Ndugu Zangu wapenda soka Naombeni Mnijuze Kwanini Huyu Ronaldo wanamwita Goal Machine?
Huu si uongo wa wazi wazi kabisa maana ukiangalia Messi ana Scoring Ratio Kubwa Kuliko CR7
Lionel Messi...
Kwa beki katili na makini kama kina Sol Campel,Vidic,Ferdinand,Paulo Maldin,Nesta,Zambrota,Chivu,Puyol,Robert Carlos etc ila bado washambuliaji wa kipindi kile Kina Van Neestrol,Rau,Dwight...
Dar es Salaam. Winga wa Simba, Shiza Kichuya amesema ugumu wa Ligi Kuu Bara, unasaidia wachezaji kujituma na kuwataka washambuliaji wa Kitanzania kuchukua tuzo ya ufungaji bora msimu huu...
Mara nyingi imekuwa ikihubiriwa kwamba Rais mpya wa TFF Ndg. Wallace Karia ni mtu safi na asiye na makandokando, hata mimi binafsi kuna wakati niliamini hivyo na kuona sasa tumepata kiongozi...
Goli alilofunga Shiza Kichuya kwenye mchezo wa VPL kati ya Mbeya City dhidi ya Simba limezua mjada mkubwa kwa wadau wa soka wapo wanaosema kabla Kichuya hajapokea pasi kutoka kwa Jonas Mkude...
Mchezaji wa Simba aliyefunga bao pekee katika mechi ya jana akiifungia timu yake ya Simba dhidi ya wenyeji Mbeya City ametolea ufafanuzi goli alilofunga jana
Goli hilo limezua mjadala katika...
Wana jf,
Jumapili nilihudhuria mechi ya Simba na Mbeya City hapaa Mbeya. Nilichokiona huko ni tofauti na matarajio yangu, kwa jinsi Simba inavyosifia kwenye vyombo vya habari nilidhani ni bonge...
Yanga mmeumia sana na Ushindi Wa Simba DHIDI ya Mbeya city.Mbona Goli la mkono la AMISI TAMBWE macho ya Simba vs Yanga hamkupiga KELELE? Kateni RUFAA basi. Kubalini Matokeo Simba 1 Mbeya City 0
Mshambuliaji wa Genk, Mbwana Samatta na nahodha wa Taifa Stars, atakaa nje kwa wiki sita akiuguza majeraha ya goti.
Samatta aliumia goti wiki iliyopita wakati akiichezea Genk dhidi ya Lokeren na...
Ndugu Zangu wapenda soka Naombeni Mnijuze Kwanini Huyu Ronaldo wanamwita Goal Machine?
Huu si uongo wa wazi wazi kabisa maana ukiangalia Messi ana Scoring Ratio Kubwa Kuliko CR7
Lionel Messi...
Klabu ya Simba inayofuraha kutangaza kuwa mchezaji wake Hamis Said Juma (Ndemla) amepata nafasi ya kwenda kufanya majaribio ya kucheza soka la kulipwa nchini Sweeden.
Ndemla amepata nafasi hiyo...
Yanga wakipakatwa dk zote 90
Habari ndiyo hiyo
Mpira umekwisha hapa CCM Namfua
Singida FC "ikitoka" kifua mbele kwa kutoa draw na Yanga
Ajibu, Shishimbi, Tambwe, Chirwa wooooote walikuwepo...
Nina wasiwasi sana na aina ya upiganaji anayotumia mwanamasumbwi Deontay Wilder ,sidhani kama ataendeleza rekodi yake kwa kipindi kirefu.
Leo kwenye mechi yake dhidi ya Bermaine Stiverne nina...
Kwa wapenda soka msikose kutazama leo mechi kali na yenye kusisimua katika bara la America ya kusini,,,Argentina Superliga
RIVER PLATE____BOCA JUNIORS
Itachezwa saa 06:05 usiku wa leo.
RIVER...
Huu ndio ukweli , kila alikopita ( ukiacha bahatisha ndulute ya porto ) anabebwa na kitita cha usajili kinachomuwezesha kununua mchezaji amtakaye .
Shortly ni kwamba anabebwa na wachezaji nyota...
VPL.. Ni kama vile jiji la Mbeya limesimama kwa muda na gumzo kubwa ni mbungi itakakayopigwa leo katika uwanja wa CCM Kumbukumbu ya Sokoine kati ya Mbeya City, na Mnyama Simba Sports.
Muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.