Akizungumza leo Mubashara na kituo cha televisheni cha Azam Tv channeli ya Azam Sport 2, Kaimu Katibu Mkuu wa TFF akanusha tuhuma za kujilipa mamilioni na Kiernan unapoacha jambo la uongo lisambae...
Nyota ya Wnga wa kushoto wa Simba, Shiza Ramadhani Kichuya imeonekana kuendelea kuwaka kutokana na mashabiki wa timu hiyo mkoa wa Katavi kumuuliza licha ya yeye kutokuwa sehemu ya timu hiyo mkoani...
Leo majira ya jioni kwa saa za Nairobi, kutakuwa na kipute kikali cha soka baina ya Man United na Chelsea.
Lkn mbali na hicho mmiliki wa Chelsea amemualika boss wa Man United Mourinho kwa ajili...
Dah,inaonekana Mo ibrahim hana raha tena ndani ya simba ,kwa nini kae benchi huyu wakati niyonzima na mavugo wanazengua?shiiit,akienda yanga huyu tutajuta.
Kiungo wa Simba, Said Hamis Ndemla ameanza majaribio jana katika kikosi cha AFC ya Sweden.
Ndemla raia wa Tanzania, anatarajia kuendelea na majaribio hayo ya siku 14 leo lakini kuna siku mbili...
habarini za asubuhi jamani msaada anaeujua huu mchezo maana yamenikuta nimeliwa pesa nyingi sana maeneo ya nyumbani kuna sehemu upo uo mchezo naomba yoyote anaeuelewa ata kidogo basi ajalibu...
Habarini wana jamvi?
Naomba kujuzwa machache juu ya mchezo wa karata.
1. Ulianza lini na ni nani mwanzilishi/waanzilishi wake?
2. Nini maana ya ile michoro iliyo kwenye karata?
Natanguliza...
Tarehe 28/10/2017 Kamati ya Utendaji ya TFF, ilifanya Kikao katika Hoteli ya SEA SCAPE Kunduchi Beach jijiji Dar es Salaam ambapo pamoja na mambo mengine ilipitisha azimio la Wajumbe wa Kamati...
Ni miaka 18 sasa, tangu Man Utd alipofanya maajabu katika fainali ya UCL ya mwaka 1999 kwa kutoka nyuma na kubeba ubingwa. Man Utd akatawala soka la Ulaya na Dunia nzima chini ya Sir Alex. Tuambie...
Wana jukwaa jana niliamka nikiwa na Buku Jelo mfukoni, mara nyingi huwa na BET M-BET, Jana nikaamua nibadili mboga kwa kutumia Buku jelo (1500) yangu, niliuliza namna ya kubet TATUMZUKA...
Baada ya Sweden kufuzu fainali zijazo za Kombe la Dunia huko Russia, tetesi zimeibuka kuwa Mshambuliaji mkongwe wa Nchi hiyo ambaye alistaafu kuchezea timu ya Taifa, anafikiria kurudi kuchezea...
Shomari ni muoga tu hatuwezi kuvumilia kumlipa bure mshahara, anatakiwa kucheza sivyo tutamuacha... vipimo vinaonesha mzima "
Kauli ya mwenyekiti wa usajili Simba SC ndugu Hans Pope juu ya...
Leo nikiwa nasikiliza mpira huku naombea yanga nikajikuta nakikumbuka hichi kikosi, enzi hizo simba ikicheza unakua na uhakika na kushinda.
Mwaka wa 4 sasa hatujachukua ubingwa, sijui viongozi...
Keshokutwa Jumatano dirisha dogo la usajili likitarajiwa kufunguliwa, tayari nyota wawili wa Mbeya City na Prisons wamekuwa kipaumbele kwa Kocha wa Azam FC, Mromania, Aristica Cioaba.
Nyota hao...
Chama cha Soka Afrika (CaF) inabidi waliangalie hili kwa jicho la pili na kulifanyia mabadiliko kama wanataka kwenda na Sayansi ya Mpira.
Hapa nazungumzia haya mashindano mawili kombe la Mabingwa...
Bondia machachali asiyekuwa na maneno mengi bali vitendo anapokuwa ulingoni AnthonyJoshua (28)hatimaye ametangaza kuwa atapanda ulingoni mnamo tarehe 28 October 2017 kutetea mikanda yake ya...
Wakati huo ikijulikana kama talented country katika uwanja mzima wa sanaa kuanzia nyimbo maigizo vichekesho mpaka kutengeneza vipindi mbalimbali Tanzania na wengineo tulikuwa nyuma kwakweli...
Klabu ya wydad Casablanca ya nchini Morocco ligi ambayo Simon Msuva anacheza wabeibuka mabingwa wa klabu bingwa Africa "CAF" kwa kuwanyuka Al ahly goli moja kwa sifuri na hivyo kufanya aggregate...
Ndugu zangu,
Msingi wake hasa ni wajinga ndio waliwao. Ukweli kuwa binadamu anayeendekeza kucheza kamari anakuwa mgonjwa wa kamari. Ni maradhi. Anayecheza asaidiwe kujua hilo.
Na kamari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.