Kiungo wa Klabu ya Simba, Shiza Ramadhan Kichuya anategemewa kuachana na timu hiyo, kisha kujiunga na Waarabu wa Misri muda wowote endapo tuu dau la kushiba litakapowekwa mezani.
Tetesi za...
Wanamichozo mambo vipi? Aiseee km tu kichwa kilivyotaja hapo juu.
Watu hao maarufu kwa kukimbia mbio fupi ( bolt) na ndefu ( mohamed Farah) wameshindwa kuonesha ubabe wao Leo ktk London marathon...
Habari wadau wa michezo mbali mbali hususani mchezo wa mpira karibu kwenye uzi huu maalumu wa kubeti michezo mbali mbali lakini naamini mchezo wa soka ndiyo una mashabiki wengi.
KARIBUNI SANA...
AGENDA ZA MKUTANO WA SIMBA
Kuhakiki idadi ya wanachama wanaohudhulia mkutano, kuthibitisha ajenda, kuthibitisha kumbukumbu za mkutano uliopita, yatokanayo na kumbukumbu za mkutano uliopita...
Prestigious magazine FourFourTwo published a list with the 100 best footballers in history. A compilation which is giving much to talk about.
The list is topped by Diego Maradona and Gheorge Hagi...
Salaam wana JF.
Tumekuwa na mijadala mingi juu ya uchaguzi wa TFF, tumetazama ahadi zao, mipango, sera na namna watakavyotekeleza. Kila mgombea ametoa ahadi zile zile anazoamini watu wangependa...
Arsenal 3-1 Leicester
Watford 2-1 Liverpool
Chelsea 3-1 Burnley
Crystal palace 2-1 Huddersfield
Everton 1-0 stoke
Southampton 0-0 Swansea
West brom 2-1 Bournemouth
Brighton 1-4 man city
Newcastle...
Kwa kinachoonekana kuwa mwisho mbaya kwa mkali wa mbio na mtu mwenye kasi zaidi duniani, Usain Bolt leo ameshindwa kuipaisha timu yake katika relay race kwenye michuano ya IAAF London 2017.
Mkali...
Kusema kweli kuna asilimia 90 Karia atakuwa rais ajaye wa TFF.Natamani sana Ally ashinde uchaguzi huu sababu nafahamu ana moyo wa dhati wa kuleta mapinduzi ya soka hapa nchini na hata Sera zake...
Hawa sio wajumbe wa mkutano mkuu wa TFF, wala si waandishi wa habari, lakin wapo Dodoma kwenye uchaguzi na suti zao.
Hapa naona harufu za kurudi kule kule, maana hawa wanaoojiita watu wa mpira...
Wanabodi,
Ally Mayai nimemfahamu miaka mingi akiwa mchezaji hadi sasa. Ingawa sijawahi kuwa na ukaribu nae lakini kwa kufatilia uchambuzi wake wa soka, umakini wake na hekima ambayo pia alikuwa...
Ndugu zangu, kama mnavyofahamu mimi ni mfuatiliaji mwenye uchungu na mpira wetu wa Bongo na nilionyesha kutoridhishwa kwa kiwango kikubwa na hali ya utawala usio bora kutoka TFF ya Jamal Malinzi...
Aliyekua kocha mkuu wa Taifa Stars mbarazili Maxio Maximo amesema kwamba Frederick Mwakalebela ndio mgombea pekee anayefaa kuchaguliwa kuongoza TFF.
Maximo amesema kwamba MWAKALEBELA alifanya...
Dar es Salaam. Bodi ya Wadhamini wa Klabu ya Soka ya Simba imefungua kesi kupinga mkutano mkuu wa klabu hiyo.
Mkutano mkuu wa klabu hiyo unatarajiwa kufanyika Jumapili ijayo.
Hata hivyo Bodi ya...
Afisa habar wa shirikisho LA ssoka nchini TFF Anaripotiwa kufukizwa Dodoma kutokana na kukiuka maadili ya uafisa habari wakati Huu wa joto Kali LA uchaguzi
1. Ukabaji Mbovu Wa Hector Bellin Umefanya Holding Aonekane Njia
2. EPL (English Premier League) hakuna Kiungo Kama GRANIT XHAKA
3.GIROUD Ndiye Super sub Epl Nzima
4.Arsenal Wanajua Mpka Kero...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.