sasa...
Simba imetangaza kumpa ruhusa kiungo wake Said Hamis Ndemla kwenda kufanya majaribio ya kucheza soka la kulipwa nchini Sweden
Taarifa rasmi kutoka Simba imethibitisha kiungo wao mshambuliaji Said...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.