Watanzania katika michezo tumekuwa wasindikizaji na wale wanaoshinda ni kwa juhudi binafsi,,,big up Simbu let us watch out for remaining Tanzania in London Marathon
Sent using Jamii Forums...
Sijui niko sawasawa lkn nijuavyo mimi mechi kama hii ya SIMBA na RAYON ni ya kimataifa sasa nisichokijua mbona hakuna bendera ya TAIFA wala ya RWANDA wala ya FIFA wala ya CAF,hii ni sahihi?
Sent...
NANUSA HARUFU YA DAMU.... MAN U vs REAL MADRID
Baada ya Manchester United kupata matatizo ya "Munich Air Disaster", Real Madrid ilikua timu ya kwanza kujitoa kujaribu kuisaidia kifedha na kutaka...
Kikosi kikipata ''msosi wa kitaalam'' mda mchache kabla ya kuelekea Uwanja wa Taifa
Wakuu kama ilivyoada leo ni siku iliyokuwa ikisubiriwa na kila mdau wa mpira bila kujali itikadi ya timu yake...
Wanajamvi njooni tumjadili kijana wa kifaransa mwenye asili ya Algeria....
a)Huyu jamaa ni kocha kweli au status yake kama mchezaji inambeba?
b) Yale mafanikio ni ufundi wake au ni ile timu...
Narudia tena kusema enyi Kaimu Viongozi wa Simba SC Salim Abdallah a.k.a try again na mwenzako ' Mtani ' wangu wa Kihaya Idi Kajuna a.k.a tajiri kijana nawapa muda wa Saa 24 au 48 tu zijazo...
Kumekua na taarifa nyingi Mitandaoni juu ya hawa miamba wa Catalan juu ya kutaka kuziba nafasi ya genius wa Mpira Neymar Jr alietimkia PSG...
Hii ni ndoto ya mchana kweupe tena saa sita jua la...
Namba hazidanganyi
Leo ni tar 6/8
Ars 1+18+19=38+6= 44
Che 3+8+5=16+6=22
Hii mechi Arsenal ndio mwenye nafasi kubwa ya kushinda , namba zake ni kubwa zaid ya chelsea ,pia ni shufwa japo wote...
Mashabiki wa Simba waliojitokeza kwenye Tamasha la Simba Day linalofanyika Kwenye Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salam .. Klabu ya Simba yenye maskani yake Msimbazi jijini Dar es Salaam ina...
Hakika inashangaza sana kwa mashabiki wa klabu ya Yanga kutaka kumfanyia vurugu mchezaji halali wa klabu ya simba Haruna Niyonzima jana uwanja wa ndege wakati akirejea jijini Dar es salama...
Kiungo Haruna Niyonzima ametua Dar usiku na taarifa za ndani zinasema baadhi ya mashabiki wa Yanga walikuwa wanamsubiria kumfanyia vurugu. Jamaa unaambiwa aliwakwepa na kuwaacha kwenye mataa...
Mchezaji machachari kichuia imethibitika kuwa mkataba wake umevunjika ijumaa baada ya team yake ya wekundu kushindwa kutimiza takwa muhimu kuwa mpaka ifikapo tarehe 3 wawe wamemkabidhi nyumba yake...
Hatimaye Yanga wamekabishiwa jezi zao za msimu ujao na wadhamini wao SportPesa.
Yanga ilicharuka baada ya jezi zao kukabidhiwa na kampuni ya simu za mikononi ya Vodacom ambao ni wadhamini wa Ligi...
Kutokana na FIFA kuchelewesha majibu ya ponti 3 Simba inazodai,zikiwa hazija fika hadi siku hio hawato peleka timu uanjani.Kwani kwa kufanya hivyo ni kukubali moja kwa moja kama Yanga ndo mabingwa...
Hans Van pluijm mwalimu wa kidachi na inafahamika wadachi wanafahamika kwa mpira wa kuvutia wa total football. Babu Hans kiukweli yupo vizuri na soka la bongo analijua na sio Bongo tu hata Africa...
Ukifuatilia kipindi hiki cha usajili timu zilizoonekana kujiimarisha zaidi ni timu za EPL hasahasa timu mbili kutoka mji wa Manchester na timu moja kutoka Londoni.
Nadhani unaweza kukubaliana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.