Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

DODOMA: Leo ni siku ya Mkutano wa Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini(TFF) unaofanyika ktk Ukumbi wa St. Gasper. Katika Uchaguzi huo nafasi zinazogombewa ni Urais wa TFF, Makamu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
TAKUKURU mko wapi?, Nikiwa kama mwandishi wa habari wa kujitegemea, nimepiga kambi hapa Dodoma kufuatilia kwa karibu uchaguzi wa Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania (TFF) tangu zilipoanza...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Mgombea Urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ambaye pia ni Kaimu Rais wa Shirikisho hilo, leo amehojiwa na TBC1 na kuelezea. Kauli mbiu yake na kufafanua vipaumbele vyake endapo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari ndo hiyo, Ni ngumu sana kuikatalia barca wakati inakutongoza! Coutinho awasilisha ombi la kutaka kuhama liverpool fc, ni wazi anasafisha njia ya kwenda barca! Source: SkySports. BONYEZA...
1 Reactions
55 Replies
6K Views
Na: Pasco Nkololo Huenda ikawa sio ajabu tena leo kusikia DRC Congo ipo nafasi ya 44 katika viwango vya ubora wa soka duniani wakati huo Tanzania ipo nafasi ya 114. Hatushangai tena kwa kuwa...
0 Reactions
1 Replies
984 Views
Wadau habari, Ukikaa chini ukatafakari na uhalisia wa mambo yanavyoenda unaona kichefuchefu kabisa, na kama una mimba changa unatapika kabisa. Yaani timu kubwa bongo simba ya yanga ni uharo...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kitu unachotakiwa kukifahamu ni kwamba Frederick Mwakalebela amekua ni mjumbe wa kamati wa kusaidia kupandisha ligi kuu timu za Njombe Mji na Lipuli Fc . Jambo ambalo limefanikiwa kwani...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mgombea wa nafasi ya urais katika Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania Frederick Mwakalebela kwamba endapo atachaguliwa kuwa Rais wa TFF,basi atahakikisha anajenga viwanja vipya vya kisasa...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Hbr wadau, Naomba kuuliza, decoders za bein sport kwa Dar es Salaam nani anauza? Hao jamaa naona wako vizuri sana mikoani kwa watoa huduma za cables, nilitaka kupata decoder yao hapa dsm
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Bahari ni kiboko ya usafiri wa wachawi [emoji115] [emoji115] uzi wa ndugu yetu mshana aliwahi sema bahari ni kiboko ya wachawi. Uongozi wa Yanga umesema kikosi chao kitaweka kambi Pemba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimepokea Maoni ya watu wengi sana wakiniambia kwann siongelei sana Uchaguzi wa Safari hii wa TFF wakati nlikuwa nampiga sana Malinzi na wakati ni Huu wa mabadiliko??? ................... kwa...
0 Reactions
1 Replies
919 Views
Wadau wenzangu wa JF bila shaka hamjambo. Ikiwa yamebaki masaa kwa mtanange wa ligi kuu ya mpira wa miguu uingereza yaani EPL kuanza naomba tulijadidili hili. hivi ni kxa nini wachambuzi wengi wa...
0 Reactions
7 Replies
930 Views
BINAFSI sitamsamehe Neymar. Katika umri wa miaka 25, nyakati unazotamani kuona akielekea juu kabisa ya kilele cha ubora duniani, anachagua kuondoka Barcelona na kwenda PSG. Kwa mchezaji wa aina...
15 Reactions
84 Replies
16K Views
ilikuwa bonge moja la chenga lakini ndio hivyo tena aisee. clementsangaONLINE
0 Reactions
0 Replies
942 Views
Ni online Football game kwa simu za Smartphone... Njoo tubadirishane Maujanja..
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu bara Yanga wameamua kufunga safari na kwenda Kisiwani Pemba Zanzibar kwa ajili ya maandalizi ya wiki moja kujipanga kuikabili klabu ya Simba katika mchezo wa Ngao ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mchezaji wa zamani wa yanga Simon Msuva aliyetimkia kwa watabe wa soka barani Afrika klabu ya Difaa el Jadida ya nchini Morocco Leo pamoja na wachezaji wenzake wametimkia nchi jirani ya Hispania...
3 Reactions
15 Replies
8K Views
Nipo hapa nacheki vichupi kutoka huko london kwenye mashindano ya IAAF world champions Super sport 8 Karibuni wakui waume wa wake.
0 Reactions
2 Replies
791 Views
Kesho ndo siku ambayo mourinho na vijana wake watakapo kufa mbele ya vijana wa Zidane... Sioni ni njia IPI Man U watapita kuweza twaa ubingwa wa UEFA Super Cup 2017.Balaa litawakuta kuleee ulaya...
4 Reactions
37 Replies
3K Views
Wakati wa fukuto la vilabu vya Simba na Yanga kugeuzwa kuwa Kampuni ama kumilikiwa na mtu mmoja, Katibu wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) Mohamed Kiganja, alisema kwamba serikali haitaruhusu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom